Mnazi bay gas to dsm what is the secret inside this issue


Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
290
Points
0
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
290 0
Sasa hapo unauliza nini?
umechambua hiyo habari umeona kuna tatizo?

au unataka tusome kilichomo ndani?kwangu mimi cjaelewa vipimo hivi hapa chini labda kwa sababu sio expert wa haya mabo ya gas

''The Mnazi Bay concession partners have been asked to provide 80mmcf/d of gas upon completion of the pipeline and then to increase the supply amount to 200mmcf/d as soon as practicable.''

L
 
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2010
Messages
6,720
Points
2,000
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2010
6,720 2,000
Sasa hapo unauliza nini?
umechambua hiyo habari umeona kuna tatizo?

L
Labda la msingi ni kwamba inaonyesha hawa jamaa hawana interest ya kutumia hii gas kuzalisha umeme, bali wanataka itumike kwenye petrochemical indusrty, pamoja na kuzalisha mbolea. Ukweli ni kwamba petrochemical industry huingiza hela nyingi zaidi ya kutumia gas kwa umeme, hivyo mwekezaji yeyote atapendelea gas itumike kwenye petrochemical industry, sio umeme.

Hata hivyo JK alishasema hapa juzi kwamba yeye piga ua hataki gas yetu iende kwenye petrochemical industry bali izalishe umeme. Songo Songo nayo ilipitia ubishi huu huu. Maoni yangu ni kwamba serikali inapaswa kufikiria yote mawili.

Ila sasa hapa ni suala la Wentworth Vs msimamo wa JK
 
M

mwimbule

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Messages
520
Points
225
M

mwimbule

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2009
520 225
Tunataka bei ipungue sana kwani kisingizio cha fedha za kigeni kutumika kuagiza mafuta hakipo sasa.Bei ipungue sana.
 
Azipa

Azipa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Messages
1,070
Points
1,225
Age
31
Azipa

Azipa

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2012
1,070 1,225
Labda la msingi ni kwamba inaonyesha hawa jamaa hawana interest ya kutumia hii gas kuzalisha umeme, bali wanataka itumike kwenye petrochemical indusrty, pamoja na kuzalisha mbolea. Ukweli ni kwamba petrochemical industry huingiza hela nyingi zaidi ya kutumia gas kwa umeme, hivyo mwekezaji yeyote atapendelea gas itumike kwenye petrochemical industry, sio umeme.
Sijaona sehemu ambayo WENTWORTH wameonesha hawana interest ya kuwauzia Tanesco gas kwa kuzalisha umeme.

Nilichoona ni kwamba Wentworth wamebariki utafiti wa Nexant kwamba hiyo petrochemical industry iwe inazalisha METHANOL na UREA kwa kuakisi mahitaji ya Tanzania na pia gharama ya uzalishaji wa hizo bidhaa ni rahisi.

Ningependa kujua ujenzi wa mtambo wa kuzalisha umeme wa gas, je ujenzi wake umeshaanza au hizo dola 684 million mkopo toka
EXIM BANK zishaliwa na mafisadi?
 

Forum statistics

Threads 1,283,903
Members 493,869
Posts 30,805,569
Top