Hakuna kigezo wala sababu za CHADEMA kuongozi nchii hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna kigezo wala sababu za CHADEMA kuongozi nchii hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIBE, Oct 29, 2012.

 1. K

  KIBE JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binafsi sio kama hiki chama kinaweza ongoza nchi hii..kwanza ni chama ambacho kinaonekana ni kijikundi tu cha watu wawili watatu na sio taasisi ya kichama cha siasa.... Tumewapa jiji la mwanza limewashinda ,arusha limewashinda na moshi sasa nalo linawashinda ..sasa nawaza je wakipewa nchi hii wataweza..<br>nikikiangalia hiki chama naona kama ni ng'o ya watu fulani tu....sio taasisi ya kuangoza nchii hii
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nenda chooni ukajiharishie kwanza ndipo urudi hapa upya. Unanuka puuuuu... Shiiiiii... nenda na maji au toilet paper !
   
 3. M

  Magesi JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kafie mbali
   
 4. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  vp hivi vingine cuf, ccm, ccj, tlp, bakwata, nk.
   
 5. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sheikhe Ponda aka gaidi au yule gaidi wa Zanzibar ndo anaweza?
   
 6. B

  BigMan JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Subiri waje,utaoga kila aina ya matusi na kejeli
   
 7. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kweli huna tofauti na mulugo-tanganyika is affiliated from zimbabwe and pemba islanda kwikwikwikwikwi kwani TANU siikianza jama CDM mbona iliweza,wacha waweze wasiweze potelea mbali kwani CCM mama na baba yetu kwete ne efoo kitangama kya nsire
   
 8. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Sasa kigezo cha CCM kuongoza nchi hii ni kipi??

  Tatizo lako hujui nchi inaongozwa vipi?? Tatizo lako propaganda za CCM zimekumaliza .................. Anagalia Ghana, Kenya, Zambia, Malawi n.k. ndiyo utapata picha kamili mambo yanakwendaje.

  Kwa ufupi tu, CCM ikitoka hapo........... wanaobadilika ni mawaziri tu............... Wengine wanaweza kubadilishwa kwa ajili ya utendaji wao au position zao kuwa zinatakiwa zishikiliwe na watu ambao ni loyal kwa chama tawala. Otherwise........... kazi mbele kwa mbele............!!!!
   
 9. K

  KIBE JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi nimetoa hoja jibuni kwa hoja ninyi wanachama wa cdm wa kwenye jf na fb..lakini kwenye kura mnakuwa mko kwenye bar mnakunywa beer kura hampigi ndo mtakishinda chadema...cdm wanataka ongoza nchi wameachia waongoze majiji matatu lakini hakuna kitu kazi kugombania kupanda gari ya meya tu na majungu basi..wenzeni cc wanazidi tekeleza ahadi na leo gari moshi limeanza jijini dar es salaam, huku kwetu kilombero daraja tayari naona linaanzwa jengwa...
   
 10. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Ni mawazo mazuri sana,lakini ni vizuri ungetueleza chama kinachofaa kupewa nchi pia utupe sababu si tu zenye kukufurhisha wewe ila tutazoweza kuafikiana kihoja ili kuona kwamba ni kweli unatumwa na uhalisia na si tumbo(njaa)!Tusaidie kwa kkutanua mjadala ili tuwe pamoja kimikakati na kiitifaki.
   
 11. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jenga hoja usikimbilie matusi
   
 12. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Big up kibe
   
 13. UPIU

  UPIU JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 602
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe ni kiongozi wa CDM? Hoja yako si ya kistaarab
   
 14. F

  FreedomTZ JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 1,088
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  CHADEMA haijashindwa kuongoza jiji la Mwanza na Manispaa ya Moshi isipokuwa watendaji wa serikali hasa wakurugenzi wa Jiji na manispaa si watiifu kwa uongozi wa CHADEMA kwa sababu wameteuliwa na rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM ambayo haitaki kuona nchi hii inatawaliwa na chama kingine cha siasa. Iwapo mfumo wa uteuzi wa wakurugenzi na wakuu wa idara ungefanywa na CHADEMA basi Mwanza ingepiga hatua kubwa kimaendeleo katika nyanja mbalimbali.
   
 15. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri hujui maana ya chama cha siasa. kama ungekuwa unajua usingesema hayo. Hata kama kikisajiliwa leo kikipewa ridhaa ya kuongoza inaoongoza na sahau ndoto ya kwamba kitatetereka. Chama kinaongoza serikali na watendaji wa serikali siyo na familia yako. Get the point
   
 16. Newland

  Newland Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumechagua vyama tumechoka sasa tunataka watu makin watakao tetea maslah ya wananchi bila kujal uchadema na uccm
   
 17. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Chama kipi unachodhani kimeweza CCM wapo madarakani Takribani miaka 37 tangu izaliwe lakini Tanzania hai sasa
  1. Huduma za afya duni hadi wao wanaenda kutibiwa nje kwa magonjwa madogo madogo au kufanyiwa uchunguzi.
  2. Elimu bado duni kidato cha nne 2011 90% walifeli
  3. Huduma za maji bado duni sana chini ya 50% ya wananchi wa TZ hawapati maji safi na salama
  4. Umeme ni yaleyale ingawa duniani inawezekana kabisa gharama za malipo ya umeme zipo juu kuliko sehemu yeyote lakini fedha zinaishia mikononi mwa wachache(Mafisadi)
  5. Tuna rasilimali nyingi misitu, madini na sasa Gas lakini vyote hivi havilisaidii taifa kujikwamua na umasikini zaidi ya
  kujinufaisha kwa hao unaoona wanaweza kuongoza

  **Unapokuja na hoja kwamba CDM wameshindwa wao wanakusanya kodi?

  EBU TAFAKARI SIO UNAKURUPUKA NA KUANDIKA VITU BILA UMAKINIFU
   
 18. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Aunt KIBE,

  "Kinaonekana kama" have to remind you b'se you see it that way, it doesnt meanit looks that way!

  "Mmewapa Jiji la Mwanza, Arusha, Moshi"..mmewapa wewe na nani? lini? hakukuwa na uchaguzi? CCM haikuwa na wagombea TENA "WAKUBWA" katika chama chenu?

  Mkuu, unajua NGO ni nini?

  Afu ukitaka kuandika kuhusu mtu/chama/kikundi jitahidi uwe vizuri, si uandiahi wa kipumbavu namna hii!
   
 19. m

  makundi4619 JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 486
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KIBE: Ni vema na ni haki kutoa maoni yako kuhusu mustakabali wa kisiasa na kiuongozi wa taifa letu. Hapo kwenye red umefanya utafiti gani na kupata ujasiri wa hitimisho hilo? Penye kijani, wewe na nani mliwapa CDM Mwanza na Moshi? Wananchi walikuwa wapi? Je unaelewa udhalimu na ghiliba zinazofanywa na CCM pamoja na serikali yake pindi kuna uchaguzi dhidi ya vyama vya upinzani hususan CHADEMA? Hivi nidyo kusema wewe umeridhika kabisa na mwenendo wa CCM katika kutuletea maendeleo Watanzania? jipe moyo usiogope mabadiliko tujaribu wakishindwa si vyama vingine vipo? CCM ipumzike itoe changamoto zenye mashiko kwa watawala wengine whoever that is!!!!!!
   
 20. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  ewe warumu ndoo na mau,mbakee ccm ewe kukeengagania chadema,nla kundo kekeenda nafo lyo
   
Loading...