Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Edson Zephania, Jun 21, 2011.

 1. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Msimamo wa kutopokea posho upo palepale, tufanye maamuz kwa maslah ya wananch na si wabunge, walimu, polisi, manesi nk wanapata wapi posho?. Kama suala ni sheria bunge ndo hutunga sheria hvyo pia kunauwezekano wa kubadilisha.

  Ni kwamba Mbowe amejaribu kuelezea unafiki wa viongozi na wabunge katika nyanja hizi.
  1. Je kuna kiongozi mpaka leo hii ambaye hajui ukimwi unaambukizwaje? Sasa hizo semina ni za nini?
  2. Wafadhili wanasafiri na economy class watanzania wafanyakazi business class
  3. Je ni wangapi wakistaafu wanaweza nunua shangingi? Sasa ni kwanini yasiuzwe na wafanyakazi wakopeswhe magari yao?
  4. Semina zimezidi kila waheshimiwa wakienda wanaishia kupewa mabegi, huo ni wizi mkubwa sana.

  Kwa kifupi viongozi wanatumia muda mwingi kwenye vikao vya kulipana posho na kama hamna posho hamna anayehudhuria
   
 2. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Magari ya serikali, kila mfanyakaz akopeshwe na anunue gari lake na alitumie atakavyo.
   
 3. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Manunuz ya umma, serikali hufanya manunuz above the normal price.
   
 4. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  nakusoma mkuu mwaga nyuziiiii
   
 5. J Rated

  J Rated JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  jamaa nimemkubali kweli..alipoanza kuongea ilibidi ofc nzima shughuli zisimame tumsikilize..
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  endeela kutuhabarisha mkuu
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nimemsikiliza Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe. Kwa kweli alichokiongea naweza Kusema Amefunga Bunge la kumi (10), bila shaka kuna watu machozi yamewatoka. Ni Misumari ya Moto mwenye Macho haambiwi Tazama
   
 8. z

  zamlock JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  lete habar mkuu mbona kimya hiyo nitaingalia saa sita usiku jamaa ni mtambo sasa na kuhusu habari ya magazeti kwenye gazeti la mwanchi?na upotoshaji wa taarifa unafiki sana
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wabunge wanasafiri First Class kwenda Washngton kwa Kwa Shillingi millioni 12 wakati Donors wanasafiri Economy class
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Jamani hakuna umeme - tv zimika. leteni habari
   
 11. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yahaaaaa ni kweli nimemsikiliza ameongea point mwanzo mwisho,alafu kulikuwa na utulivu wa hali ya juu pindi anaongea.
   
 12. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Viongozi wiki nzima wanakimbizana kwenye Seminar lengo lao ni kufukuzana na Posho. Kuna Viongozi mpaka leo hawajui jinsi ya Kujikinga na ukimwi?
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ule Utulivu ni Sindano iliyokuwa inaingia Taratiiiibu
   
 14. d

  deecharity JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Kila kikao wanapewa mabegi, tangia awe mbunge analather bag 24 zinaishia kugaiwa kwa ndugu 2.
   
 15. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kasema nini sasa mbona hutuhabarishi
   
 16. z

  zamlock JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  aisee ccm wanalo je kuna kitu wanaweza zungumza tena wandugu hao ccm si ni bora bunge lifungwe alafu watekeleze hayo
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!safi sana mawazo mbadala ni muhimu sana katika kuongozi nchi hii!!
   
 18. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ameuliza ni watumishi wangapi wa Uma leo wakiingia kwenye Sekta Binafsi wataendelea kutumia Mashangingi? Ni watanzania wangapi walio kwenye sekta ya Una leo hii wakiwa kwenye sekta binafsi watasafiri Bussoness Class ( Hata kupanda ndege tu). Hiki ni Kibano ambacho nadhani mpaka sasa Wabunge wanaendele kukijadilia mioyoni mwao
   
 19. d

  deecharity JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  wakishastafu ubunge hakuna anaethubutu kupanda first class, wala bussinec class na wengine hata hzo ndege hawapandi kabisa.... Kanifurahisha sana.
   
 20. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sisi tunaendelea kujichana Kwenye Mashangingi huku Wagonjwa wetu tunawanunulia Bajaji ha ha ha haaa
   
Loading...