PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Nawapongeza ccm kwa ujasiri walionao.na mbwembwe nyingi zisizo na maana.
ni aibu kwa watu wazima kushabikia maamuzi ya ccm kupasha kiporo moto kisha kukileta mezani na kuanza kukisifia eti chakula hiki ni freshi kabisa.
na walaji wakijua kabisa kuwa hiki ni kuporo nao kwa unafiki wanapiga makofi na kusema kweli hiki nichakula fresh.
ninachoweza kusema ni kuwa KILICHOBADILIKA HAPO NI MSITU,LAKINI NYANI NI WALEWALE.