Siku moja baada ya Jeshi la Polisi kutoa taarifa ya awali ya uchunguzi wa mauaji ya kifo cha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, ujumbe mfupi wa simu ya mkononi kwa ajili...
A SAFARI ZA TRENI JIJINI DAR ES SALAAM, DR. MWAKYEMBE AFANYA UZINDUZI HUO
TAZAMA PICHA 19 ZA UZINDUZI WA SAFARI ZA TRENI JIJINI DAR ES SALAAM, DR. MWAKYEMBE AFANYA UZINDUZI HUO...
Wanajamvi mambo yameanza kuwa moto uchaguzi wa wazazi Dom na waya zilizopatikana zinasema mgombea nafasi ya mwenyekiti taifa, Abdalla Bulembo amekurupushwa na maofisa wa TAKUKURU akijiandaa...
UKWELI KUHUSU UTEKWAJI WA SHEIKH FARID - ZIMEPATIKANA KUTOKA KWA MNENE MMOJA SERIKALINI
Ukweli ni kwamba kuna viongozi wa juu kwenye serikali ya Zanzibar ambao kwa kushirikiana na Idara ya...
Tanzania tumekuwa na utitiri wa TUME zinazoundwa kuchunguza mambo mbalimbali lakini majibu ya TUME hizo hayawekwi hadharani.
Tume inpoundwa inatangzwa na pia muda wa uchunguzi unawekwa wazi...
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda...
Wanabodi Heshima Mbele
Inawezekana kwa haraka ukajua ni gossip lakini ni kweli bila chembe ya shaka.
Jana tarehe 29/10/2012 Rais Jakaya Mrisho Kikwete alifanya ziara ya kuweka jiwe la Msingi la...
Wanajamii naomba kuleta hoja maana hizi mbio za nchi za magharibi kutoa mikopo kwa Tanzania inanitisha. Kufafanua zaidi tukumbuke mwaka 2008 kulipotokea matatizo ya uchumi duniani sababu kuu...
ukifatilia kwa makini kabisa utagundua Kuwa Tanzania ndio nchi pekee ulimwenguni inayosifika kuwa na viongozi ktk eneo nyeti(Serikali) ambao ni majuha kuanzia top hadi bottom. hebu imagine...
Membe jana ametembelea mpaka wa Tanzania na Malawi eneo la Kasumulu na kupata maelezo ya wazee waliozaliwa maeneo ya ziwa hilo wakiwamo waliozaliwa katika eneo ambalo sasa limeshamezwa na maji...
POLISI katika mji mdogo wa Himo, mkoani Kilimanjaro, wamefanikiwa kulikamata gari aina ya Toyota Noah, linalomikiwa na askari mmoja wa polisi likiwa na shehena ya pembe za ndovu. :flypig:
Ukweli husemwa:
Tanzania imeingia miaka ishirini (20) toka mageuzi makubwa ya kisiasa yalipoanziswa. Tumeshuhudia kufanyika chaguzi kuu tatu zikiambatana na chaguzi ndogo nyingi mbalimbali, na...
Habar wanaJF!
Napenda kutoa maoni yangu haya kwa faida ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA),
ni ukweli kwamba baraza la vijana (BAVICHA) limeshindwa kufanya vizuri kuwainfluence...
Rais Jakaya KIkwete amesema kuanzia sasa sheria ya ujenzi isifuatwe kwa wale wanaojenga nyumba maeneo ya milimani kwa kuwa maeneo hayo ni finyu.
Maoni yangu: Yawezekana Rais akawa na hoja lakini...
Nimesoma na kusikiliza maelezo Ya MANUMBA. kuwa polisi wamefanikiwa kuwapata wahalifu kwa kutumia mawasiliano ya simu. Inavyoonesha Muuaji..alitoweka na simu ya Mwl. kisha alitoa laini ya simu ya...
Ujenzi wa soko la Mwanjelwa umekamilika kwa asilimia 99 na kazi iliyobakia ni jinsi gani au mtindo gani utatumika kuliwezesha soko hilo lianze kazi tena. CHADEMA ina nguvu sana Mbeya Mjini na...
Wakazi wa bangata wamelala masikini wameamka tajiri...mamvi amemwaga mafuso ya mbuzi wa maziwa kwa wakazi wa bangata usa river kwa malipo ya kupigia mgombea wa udiwani ccm,ivi mamvi ukikosa uraisi...