CCM yakwama Katoro


Yegoo

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Messages
1,313
Likes
15
Points
135
Yegoo

Yegoo

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2012
1,313 15 135
Viongozi wa ccm,wamepewa Angalizo na wananchi wa mji wa katoro-GEITA,baada ya kupata maudhuria machache sana,zikiwa ni salamu kwa chama hicho kuwa hakikubaliki!
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
36,768
Likes
47,523
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
36,768 47,523 280
Watu wameshajua kuwa CCM ni Chama Cha Majangili.


HATARI:
Weka mbali na Tembo.
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,175
Likes
3,954
Points
280
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,175 3,954 280
wamehonja joto nahisi kuna sehemu watakuwa wanaongea na mawe tu
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,746
Likes
549
Points
280
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,746 549 280
Tembo kaa mbali na CCM .HATARI!
 
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,748
Likes
77
Points
145
Age
38
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,748 77 145
Nachukulia picha wakifika arusha sjui itakuaje?
 
K

Kimweli

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Messages
879
Likes
68
Points
45
K

Kimweli

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2011
879 68 45
Mmeshau kuweka na wauwaji. Wanawindana hadi wao kwa wao na usalama wa wauaji wao. Shame o. then
 
M

Mthuya

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Messages
1,415
Likes
65
Points
145
M

Mthuya

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2011
1,415 65 145
Majambazi Ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
12,031
Likes
1,384
Points
280
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
12,031 1,384 280
Kama wameweza kumchagua mhujumu wa nyara za taifa kuwa moja ya viongozi wao waandamizi basi jua ni Chama Cha Majangili. Walifanya kosa kubwa sana, na litawagharimu.
 
A

Aristides Pastory

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Messages
348
Likes
0
Points
0
Age
29
A

Aristides Pastory

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2012
348 0 0
Safi sana.... Pongezi kwa Wananchi wa KATORO-Geita.... Kidumu Chama cha Mapokeo
 
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
3,938
Likes
18
Points
135
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
3,938 18 135
Tena wameanzia nyumbani kwao ,najua Karagwe na kyerwa hawataenda
 

Forum statistics

Threads 1,238,902
Members 476,226
Posts 29,336,127