Wafanyakazi wa bot ambao walikuwa wanshatakiwa kwa kesi zile epa kutoka kitengo cha madeni ya nje, wamapatikana na hatia katika hukumu ilyosomwa jioni na kuhukumiwa miaka 5 jela
source: Mahakamani jioni hii
exactly mkuu, hawa walipewa amri watoe pesa, wengi wao ni maskini wa kutupa, wale waliotajirika na hizi pesa, rostam, lowasa, mangula, jk wako mtaani wakijinafasi.changa la macho hilo!! Wafanyakazi wa hali ya chini ndo wanaenda jela!!! Yale mafisadi papa wala hayataguswa!!!
Ni hawo! Hawo mkuu wangu
exactly mkuu, hawa walipewa amri watoe pesa, wengi wao ni maskini wa kutupa, wale waliotajirika na hizi pesa, rostam, lowasa, mangula, jk wako mtaani wakijinafasi.
Mungu atakuwa na hawa
Wakome! Bado akina Mwigulu Chemba
Wao hawakuwa na hela za kwenda KUFIA marekani kama Daudi?
Sasa ofisini nitakuwa makini kila dili la mkubwa nitakuwa mjanja maana ukikubali kila kitu hawa hawakawii kukutumia kama karai na kukuacha hapa inabidi kuwa mbishi hata kama una njaa