Hatimaye chaguzi za CCM katika ngazi mbalimbali ndio umemalizika, Idodomya. Ifuatayo ni tathmini yangu:
1. MAAMUZI MAGUMU
Kwa utaratibu ulioanza mwaka huu, kundi la kifo la NEC lilipunguzwa toka...
Nimemsikiliza kwa makini Rais wangu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa kufunga mkutano mkuu wa CCM pale Kizota, ilikuwa ni hotuba nzuri kwa kiasi fulani lakini pia ilikuwa ni hotuba iliyojaa...
An architect's impression of the new CCM national headquarters and convention centre to be constructed at Makulu in Dodoma.
Nawasilisha huku nikingojea maoni ya wadau:confused2:
SIKILIZENI NA MKAMWAMBIE MWENYEKITI WENU...
Tunaposema CCM haijafanya chochote, tunamaanisha kwamba kulingana na muda tuliyoipa na rasilimali tulizo nazo basi hivyo anavyojisifia imefanya ni...
Imebainika kwamba Roho za watu wasio itakia mema CCM kwa sasa zinawauma baada ya chama hicho kuendelea kujiimarisha kushika Dola la Tanzania. Mkutano wa CCM Taifa umemalizika jana kwa mafanikio...
Kuna tetesi kua Kikwete anataka kumhonga Sita uwaziri ili kumtuliza asahau walio mfanyia.
kama nikweli Sita usikubali kudanganywa kitoto na hayo majizi wame kuengua kwa hila wanajua umahiri...
Heshima kwako Nape:
Sote tunaelewa moja ya kazi za sekratariate katika chama chochote ni kutekeleza maagizo ya mikutano mikuu ya chama.Kama kumbukumbu zangu zipo sawa katika kikao cha mwisho cha...
Wadau ni ukweli usiopingika kuwa utitiri wa vyama vya siasa unapunguza ubora, umakini wa vyama vya siasa na matarajio yetu kuwa kupitia mfumo wa vyama vingi tutapata uwajibikaji wa wanasiasa kwa...
M4C leo ipo kijiji cha Nambawala kata ya Lukuledi wilaya ya Masasi, tunafungua tawi katika kijiji hicho.Watu karibu 200 wamejiunga na CHADEMA sijapata kuona tangu nianze kazi ya kujenga chama...
Nimeshangaa sana kuona wabunge wa CCM kumchoka mapema katibu wao Mukama, wanamwambia awe makini kusuluisha migogoro kabla haijawa mikubwa vinginevyo atakuwa ni kiongozi wa kutatua migogoro...
Hii ni sawa
Songo Songo mpaka Dar ni zaidi ya kilomita 200 tuliruhusu wachimbie bomba la gasi badala ya kufua umeme Songo Songo na kuvuta waya mpaka dar (na kwingine). Anayetabasamu mpaka...
CCM NI MBAKAJI WA DEMOKRASIA?
Nilipata bahati ya kufuatilia japo sio kwa karibu sana mkutano mkuu wa CCM, nilifuatilia kauli, tambo na majigambo ya viongozi waandamizi wa chama hicho ambazo...
Nimekuwa mwanachama mfu wa CCM kwa muda mrefu, hasa baada ya kuchoka kuishi katikati ya uozo wa kisiasa ndani ya chama hicho. Nimekuwa nikisita sita kwa kuwa sikuwa na uhakika kama kweli vyama vya...
Watanzania waishio uganda wamemtumia raisi kikwete wakimuomba kumuwajibisha mkurugenzi wa tbc
kutokana na kukatika katika matangazo ya tbc .
Wakati wakiwa wameomba ruhusa kuangalia matangazo ya...
Usiku wa Jana CCM imemaliza mkutano wake Mkuu huko Dodoma na kama ilivyotarajiwa inaonyesha CCM bado ina nguvu na ushawishi katika Jamii ingawa si kwa kiwango kile ilichokuwa nacho miaka kumi...
Wana JF kwa kigezo cha hotuba ya Karume na matamko ya viongozi wengi na sasa kwa orodha ya majina ya secretariat mpya je unaona kama CCM wameondoka Kizota wakiwa wamoja au wamegawanyika, tafadhali...
Well what can I say, I love the guy; he has been the most consistent non-leader in our history. In the beginning I had some expectations that under him our nation will have an inspiring and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.