Joshua Nassari, ametoa siku 14 kwa magazeti mawili kumsafisha

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ametoa siku 14 kwa magazeti mawili yatolewalo kila siku nchini kumsafisha kwa uzito waliotolea habari ya kumhusisha kufyatua risasi kwenye kata ya Daraja Mbili wakati wa uchaguzi mdogo, vinginevyo atayashitaki Baraza la Habari Tanzania (MCT).

Akizungumza na vyombo vya habari jijini hapa jana, alisema ameshangazwa kuona propaganda chafu dhidi yake zikiendeshwa kwa wazi na chuki kubwa.

“Mimi nilipita eneo la kupigia kura saa mbili kamili asubuhi nikaend kata ya ya Bang’ata wilayani Arumeru nikiwa kama wakala mkuu, kusimamia uchaguzi na tukio hili la kufyatua risasi limetokea mchana saa saba, nashangaa naandikwa mimi,” alisema.

Alisema kuwa kikubwa anachokiona ni kumpaka matope kupitia magazeti hayo.

Nassari alisema kuwa anachofahami fika magazeti hayo kupitia waandishi hao wanatumiw ana watu kumchafua kwa sababu wanazojua wao, kufuatia kushinda uchaguzi wa Jimbo la Arumeru Mashariki.

“Kwa kweli sasa sitakubaliana kamwe na tabia hii, maana nachafuliwa kwa makusudi na kusababisha wapiga kura wangu wajenge chuki dhidi yangu, alisema.

Kamanada wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabasi, alipoulizwa alisema: “Mimi silijui suala hili, nimesikia katika vyombo vya habari, ninachojua mimi risasi zilifyatuliwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu, Wilaya ya Arusha (NEC), Godfrey Mwalusamba wakati akimwokoa Mussa Hamisi, aliyekatwa panga, wakati akimwokoa mama mmoja aliyedaiwa kugawa pesa za kuhonga, wapiga kura wa Daraja Mbili ili kuipigia CCM,”alisema.

Alisema Mwalusamba alilazimika kufyatua risasi baada ya kumwona Mussa Hamisi, akikatwa panga na kundi la watu hao walitawanyika na kuwa watu wanane walitiwa mbaroni.

CHANZO: NIPASHE
 
Uhuru na mwenza wake habari leo.....

Hahaha..umenichekesha sana mkuu...anyway, nadhani ni kutafuta umaarufu zaidi wa magazeti na pia kumchafua..lakini ningependa kumkumbusha Nassari..hawexi kuchafuliwa kama si msafi...Ongeza bidii katika utendaji wako mkuu, maana wewe ni MSAFI na ndio maana wanataka KUKUCHAFUA.
 
asiwape siku 14 awaburuze mahakamani...wakome kuandika habari za uongo siku nyingine...waandishi wa habari wengine wa nchii hi mzigo tu kwanza mi sijui hata gazeti la uhuru likoje siku hizi mara ya mwisho kulisoma ni kama miaka 12 iliyopita
 
Ningewapa masaa 24.Kama walikua na haraka kiasi hicho kuandika habari hiyo wangeshindwa nini kuomba radhi faster kiasi hicho hicho?
 
Nasari angepotezea tu, kwa kuyatolea ufafanuzi kupitia magazeti yenye akili kama Tanzania Daima, Mwananchi, Nipanshe n.k.......coz Habari Leo& Uhuru hawana cha kuandika ili kuuza, wataandika rushwa za ngono za mademu wa UVCCM?, hawawezi, wataandika kuhusu ''moving to the top'' ya M4C? hawawezi
 
Dogo Janja, bado mchanga kisiasa, kuandikwa kidogo tu kwenye gazate unataka kuombwa radhi.
 
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ametoa siku 14 kwa magazeti mawili yatolewalo kila siku nchini kumsafisha kwa uzito waliotolea habari ya kumhusisha kufyatua risasi kwenye kata ya Daraja Mbili wakati wa uchaguzi mdogo, vinginevyo atayashitaki Baraza la Habari Tanzania (MCT).

Akizungumza na vyombo vya habari jijini hapa jana, alisema ameshangazwa kuona propaganda chafu dhidi yake zikiendeshwa kwa wazi na chuki kubwa.

"Mimi nilipita eneo la kupigia kura saa mbili kamili asubuhi nikaend kata ya ya Bang'ata wilayani Arumeru nikiwa kama wakala mkuu, kusimamia uchaguzi na tukio hili la kufyatua risasi limetokea mchana saa saba, nashangaa naandikwa mimi," alisema.

Alisema kuwa kikubwa anachokiona ni kumpaka matope kupitia magazeti hayo.

Nassari alisema kuwa anachofahami fika magazeti hayo kupitia waandishi hao wanatumiw ana watu kumchafua kwa sababu wanazojua wao, kufuatia kushinda uchaguzi wa Jimbo la Arumeru Mashariki.

"Kwa kweli sasa sitakubaliana kamwe na tabia hii, maana nachafuliwa kwa makusudi na kusababisha wapiga kura wangu wajenge chuki dhidi yangu, alisema.

Kamanada wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabasi, alipoulizwa alisema: "Mimi silijui suala hili, nimesikia katika vyombo vya habari, ninachojua mimi risasi zilifyatuliwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu, Wilaya ya Arusha (NEC), Godfrey Mwalusamba wakati akimwokoa Mussa Hamisi, aliyekatwa panga, wakati akimwokoa mama mmoja aliyedaiwa kugawa pesa za kuhonga, wapiga kura wa Daraja Mbili ili kuipigia CCM,"alisema.

Alisema Mwalusamba alilazimika kufyatua risasi baada ya kumwona Mussa Hamisi, akikatwa panga na kundi la watu hao walitawanyika na kuwa watu wanane walitiwa mbaroni.

CHANZO: NIPASHE

KWANI ZILE ZAKE ZA KUKASHIFIWA NA ILE KASHIFA YAKE YA KAULI YA UCHOCHEZI YA KUTAKA KANDA YA KASKAZINI IJITANGAZIE UHURU WAO ALISHAOMBWA RADHI?
HULKA ZA CHADEMONSTRATIONS=UAMSHO
:fencing::peace:
 
Mhhhiiiiiiiii ngoja tuone tena kivumbi

Wewe si gamba Kweli?embu Ngoja nikuangalie
 
Back
Top Bottom