PICHA: Ziara ya Kinana Mtwara yafana

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
708
500

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,195
2,000
Kufana kwake ni kuwepo kwa watu au kupokelewa na watu ambao wote wanaonekana wana afya njema na wameshiba hawana matatizo yale yampatayo mwananchi wa hali ya chini kau kufana unakufananishaje mkuu
Maana wanatumia fedha kwenye hizo ziara na wataishia tuu kutoa matamko ambayo mengine hata kazi hayatafanyiwa na mwananchi wa kipato cha chini atabaki na ufukara wake
Je ni nini wanampelekea mwananchi wa chini ambacho kwa miaka kibao ambayo sekretarieti iliyopita walishindwa kukipekeka mpaka waje wanyanyule now two years kabla ya uchaguzi mwingine
Je waliokuwepo akiwepo na Nape tuseme walishindwa kufanya kazi yao
 

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,588
1,195
Vipi wamezindua miradi mingapi?Bei ya korosho imepanda?Vipi kuhusiana na gesi?au ni ubwabwa na kofia na kuiwaza chama kubwa CHADEMA
 

LIpili

Member
Apr 14, 2012
43
0
Tutachotaka atatue tazizo la soko la korosho kama alivyoahidi, hapo ndio tutasema ziara imefana, zaidi ya hapo ni upuuzi tu
 

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,539
2,000
Huku SIKONGE hatuwataki. Labda waende Urambo na Kaliua kwa Sitta na Lipumba.
Si wangeenda Moshi, Mwanza ama Arusha. Kwa nini wameenda Mtwara ambayo ni firewall ya CCM? Najua wakitoka huko wataenda Tanga, Tabora, Singida na Rufiji ambako siku zote ndiko kuna % kubwa ya wadanganyika
 

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,785
2,000
Si wangeenda Moshi, Mwanza ama Arusha. Kwa nini wameenda Mtwara ambayo ni firewall ya CCM? Najua wakitoka huko wataenda Tanga, Tabora, Singida na Rufiji ambako siku zote ndiko kuna % kubwa ya wadanganyika
Labda wanakwenda kuismalisha stronghold yao!kazi kweli kweli!
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,195
2,000
Title na content mbona haviendani? yafana????
Mkuu POMPO kufana kwake ni huko kupokelewa na hao watu walioshiba hapo na wenye mashati na tshirt za kijani
na walivyokaa kwenye ukumbi wao washajitenga tayari na mwananchi wa kawaida wanapepewa na feni na wana bahasha zao kwa ajili ya kikao
hapo ndo maana ya kufana
kwa nini tusingewaona kwanza wanaenda vijijini huko ambako ndio kuna wananchi wa kawaida wakasikilize kero zao badala ya kuja kukaa kwenye ukumbi wanapepewa na kupewa chupa za maji ya kilimanjaro
 
Last edited by a moderator:

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,785
2,000
Huku SIKONGE hatuwataki. Labda waende Urambo na Kaliua kwa Sitta na Lipumba.
Kwa hiyo said Nkumba na CCM yake wanaweza kuliachia jimbo la sikonge 2015 ?Naona CDM wameanza kwa kazi kwa kushinda ilie kata moja katika jimbo la sikonge!
 

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,072
1,195
Si wangeenda Moshi, Mwanza ama Arusha. Kwa nini wameenda Mtwara ambayo ni firewall ya CCM? Najua wakitoka huko wataenda Tanga, Tabora, Singida na Rufiji ambako siku zote ndiko kuna % kubwa ya wadanganyika
Moshi na Arusha atakwenda kipindi cha uchaguzi kwa kuleta mbege na bia ambazo wenyeji wa huku wanapenda ile mbaya! wee angalia matokeo ya urais huku Kaskazini CCM huongoza kwa idadi ya kura!
Huku hakuna haja ya kutembela sana maana siku ya uchaguzi wapinzani hupigwa bao wakiwa wamelewa chakari mbege, bia, nyama choma na ngono!
 

lufungulo k

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
2,108
2,000
kufanya ziara tu, jamaa wanaingia baridi BRAVO CCM utambulisho ni muhimu panga mikakati kamambe.nchi ichemke waelezeni wananchi ukweli msiweke porojo nyinyi ni watawala.
 
Top Bottom