CCM Dream Team Ya Ushindi 2015

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,448
0
Wakuu kuna mtu amenitonya kwa chama changu CCM, inajaribu kuweka dream team kuelekea 2015. Wanaotajwa sana ni hawa hapa chini ambao wanaonekana ni watu wasafi sana ndani ya CHAMA wasio na tuhuma ya iana yoyote. Hawa watahakikisha CCM inabakia madarakani

1.Livingstone Lusinde, (Kibajaj)
2.Makongoro Mahanga, (Mzee wa Masanduku)
3.Adam Malima, (AK-47)
4.Mwigulu Nchemba (Mzee Wa Vimwana)
5.William Malechela (Sisemi)
6.Stepehen Wassira,(Sijasema Kitu)
7.January Makamba, (Presidaa Wa AKudo Impact) Mmliki wa V8 Aka Bajaj
8.Shophia Simba, (Mama Wa Mipasho)
9.Vicky Kamata (CCM)
10.Bernard Membe (Rais Mtarajiwa)
11.Kapteni Komba
12.Bashe
13.A. Kinana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom