Chanjo ya polio haipatikani vituo vingi vya afaya DAR kulikoni...inasikitisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanjo ya polio haipatikani vituo vingi vya afaya DAR kulikoni...inasikitisha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mayoscissors, Oct 31, 2012.

 1. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwa wale wanaofahamu umihumu wa chanjo kwa watoto watanielewa kwanini nasikitika chanjo hiyo kukosekana takriban miezi miwili leo.Ni masikitiko yangu kuwa serikali yetu haiko makini hasa maswala ya tiba,ugonjwa wa kupooza kwa watoto ambao dunia imefanikiwa kutokomeza kwa chanjo ya OPV(oral polio vaccine) iko hatarini kuenea kote tz kwa kukosekana hapa nchini.Mfano ni hapa dar ambayo mwanangu kapelekwa klinini marambili yaani miezi miwili kakosa chanjo hiyo.
  Wanaofahamu wanijuzi kulikono opv kukosekana na je ni pamoja na chanjo zingine?
   
Loading...