Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutokana na madudu yanayofanywa na baadhi ya viongozi waandamizi selikalini,katiba mpya inayoendelea na mchakato wam kuandaliwa ingeruhusu kukodisha viongozi toka nchi za nje viongozi kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Makala ifuatayo meandikwa na HAPPINESS KATABAZI KWA mara ya pili sasa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Professa Ibrahim Lipumba amekuwa akiitisha mikutano na waandishi wa habari...
5 Reactions
90 Replies
9K Views
Katika hali inayotia doa na pengine kutia aibu kubwa katika muhimili wa kusimamia demokrasia nchini ni hili la mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguz Jaji Damian Lubuva kudai kuwa hawana ofisi, na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shikamooni? Mimi ni mwanachama wa Chadema niko mkoa wa Simiyu wilayani Bariadi. Kama mnavyokumbuka, mwaka 2010 tuliweka mgombea ubunge aitwaye Zacharia Thomas kwenye jimbo la Bariadi Magharibi...
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Mh. zito amewasilisha hoja yake juu ya watanzania wakiwemo viongozi wandamizi serikalini walioficha fedha zao huko uswisi. Tunawaomba wah. wabunge endeleeni kushikamana kama mlivyoanza leo mpaka...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Unrest in Stone Town (Zanzibar) and Dar es Salaam Today Wednesday, October 17, 2012October 17, 2012 U.S. Embassy Dar es Salaam Stone Town: The U.S. Embassy alerts U.S. citizens that Tanzanian...
4 Reactions
70 Replies
10K Views
Written by Stonetown (Kiongozi) |Na Salma Said, Zanzibar Siku ya Oktoba 6 mwaka huu kulifanyika Kongamano la wazi la kujadili mustakabali wa Zanzibar wakati wa mchakato wa utoaji maoni kuhusu...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
hii taarifa nimeisikia asubuhi hii. Kwamba mwenyekiti wa cdm ndg freeman mbowe amemuambia sumaye aliyeshindwa uchaguzi kifisadi ndani ya ccm ahamie cdm. Source:Tanzania Daima na...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Makamanda tuko ndani ya Babati ktk operesheni maalumu ya kuakikisha hakuna ata mabaki ya magamba ndani ya Babati,Leo tumefanya mikutano mitano ktkt kata tofauti,Bonga,Nakwa,Mutuka,Ayasanda na...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
WanaJF, Mnaionaje hoja hiyo kwamba Nyerere alijitahidi kujenga nchi lakini alipokuja Mzee Mwinyi akaibomoa. Mkapa alipoingia madarakani ilibidi aanze upya kuijenga nchi. By the time anamaliza...
0 Reactions
245 Replies
25K Views
Written by Stonetown | 12/11/2012 Katika maisha yangu niliyoishi kama mwananchi wa Zanzibar, na chini ya uongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, sijapata kuona Rais hodari na mwenye imani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nape akihojiwa na star tv leo asubuhi anasema mikoa yote ya Tanzania imeunganishwa kwa lami wanajipanga kuunganisha wilaya. Jamani hivi Kigoma-Tabora? Kigoma-Shinyanga? Dodoma-Manyara? Huyu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
MONDAY, NOVEMBER 12, 2012 MRADI UTAOMALIZA KABISA KERO YA MGAO WA UMEME NCHINI Michoro ya sehemu mradi mkubwa wa bomba la gesi asilia linalotoka Mtwara hadi eneo la Kinyerezi jijini Dar es...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimekua nazungukazunguka kwenye mitandao ya kijamii yenye origin ya mataifa mengine ya Africa, at least kujua wao wanachukuliaje mambo yao wenyewe, mahusiano yao na watu wa mataifa mengine na hasa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
BAADA ya kubainika kwamba tuhuma zilizotolewa na viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini dhidi ya baadhi ya wabunge kuwa walipokea rushwa hazikuthibiti na viongozi hao kukemewa, Mbunge wa Ubungo...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
  • Closed
Baada ya kutoa matamshi ya ajabu kwa kiongozi wa Malawi kwamba Tanzania haimiliki ziwa nyasa, nadhani ni vyema rais Kikwete kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye. Hawezi tena kuiongoza nchi. Ni...
12 Reactions
80 Replies
7K Views
Frustrated by delays and high costs of constructing roads by private companies, government has resorted to establishing a national construction company to swiftly construct roads. UNRA Director...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Dear Mwl. Nyerere, Tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika, siku hizi mlima Kilimanjaro uko Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi,Tanzanite iko Kenya, Tanesco ni ya Lowassa, Shekh Ponda ndo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By In2EastAfrica Reporter Remember the old druid of Samunge; the one who lured millions to the remote plains of Sonjo (in the Sale...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimesoma magazeti ya leo, na kuona bwana mkubwa unavyotishia nyau, kwamba liwalo na liwe utapata ushindi wa kishindo katika nec ijayo Sikushangaa sana lakini nilishtushwa na tambo zako ambazo...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom