Katika Bunge la bajet mwaka 2012 kulitokea zogo kubwa wizara ya Nishati na Madini kitu kilichopelekea Kamati ya Bwana Bunge kuvunjwa na Spika bibi wa Kanuni kuwa ilidaiwa kula mlonhula kukwamisha...
Kama uliangalia mkutano mkuu wa CCM,Utagundua kuwa meza kuu yote ilikuwa na madume tu!
Mimi Siku zote naamini CDM huonyesha njia vinginevinafuta! Je katika hili vipi CDM mko tayari kuwapa...
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema kwamba uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Bara na Makamu Mwenyekiti Zanzibar utafanyika kesho tarehe 13 Novemba 2012.
Katika mkutano...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Kamanda Freeman Mbowe ametangaza mkakati wa Uchaguzi mkuu wa 2015 na moja ya mkakati huo ni kumwaga pikipiki katika tarafa zote nchini kwa...
Habari nilizozipata muda huu kwenye chanzo cha kuaminika zinasema kwamba Hussein Bashe yupo anafanya press conference miongoni mwa yaliyojiri ni kwamba kamshukia Membe kwamba ni MNAFIKI na anaishi...
Nimeshangazwa na kitendo cha CCM kumwibua upya Mzee Philip Mangula kuwa makamu mwenyekiti wa CCM bara! Najiuliza mzee Philip Mangula alishatumikia chama kwa muda mrefu na inawezekana alifaa sana...
Napendekeza kuwa Katiba mpya iwe na kifungu cha kujisimamia kama Katiba ili kutoa adhabu kwa viongozi na watawala wanaounja katiba waziwazi na hili liwezekane kuunda jopo la Katiba kutoka Kanda...
Unyama huu ukomeshwe Zanzibar
Salim Said Salim
KATIKA mwisho wa mwezi Aprili, mwaka 2005 nilieleza katika gazeti hili namna nilivyosikitishwa na kushitushwa na baadhi ya watu...
Mzee Sitta alipoiponda CHADEMA kuwa haina mtandao wa uongozi ngazi za chini, mimi ni mmoja kati ya watu waliomuona huyu mzee anazeeka vibaya. Lakini baada ya kushuhudia uchaguzi wa meya wa Ilemela...
"Siku ya November 6 mwaka huu kulifanyika Kongamano la wazi la kujadili mustakabali wa Zanzibar wakati wa mchakato wa utoaji maoni kuhusu katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika...
Nimetafakari sana baada ya mjadala wa hoja ya Zitto Kabwe hasa baana ya hoja yake kubakwa live na Speaker wa Bunge na Mwanasheria mkuu. Nimefikia Hitimisho kuwa Tanzania hatuna Bunge, tuna SPEAKER...
Katika review ya magazeti leo asubuhi kulikuwa na news item moja ilikuwa very interesting, kwamba kuna mpango wa kumpigia kura za hapana Jakaya Kikwete, kwamba zimetolewa shillingi bilioni tano...
kuna watu wanapenda kudumisha mawazo mgando na katu hawako tayari kushauliwa. Mfano watu wanaojiaminisha kuwa chama ni mtu/ watu na siyo itikadi wala sera.
Je ni kweli chama ni watu au?:shut-mouth:
Kwenye ripoti ya kamati ya waziri Nchimbi , Mukama alitoa pendekezo lifuatalo,ninanukuu "Katibu mkuu wa CCM Wilson Mukama,alishauri kufanyiwa marekebisho kwenye sheria ya vyama vya siasa namba 5...
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Nape Nnauye wakati akiongea katika kipindi cha TUONGEE ASUBUHI cha leo hii alidai kuwa ndani ya chama chake(CCM) kuna demokrasia ndiyo maana mtoto wa mkulima maskini...
SALAMU ZA PONGEZI ZA CHADEMA KWA USHINDI WA BARACK OBAMA.
Novemba 6 wananchi wa Marekani walishiriki uchaguzi mkuu ambao ulikuwa na mchuano mkubwa baina ya vyama vikuu vya Republicans and...
Tuwape tena CCM 2015? Ila kabla ya kuwapa tujiulize wamefanya nini kwa miaka 50 tuliyowapa na tumefaidika kwa lipi? Je wenzetu tuliopata uhuru nao au baada ya sisi wako wapi?maana hawachelewi...
Wana Jamii Forums
Sasa ni dhahiri CCM wameamua kuwa chama cha ujambazi na ubakaji wa haki za msingi. Ni udhalimu na udikteta wa hali ya juu. Leo wameamua kufanya uchaguzi fake. Wamemteua Henry...
Mheshimiwa huyu mwenye asili ya kisomali akichangia hoja ya ofisi ya waziri mkuu jioni hii amesikika akisema chama cha mapinduzi ni chama dume, chama dume kwa lipi? Chama dime kwa:-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.