Waziri Maghembe azomewa na wananchi Gallapo-Babati

A

Antar bin Shaddad

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Messages
202
Points
170
A

Antar bin Shaddad

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2010
202 170
Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amezomewa na wananchi wa mji mdogo wa Gallapo wilayani Babati wakati wa mkutano wa hadhara baada ya waziri huyo kuktaa kuulizwa maswali na wananchi kuhusu kero ya maji na mgogoro wa muda baina yao na mamlaka ya maji ya mji huo GAWASA.Baada ya maghemmbe kuktaa kuulizwa maswali na wananchi walianza kumzomea pamoja na maafisa wa serikali alioandamana nao na mkutano ulivunjika ambapo waziri huyo aliondoka huku polisi wakiwazuia watu wasimdhuru pamoja na msafara wake.

Kwa muda mrefu mji wa Gallapo umekumbwa na uhaba wa maji kwa kile kinachoelezwa kuwa mamlaka hiyo imeshindwa kuwajibika na kutegemea chanzo kimoja cha ambacho kilianzshwa na wananchi hao miaka karibu ishirini iliyopita huku idadi ya watu ikiwa tayari imeongezeka kwa asilimia 100 katika kipindi hicho.
 
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
8,612
Points
1,500
Age
37
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2012
8,612 1,500
Huyu nae..karushwa shea ktk dili la umiliki wa mabasi na Enea Mrutu.
 
B

blueray

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
2,219
Points
0
B

blueray

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
2,219 0
Duh! pole yake. Itabidi hizi ziara za mikoani waziache, naona hata wananchi vijijini wameshawashtukia!
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,460
Points
2,000
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,460 2,000
tena wamekosea wangemtimua na bakora kabsaaaa
 
Heavy equipment

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
957
Points
500
Heavy equipment

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
957 500
Kinana hajayaiona yaliyomkimbiza mku wa wilaya Igunga mpaka kwenda kuomba maji, kinana take care M4C inatisha
 
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,700
Points
1,195
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,700 1,195
Nape na Kinana wake waende huko! Maprofesa wengine kwa kujidhalilisha.
 
bishoke

bishoke

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2010
Messages
276
Points
0
bishoke

bishoke

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2010
276 0
Hivi kumbe huyu prof bado ni Waziri!. Nina kipindi kirefu sijamsikia akiongea wala kufanya chochote muhimu kama waziri Mwakyembe au Magufuli. Nadhani anastahili kuamshwa kidogo.
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
39,357
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
39,357 2,000
Huyu maghembe anaogopa maswali kiasi hicho??
TZ ya sasa sio ya mazezeta, hichi chama cha majangili kinahitaji kujipanga mno.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,605
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,605 0
Mkwele anayatuma tu yaende kwa wananchi kufanya mikutano, nayo kama mazezeta yanakwenda tu bila kufikiri.
Wananchi safi sana, zomea zomea mpaka wakimbie.
 
A

afwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
4,086
Points
1,250
A

afwe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
4,086 1,250
Tatizo Boss wake hajui kuwa kateua bomu!
 
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
3,577
Points
1,195
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
3,577 1,195
yaani kwa kifupi elimu kubwa ikiingia kwenye siasa inazidiwa hata na elimu ya darasa la form 4 angalieni maprofessor wetu kama Mwandosya, Msola, etc wanafanya nini bungeni nje ya kuzomea hoja za mashiko za upinzani?
 
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Messages
3,729
Points
1,225
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2010
3,729 1,225
Hawa wakimbia midahalo hawawezi kukubali kuulizwa maswali. Huwa kuna uongo wao wameupanga kuwaambia wananchi wakiulizwa maswali hawataweza kuutetea uongo huo, yanaamua yakimbie.
 
Makene

Makene

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,478
Points
1,195
Makene

Makene

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,478 1,195
professor magembe, eeh, ati professor! Kama yule wa akina masanja. Mmesema ana u'professor' wa maji au?
 
MANGUNGO

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
1,538
Points
1,170
MANGUNGO

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
1,538 1,170
Profesor wa umbulula.......acha azomewe tu...
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,284
Points
2,000
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,284 2,000
eti wakajibu mapigo... teh teh teh! sasa badala ya kujibu mapigo wanapokelewa kwa mapigo,watakoma!
 
Filipo

Filipo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
9,321
Points
1,250
Filipo

Filipo

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
9,321 1,250
Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amezomewa na wananchi wa mji mdogo wa Gallapo wilayani Babati wakati wa mkutano wa hadhara baada ya waziri huyo kuktaa kuulizwa maswali na wananchi kuhusu kero ya maji na mgogoro wa muda baina yao na mamlaka ya maji ya mji huo GAWASA.Baada ya maghemmbe kuktaa kuulizwa maswali na wananchi walianza kumzomea pamoja na maafisa wa serikali alioandamana nao na mkutano ulivunjika ambapo waziri huyo aliondoka huku polisi wakiwazuia watu wasimdhuru pamoja na msafara wake.

Kwa muda mrefu mji wa Gallapo umekumbwa na uhaba wa maji kwa kile kinachoelezwa kuwa mamlaka hiyo imeshindwa kuwajibika na kutegemea chanzo kimoja cha ambacho kilianzshwa na wananchi hao miaka karibu ishirini iliyopita huku idadi ya watu ikiwa tayari imeongezeka kwa asilimia 100 katika kipindi hicho.
Hii ndio sura halisi ya viongozi wa ccm. Uoga, kiburi, dharau na ufupi wa kifikra.
Rest in hell ccm!
 
B

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
9,743
Points
0
B

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
9,743 0
Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amezomewa na wananchi wa mji mdogo wa Gallapo wilayani Babati wakati wa mkutano wa hadhara baada ya waziri huyo kuktaa kuulizwa maswali na wananchi kuhusu kero ya maji na mgogoro wa muda baina yao na mamlaka ya maji ya mji huo GAWASA.Baada ya maghemmbe kuktaa kuulizwa maswali na wananchi walianza kumzomea pamoja na maafisa wa serikali alioandamana nao na mkutano ulivunjika ambapo waziri huyo aliondoka huku polisi wakiwazuia watu wasimdhuru pamoja na msafara wake.

Kwa muda mrefu mji wa Gallapo umekumbwa na uhaba wa maji kwa kile kinachoelezwa kuwa mamlaka hiyo imeshindwa kuwajibika na kutegemea chanzo kimoja cha ambacho kilianzshwa na wananchi hao miaka karibu ishirini iliyopita huku idadi ya watu ikiwa tayari imeongezeka kwa asilimia 100 katika kipindi hicho.
sasa nin maana ya yeye kuwa waziri na asingepewa uwaziri angmlaumu mwenyekiti wake?huyo rais wake anasikiliza kero za wananchi wake y maghembe?
Ila sishangai maghembe utotoni mwake hata baba yake hakuwa akimsikiliza alikua mtoro sana wa shule,anatoroka kwao haendi shule hadi bakora,huenda suala la kupuuzia bado linaendelea
 
Forum statistics

Threads 1,295,830
Members 498,404
Posts 31,224,572
Top