Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Prince Sabby Rwazo (29) amejivua uanachama na madaraka mengine kutokana na chama hicho kushindwa kuwa na mwelekeo thabiti wa kusaidia...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
MAANDIKO matakatifu ya Biblia ninayoiamini yanatukataza wanadamu kulipiza baya kwa baya, zaidi tunasisitizwa kulipiza jema kwa wabaya wetu hata kama ni vigumu kutimizika. Jana sikuyaamini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau JF amani iwe kwenu. Napitia gazeti la leo la Raia Mwema ukurasa wa 6 kwenye kipengele cha 'walipata kuyasema haya'. Karume akihutubia mkutano wa hadhara Unguja alisema yafuatazo, "Wakati...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana pamoja na kuchoka nilijiibia muda wa kulala ili pamoja na mambo mengine nikapate kumsikiliza Mwenyekiti wa CCM taifa akifunga mkutano mkuu wa 8 wa chama hicho. Badaye sikujilaumu kwa kufanya...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Katika uchaguzi 2010 Tanzania tulishuhudia CCM wakiikimbia midahalo iliyokuwa inaendeshwa TBC na hata kuwakataza wagombea wao kushiriki. Midahalo hii ni fursa muhimu kwa wananchi na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
na Betty Kangonga | Tanzania Daima | Novemba 13, 2012 MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, amesema kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanabodi Wanabodi chama cha mapiduzi wapo katika mkutano mkuu wa chama chao, Wao wanajua kwamba mkutano huu ni muhimu sana kuliko mkutano mwingine wowote kwasababu kuu mbili hali ya kisiasa ni...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambaye ni Mke wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma (kulia) akiwasikiliza wajumbe wenzake, Bernald Membe (kushoto) aliyekuwa akiteta na Mtoto wa Rais, Ridhiwani...
1 Reactions
93 Replies
9K Views
Wanaotegemewa kuchaguliwa leo, utaratibu wa zamani ulikuwa ni wagombea wote wa NEC wanapigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu. Utaratibu wa sasa ni kwamba wajumbe wa NEC wanapatikana kwenye...
7 Reactions
860 Replies
54K Views
Nipo namsikiliza Abrahaman Kinana akisoma maazimio ya Mkutano Mkuu wa CCM na moja ya maazimio yao ni kuiagiza serikali kuangali namna ya kushusha bei ya vifaa vya ujenzi kwa lengo la kuwawezesha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Mwalimu Julius Nyerere aliamini, kuwa fedha ni matokeo , na wala si msingi wa maendeleo. TANU kama Chama kikaamini hivyo, na umma nao uliaminishwa hivyo. Mwalimu alifikiri kama...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Kikwete hataachia Uenyekiti wa CCM Taifa. Akiachia, itakuwa aibu kwake hasa kuliko kwa chama. Atatumia kila awezalo ili asiachie. Hata hivyo, vita ya rafiki wake kipenzi ni ngumu. Lowassa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
CCM bado inayo utamaduni wake wa kikomunisti ya kuchagua au kuteua viongozi kwa kupitia NEC,CC na mkutano mkuu wa chama. Kwa sababu zinazoeleweka na zisizoeleweka vyama vya upinzani pia vimeiga...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama wote tulivyofuatilia vizuri kwenye runinga kuhusu yanayotokea mktano wa Dodoma Mh Lowasa alikua akitia huruma sana. Kila mara hoja zifuatazo zilipokuazikitajwa na mwenyekiti yeye alikua...
8 Reactions
119 Replies
9K Views
  • Closed
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa (kushoto) akisikiliza kwa makini wakati mawaziri mbalimbali walipokuwa wakieleza ufanisi wa wizara zao kwenye mkutano mkuu wa CCM mjini Dodoma, jana...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
  • Closed
KADA wa CCM, Lepilal Ole Moloimet ameshauri mambo matatu ambayo Rais Jakaya Kikwete hana budi kuyafanya ili chama hicho kiondoke kwenye mstari wa kung'olewa madarakani na Chadema mwaka 2015...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Natumain umzima na unaendelea vizuri na majukumu yakoo..mimi ni mpiga kura wangu kaka tena nilikuwa mbele kuona ukiingia madarakani lakini sasa mambo yamekuwa kinyume na sikuone tena huku jimboni...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Tangu alipojiuzuru kufuatia tuhuma za kutumia madaraka yake vibaya na kusababisha taifa kuingia mkataba mbovu ya Richmond Edward Lowassa - Waziri Mkuu wa zamani - amebakia kama enigma ndani ya...
26 Reactions
152 Replies
11K Views
Wana Bodi, Kila Mara nimekuwa nikijuliza hivi CCM suala la Demokrasia wanamhubiria nani ilhal wao wenyewe hata Maana ya hilo Neno hawaijui na wala hawajui kuishi katika hilo. Kwenye maandalizi ya...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Wasomi wa Chadema, mabadiliko ya kweli yanaanzia chini yanakwenda juu. Mabadiliko ya nchi yanapaswa kuanzia kwenye halmashauri, manispaa na majiji. Nawaasa masomi wa Chadema kuanzia ngazi ya PhD...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom