Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Si mbaya ukisoma na kuchukua kile ambacho kitakufaa maishani. Hii ni makala kutoka katika gazeti la leo la Mwananchi: KATIKA kitabu 'Tujisahihishe' kilichoandikwa na Baba wa Taifa,Mwalimu Julius...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siupendi sana huu mchezo; kwani unaweza kukuaminisha kabisa kuwa utashinda. Unaona kabisa kwa macho yako kuwa karata nyekundu imefunikwa upande wa kushoto na unaona mtu mwingine anaapa kabisa iko...
39 Reactions
163 Replies
15K Views
Tanzania ni nchi yenye mito, bahari, maziwa, milima, mabonde, mbuga za wanyama, madini, ardhi kubwa kuliko kenya na uganda ukijumlisha, imepakana na nchi 8, nadhani hii pia inatia fora, sijui kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Habari wana JF, Nimebahatika kuwasiliana na Mbunge wa Kigoma kwa ticket ya CHADEMA, Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe; na kuwasilisha ombi langu la kumhoji 101 kwa kupitia mtandao huu wa JF kwa...
49 Reactions
227 Replies
31K Views
Usiku huu kupitia vyombo vya habari, mhe, Mwakyembe ameamua kutoa ya moyoni baada ya kueleza ukweli kuwa uhaba wa mafuta uliojitokeza hapa nchini zilikuwa ni njama za maksudi. Ujasili wake huu wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Haina ubishi kuwa J. Kikwete ni rais pekee ametawala kwa mizengwe lakini namna anavyoipangua mizengwe hiyo, anastahili pongezi kubwa. Ikumbukwe zengwe la kwanza ni lile la kukataliwa na CHADEMA...
14 Reactions
83 Replies
7K Views
waziri mkuchika amewataka wale wote wenye majina ya watu walioficha fedha uswisi wawataje ili washughulikiwe. Itv habari
0 Reactions
32 Replies
3K Views
NDUGU zangu , Wahehe wana msemo; Isenga imbofu na isenga indenyeefu. Kwamba ng'ombe kipofu ni sawa tu na ng'ombe aliyevunjika mguu. Wote watakufa njaa. Ng'ombe kipofu hawezi kuyaona...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwandishi Wetu SEKRETARIETI mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeapa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya chama hicho tawala kwa kufuatilia mienendo ya watendaji wakuu wa Serikali wakiwamo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Karibu shujaa wetu, Mangula Nape, kinana, Wapinzani huku kwetu, wameanza kutengana, Noo mjenge chama chtu, rudisha walionuna, Karibuni Sumbawanga, Mangula,Nape, Kinana. Ziara yenu ya kwanza...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Tafakuri yangu. Dini haiwezi kuwa nguzo ya binadamu kufaulu au kufanikiwa katika masomo ya Elimu dunia. . Elimu ya dini haina uhusiano wowote na Elimu dunia kila moja inajitegemea. Kwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Mteule wa CCM Taifa, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amesema kuwa itakuwa ngumu watanzania kumuelewa kwakuwa alishang'atuka uongozini. Kinana ameyasema hayo hivi punde alipokuwa...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Tatizo lipo kwa wana ccm ambao wapo kilombero huo ndio ukweli. hivi wandugu kama uchaguzi umefanyika matokeo yame tangazwa. ushindi umeenda kwa ndugu Isaack Maliwa mgombea Wenyekiti wa kijiji cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndiyo wakuu ! Kwa taarifa nilizopata toka kwa Mawazo ni kuwa wamefanya mkutano mkubwa Hanang. Huu ni muendelezo wa kuendelea kuwa elimisha Watanzania kuwa hapa ndipo ccm walitarajia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu kuna mtu amenitonya kwa chama changu CCM, inajaribu kuweka dream team kuelekea 2015. Wanaotajwa sana ni hawa hapa chini ambao wanaonekana ni watu wasafi sana ndani ya CHAMA wasio na tuhuma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri Membe ameeleza kuwa nchi wahisani zilikuwa na Mpango wa kuanza kutoa msaada moja kwa moja kwenye sekta ambazo Serikali itakuwa inazainisha ikiwa na maana hawatakuwa wanapeleka fungu...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Leo nilijisikia vibaya nilipoona Dar es salaam na Zanzibar are categorized as unsafe places to live or visit , according to the economist hii imetokana na Religious riots and some radical clerics...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Abuod Mohammed, akihutubia katika sherehe za kutimia miaka 42 ya Uhuru Oman,zilizofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Great Thinkers, Allergic to issues, obsessed with personality, and unwilling to confront the reality, most members of the mainstream media have focused their coverage of the CCM or rather CDM...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…