Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa maoni yangu ccm kupitia mkutano wake mkuu unaoelekea ukingoni huko kizota Dodoma imethibitisha kuwa ccm ni chama legelege na dhaifu mno miongoni mwa vyama vilivyomadarakani barani Afrika...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF sahamani kwa kuingilia hii forum lakini itatusaidia. Dear Research Colleagues Greetings from the team at Research Africa...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Katika hali ya kawaida siamini kama viongozi waliopigiwa kura wamepata ushindi wa asilimia 100. Naamini kilichotokea ni staili iliyotumika katika zoezi la upigaji kura ,kwamba kura zitapigwa na...
1 Reactions
1 Replies
991 Views
Wakati tayari kukiwa na kila dalili za Energy Money kutuletea matatizo baada ya baadhi yetu kuanza kukwiba kutoka kwa baadhi ya wadau wa uzalishaji wa mafuta na gesi wakati serious production bado...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwanza napenda kukupa pole kwa kazi ngumu ya kuendeleza nchi yetu.Pili nakupa pole kwa umakini wako katika kujenga Chama Tawala ili kiendeelee kutupatia kile kilichodhamiria. Jana nimesikiliza...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
hebu jaribuni kufanya comparison na miaka ya nyuma mniambie! Kuna jitihada kubwa zinaendelea kuadvertise lakini zinaelekea kukwama.hili sio jambo la kawaida kwani zamani mkutano huu ulivuta...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
SABABU ZA AWALI ZA KUKATA RUFAA DHIDI YA UAMUZI WA SPIKA WA TAREHE 9/11/2012 WENYE MWELEKEO WA ‘FUNIKA KOMBE' Na: John Mnyika (Mb) Baada ya habari kutolewa jana na leo juu ya uamuzi wa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Kila mmoja anayajua maneno aliyoongea Shibuda ndani ya kikao cha CCM. Angekuwa Chadema damu asingeongea vile. Swali ni je, Chadema imfanyeje? Mimi napendekeza, Chama kimvumilie tu. Wengine...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna mahali nimesoma kuwa madiwani wa Chadema waliokuwa wanashikiliwa Mwanza wameachiwa huru baada ya kulipa faini. Tunaomba mtujuze huko. CCM huwa wanafikiria kwa masaburi nadhani. Kama Chadema...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi bado sijawaelewa vizuri haya magamba kwani tangia juzi nimesikia kuwa mangura amependekezwa kugombea umakamu mwenyekiti, kikwete uenyekiti nape/wasira ukatibu sasa mimi nina maswali haya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanabodi nimejitahidi kufuatilia mjadala kuhusu hoja ya Zitto ya kulitaka Bunge kuunda kamati teule ya kuchunguza mabilioni ya fedha yaliyofichwa na vigogo wa Serikali Uswis nimebaini kwamba...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Ukistaajabu ya musa utaona ya Firauni. Mjumbe mmoja aliyetoa maoni ya kundi lake liliokuwa linajadili taarifa za CCM wamependekeza kutokufanya bomoabomoa wakati uchaguzi unakaribia bali zoezi hilo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Sina shaka wengi wetu tumeanza kuona dalili za serikali kuanza kuamka kutoka usingizini. Kwanza ilianza na kuwaweka mawaziri wachapakazi kwenye wizara muhimu k.m. Magufuri, Mwekyembe n.k...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Milton Makongoro Mahanga alipata anguko kali katika kinyang'anyiro cha NEC wilaya ya Ilala. Anguko hili limekuja miaka miwili baada ya ushindi uliojaa utata wa ubunge katika jimbo la Segerea. Kwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jana nilipata nafasi ya kumsikiliza mwenyekiti wa ccm wakati akitoa hotuba ya ufunguzi, zifuatazo ni tafsiri zangu za vimambo vidogo vidogo alivyogusia. Kwanza: CCM NI CHAMA DUME. Kikwete...
2 Reactions
57 Replies
5K Views
Nitangu mwaka 2009 mwezi wa tano wananchi wa Tanzania wamenyimwa haki yao ya msingi ya kupiga kura, jana nimemsikia kiongozi wa tume huru ya uchaguzi nchini Tanzania akidai kua nchi haina pese kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Monday, November 12, 2012 Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete,akiongoza Mkutano Mkuu wa CCM wa nane katika ukumbi wa Kizota,Dodoma leo ikiwa siku ya pili ya mkutano huo ulioanza...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Chukua corporate structure ambapo Mkutano Mkuu ni shareholders, NEC ni Board Members na CC ni Management. NEC ndio halmashauri kuu hiyo, so mkutano mkuu ni wawakilishi wa wanachama watano toka...
2 Reactions
17 Replies
10K Views
Baada tu ya uchaguzi wa Marekani kuisha na Barak Obama kuibuka mshindi kwa awamu yake ya mwisho mheshimiwa Nape Nnauye ali TIRIRIKA kwa mbwembwe nyingi sana akifananisha mambo mengi ambayo...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
AMRI 10 ZA KUIKOMBOA TANZANIA KUTOKA KWA WAKOLONI WEUSI (CCM) 1.Usiwakumbatie waovu kama Kikwete 2.Usiwe mwizi kama Lowasa 3.Usiwe mwongo kama Makamba 4.Usiwe mnafiki kama Rostam...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom