Dar es salaam, Zanzibar is not safe ( African's dangerous Swahili coast) - The Economist

mawazotu

Senior Member
Apr 27, 2010
151
195
Leo nilijisikia vibaya nilipoona Dar es salaam na Zanzibar are categorized as unsafe places to live or visit , according to the economist hii imetokana na Religious riots and some radical clerics (Ponda and Farid ), other place which were mentioned were Mombasa. Zanzibar is known to be a tourist hub because of the its beautiful cost such, report from a very reliable source like The Economist will have negative implication to number of tourist coming to the our country . Am very disappointed this is happening to our beautiful country .
 

adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,101
2,000
Ni matokeo ya kufuga vinasaba vya maradhi yasiotibika kwa urahisi.

Angalia baada tu ya Ponda na farid kuswekwa rumande kunakiladalili ya watu wa imani zote katika maeneo tajwa kuishi tena kwa amani. (Ukiacha mchochea moto kuuchochea, atachochea wengi hatimae waliokuwamo na wasiokuwemo hujikuta matatani.

Matibabu yanapaswa kutolewa mapema kabla marazdhi hayajapata usugu. Sasa tunakazi ya kutibu majeraha ya akina kikwete na sera za udin katika majukwaa ya siasa na ukabila. Sera za watu waliofilisika kisiasa wakitafuta uhalali kupitia iman zetu

Ona tunavyoonekana kituko katika anga za kimataifa - mficha maradhi kifo humuumbua!!!!!!!
 

Maulid Daniel

Senior Member
Jul 4, 2012
140
195
ungetuongoza na sisi sehemu ya kupata hizo source kuliko kupost tu bila maelezo ya kina au inamaana vurugu bado zinaendelea mpaka sasa
 
Top Bottom