SIONI kama CCM ina KATIBA, naona KATIBA ni MWENYEKITI

N

NYAMKANG'ILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
223
Points
195
N

NYAMKANG'ILI

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
223 195
CCM kwa miaka huwa kinatamba kwamba ni chama "imara, chenye uongozi imara, katiba bora, sera nzuri".

LAKINI nikitazama kwa undani, sioni kama CCM ina vitu hivyo.

CCM ina mwenyekiti, na mwenyekiti ndiye KATIBA, SERA na kila kitu ndani ya CCM. Hakuna chama hapa TZ ambacho hakina democrasia, au basi tuseme kina demokrasia ambayo haijulikani hapa duniani, kama CCM. TAZAMA kwa mfano MWENYEKITI WA CCM ndiye:

(1) anayeunda KAMATI KUU, ambayo ndiyo inayoongoza chama;

(2) anaunda secretariati, ya akina KINANA kwa sasa;

(3) anabadili KATIBA na KANUNI kadri anavyoona inafaa na VIKAO CC & NEC vinabariki tu nk - JE HAPO KUNA DEMOCRASIA?

ONA, mwenyekiti CCM akitaka SITTA asiwe spika, basi ni suala la yeye kusema kuwa sasa ni zamu za akina mama FINITO au akitaka apate kura zote, anasema kila mkoa upige kura
kivyake: HAKUNA DEMOKRASI
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000

- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!

Le Mutuz!!
 
lm317

lm317

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Messages
452
Points
0
lm317

lm317

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2009
452 0
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!

Le Mutuz!!
Du Hoja zake ni kiboko! Umeshindwa kujibu hata moja?
 
K

Kanundu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
891
Points
0
K

Kanundu

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
891 0
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!

Le Mutuz!!
Wana sema eti umerudi home kuwahi URITHI. Kisa, mmemshtukia MPARE.
 
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
4,696
Points
2,000
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
4,696 2,000
Africa na democracy ni mtu na mkwewe
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Points
1,225
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 1,225
Mwanangu William Malecela sikujua kuwa umeishiwa hivyo. CCM ni chama tawala hivyo watanzania wana haki na wajibu wa kuiongelea. Kama Mungu mwenyewe anaongelewa itakuwa CCM? Mbona umedandia CDM imeingiaje mwanangu kama siyo kuishiwa? Nasikia ulisoma Marekani. Mbona huonyeshi cheche hata chembe za usomi zaidi ya kutumia jina la baba yako kuganga njaa kisiasa?

Hebu onyesha makeke yako ya kisomi badala ya kuandika kama mhuniii wa Manzese au Mwenge kwa wapiga debe. Hebu pinga kuwa Mkiti hakumkataa Sitta na kuweka mtu wao wa kulinda ufisadi wao yaani Anna Makinda spika wa kusimikwa na mafisadi? Hebu kanusha uvumi kuwa wana CCM wengi hasa wa mtandao wa EL hawakutaka Kikwete aendelee kuwa mkiti lakini bahati mbaya wazimwa kimizengwe.

Hebu pinga kuwa CCM si chama cha mizengwe hasa ukirejea alivyozuiwa baba yako mwenyewe kugombea urais mara nyingi tu. Hebu rejea alivyowekewa zengwe akishindwa na mhuniii bingwa wa matusi Lusinde aka ******** kwa kisukuma. Kwa leo ni hayo tu mwanangu.
 
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,506
Points
1,250
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,506 1,250
Mwanangu William Malecela sikujua kuwa umeishiwa hivyo. CCM ni chama tawala hivyo watanzania wana haki na wajibu wa kuiongelea. Kama Mungu mwenyewe anaongelewa itakuwa CCM? Mbona umedandia CDM imeingiaje mwanangu kama siyo kuishiwa? Nasikia ulisoma Marekani. Mbona huonyeshi cheche hata chembe za usomi zaidi ya kutumia jina la baba yako kuganga njaa kisiasa? Hebu onyesha makeke yako ya kisomi badala ya kuandika kama mhuniii wa Manzese au Mwenge kwa wapiga debe. Hebu pinga kuwa Mkiti hakumkataa Sitta na kuweka mtu wao wa kulinda ufisadi wao yaani Anna Makinda spika wa kusimikwa na mafisadi? Hebu kanusha uvumi kuwa wana CCM wengi hasa wa mtandao wa EL hawakutaka Kikwete aendelee kuwa mkiti lakini bahati mbaya wazimwa kimizengwe. Hebu pinga kuwa CCM si chama cha mizengwe hasa ukirejea alivyozuiwa baba yako mwenyewe kugombea urais mara nyingi tu. Hebu rejea alivyowekewa zengwe akishindwa na mhuniii bingwa wa matusi Lusinde aka ******** kwa kisukuma. Kwa leo ni hayo tu mwanangu.
wabheja!
 
T

timbilimu

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
4,805
Points
1,250
T

timbilimu

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
4,805 1,250
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!

Le Mutuz!!
Njaa mbaya!
 
nahavache

nahavache

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2009
Messages
869
Points
195
nahavache

nahavache

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2009
869 195
CCM mwenyekiti ni everything. Ila Makamba juzi alipokuwa anatumia vitabu vitakatifu kumnadi mtetea ufisadi ndio alinionyesha kuwa kweli Tanzania tumeshanunuliwa tayari
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,878
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,878 2,000
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!

Le Mutuz!!
Sio siri unakiaibisha chama chako.
Jibu hoja kama mwana ccm anayekijua chama chake.

Mwenyekiti wenu aliwataka mjibu hoja na mjitahidi kukijenga chama ila wewe badala ya kujibu hoja kwa kutoa maelezo ya kina kupinga au kukubali hoja chakushangaza wewe unaruka mada na kukimbilia nje ya hoja kwa kuongea majibu ya kitoto na rahisi juu ya maswali magumu.

Wewe unanifanya niamini kuwa ccm ni sawa na mbwa anayejisaidia na kula kinyesi chake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,497
Points
2,000
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,497 2,000
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!

Le Mutuz!!
Ha! Ha! Ha! Ha! Wasap men!!!!!! Mabebi wa ukweli. Hivi ni baadhi ya vitu vinavyokufanya ushindwe chaguzi kibao wewe mla burger
 
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
13,358
Points
2,000
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
13,358 2,000
CCM kwa miaka huwa kinatamba kwamba ni chama "imara, chenye uongozi imara, katiba bora, sera nzuri".

LAKINI nikitazama kwa undani, sioni kama CCM ina vitu hivyo.

CCM ina mwenyekiti, na mwenyekiti ndiye KATIBA, SERA na kila kitu ndani ya CCM. Hakuna chama hapa TZ ambacho hakina democrasia, au basi tuseme kina demokrasia ambayo haijulikani hapa duniani, HAKUNA DEMOKRASI
NYAMKANG'ILI

Wapi ipo demokrasi? Ni DOMO na makaratasi tu.

Lakini umenikumbusha kadhia moja wakati wa uchaguzi ndani ya CCM. Wakati huo katika magumashi Mwalimu Nyerere ndio alikuwa Mwenyekiti( kwa maneno yako ndio alikuwa KATIBA). Ndio ..Mwenyekiti, Mwalimu alikuja na na kitu KAPU..kura za kapu, wagombea kupitia kapu.

Kuna kijana mkakamavu, alipitia katiba yote ya Chama chao(CCM) hakuona kipengele cha KAPU. Aliomba ruhusa kutoka kwa mwenyekiti kutaka kudadisi na apatiwe ufafanuzi.

Mwalimu alimpa muda ili kijana atoe dukuduku lake. Alimweleza Mwenyekiti kuwa utaratibu wa KAPU ni kuvunja Katiba ya Chama. Katiba haina kipengele cha KAPU.

Mwalimu alipandwa na hasira..kwa nini kijana mdogo anahoji maamuzi ya Mwenyekiti(KATIBA).

Alimwamrisha kijana kukaa chini. Kijana akawa hajaridhika, analalamika lalamika.

Mwalimu alimwambia" Mwenyekiti akizungumza katiba yako tia mfukoni."

Kijana alinywea na kujikalia chini...sijui alifanywa nini baadae. Anayeikumbuka hii kadhia achangie.

Kwa hiyo, Katika CCM itakuwa wanafata mfano wa Mwasisi wa CCM, ya kuwa Mwenyekiti ndio KATIBA.

Kama Le Mutuz alikwambia.... CCM (Prof. Shivji huiita Chai Chapati Maharage) ina wenyewe bana...akina KOMBA...Big show!!!
 
M

mang'ang'a

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
812
Points
500
M

mang'ang'a

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
812 500
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!

Le Mutuz!!
HABARI YA ASUBUHI MKUU, NI NANI ALIKWAMBIA HUYU NI cHADEMA? JIBU HILI KISHA TUENDELEE
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
Mwanangu William Malecela sikujua kuwa umeishiwa hivyo. CCM ni chama tawala hivyo watanzania wana haki na wajibu wa kuiongelea. Kama Mungu mwenyewe anaongelewa itakuwa CCM? Mbona umedandia CDM imeingiaje mwanangu kama siyo kuishiwa? Nasikia ulisoma Marekani. Mbona huonyeshi cheche hata chembe za usomi zaidi ya kutumia jina la baba yako kuganga njaa kisiasa?

Hebu onyesha makeke yako ya kisomi badala ya kuandika kama mhuniii wa Manzese au Mwenge kwa wapiga debe. Hebu pinga kuwa Mkiti hakumkataa Sitta na kuweka mtu wao wa kulinda ufisadi wao yaani Anna Makinda spika wa kusimikwa na mafisadi? Hebu kanusha uvumi kuwa wana CCM wengi hasa wa mtandao wa EL hawakutaka Kikwete aendelee kuwa mkiti lakini bahati mbaya wazimwa kimizengwe.

Hebu pinga kuwa CCM si chama cha mizengwe hasa ukirejea alivyozuiwa baba yako mwenyewe kugombea urais mara nyingi tu. Hebu rejea alivyowekewa zengwe akishindwa na mhuniii bingwa wa matusi Lusinde aka ******** kwa kisukuma. Kwa leo ni hayo tu mwanangu.
- Kabla hujafundisha wengine Demokrasia anza na kwako, mruhusuni Zitto kugombea Urais kwanza ndio tutaamini mko serious na Demokrasia, otherwise ya CCM hayawahusu jalini ya kwenu huko ndani mnakouziana malori mabovu ya Mwenyekiti wenu! ha! ha! ha!

- Unasema kundi la EL hawakutaka JK aendelee kwani kundi la Mbowe lini limekubali Zitto agombee Urais? Yaani maneno maneno ya kizandiki, huna hoja nani hapa anataka kujua mambo ya baba yako aligombea au hakugombea, I mean what is this mbona nonsense at best!!

Wacheni kupiga piga mayowe people wacheni wananchi waone wenyewe!

LE Mutuz!!
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
Ha! Ha! Ha! Ha! Wasap men!!!!!! Mabebi wa ukweli. Hivi ni baadhi ya vitu vinavyokufanya ushindwe chaguzi kibao wewe mla burger
- Tizama mwingine huyu naye I guess hivyo ndio vinakufanya ushinde chaguzi right? ha! ha! ha! wewe umeshinda chaguzi mara ngapi bro?

Le Mutuz!!
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
Sio siri unakiaibisha chama chako.
Jibu hoja kama mwana ccm anayekijua chama chake.

Mwenyekiti wenu aliwataka mjibu hoja na mjitahidi kukijenga chama ila wewe badala ya kujibu hoja kwa kutoa maelezo ya kina kupinga au kukubali hoja chakushangaza wewe unaruka mada na kukimbilia nje ya hoja kwa kuongea majibu ya kitoto na rahisi juu ya maswali magumu.

Wewe unanifanya niamini kuwa ccm ni sawa na mbwa anayejisaidia na kula kinyesi chake.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
- ha! ha! ha! ha! kwanza mruhusuni Zitto agombee urais, and then mje mtufundishe Demokrasia,! ha! ha1 ha1

Le Biig Shoow!!
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
Njaa mbaya!
- Sawa sawa kumbe mnaongozwa na njaa ndio maana mnalilia sana Ikulu! ha! ha! ha! lakini si umeona wananchi walivyo na akili sana Mikutano yenu wanajaaa kura wanatupa CCM, maana walishagundua siku nyingi mnaongozwa na njaaa!

Le Mutuz!!
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
Wana sema eti umerudi home kuwahi URITHI. Kisa, mmemshtukia MPARE.
- Hii ndio Chadema hakuna hoja ila kuweweseka tu! ha! ha! ha! ha! ha! now tell me what this has to do na mada? Foolish!

Le Mutuz!
 
patience96

patience96

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Messages
1,187
Points
1,225
Age
38
patience96

patience96

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2011
1,187 1,225
Nonsense! Jenga hoja, wacha kushambulia mtu!
 
Forum statistics

Threads 1,283,903
Members 493,869
Posts 30,805,569
Top