Wizi- mamboleo wa Ex- Waziri Ngelenja kwa kete ya Stiegler's Gorge

OMBUDSMAN mtoto

OMBUDSMAN mtoto

Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
87
Points
0
OMBUDSMAN mtoto

OMBUDSMAN mtoto

Member
Joined Sep 28, 2012
87 0
Wakoloni walifukuzwa toka sehemu mbalimbali Afrika, lakini sasa wanaendelea kutuibia kwa mtindo wa ukoloni- mamboleo; ndivyo William Ngeleja anapanga kuendeleza wizi-mamboleo kupitia mikono michafu ya mkabila mwenza na rafiki wa karibu sana Mkurugenzi Mkuu wa Rubada, Aloyce Masanja.

Ngeleja amekuwa halali bali kuzunguka kwenye Ofisi za wakubwa na hatimaye mkataba umesainiwa na CEO wa Rubada ili kutekeleza Mradi wa kuzalisha umeme wa Stiegler's Gorge ambao feasibility study na business plan vinaonyesha giza totoro kwa siku za usoni!

Maswali
1. Kwa nini tujikite katika chanzo cha aina moja cha HEP kila siku ni vilio vya maji kukauka (ref. vyanzo vyote sita vya Bwawa la Mtera, Kidatu, Kihansi, New Pangani Falls, Bwawa la Nyumba ya Mungu na Hale) wakati tuna fursa za alternative energies kibao?

2. Kwa vile kuzalishwa umeme huo ni kupitia mradi wa gharama kubwa wa zaidi ya Bilioni 2 (USD) ni wazi hao Wawekezaji nao wataidai TANESCO na je hizo gharama kubwa sana hazitaishia kumfikia mtumiaji mwananchi aliyekwisha pigika na ugunu wa maisha?

3. Kama Ngeleja & Masanja wameahidiwa kukatiwa hisa katika mradi huo tunawezaje kuamini kuwa huu utakuwa mradi wa kuwakomboa watanzania tofauti na majenereta yanayoumiza Tanesco na nchi kwa ujumla?
Wezi sasa si lazima wawe mawaziri au makatibu wakuu au maCEO, tusipoangalia wanatuibia huku wakiwa mtaani kwa kuwazungukiwa MaCEO ofisini na vi-brief-case vyao!!

Tuupinge wizi mambo-leo kwa kudai tuone upembuzi yakinifu wa huu mradi toka asasi zinazoaminika na pia Taifa sasa liweke kipaumbele kwa vyazo vingine vya umeme (upepo, jua, makaa, gas n.k ) kuliko mambo ya kusubiri kuchungulia utabiri wa hali ya hewa, ngurumo, pepo za kusi na mvua za mtawanyiko ambazo hazileti mvua za masika na hivyo migao ya umeme kuwa moja ya tunu za kitaifa!!!
 
P

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
1,002
Points
1,250
P

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
1,002 1,250
Wewe ****** nadhani unachuki na wasukuma.Kwa nini useme masanja ni mkabila mwenzake na ngeleja? Wewe unajua masanja anatoka wapi? Watu wapuuzi kama nyie kwetu Mara ni mapanga tu,wewe ni mkundukuwaka kweli,wasubiri wasukuma wakujibu,***** mkubwa wewe
 
P

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
1,002
Points
1,250
P

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
1,002 1,250
Wakoloni walifukuzwa toka sehemu mbalimbali Afrika, lakini sasa wanaendelea kutuibia kwa mtindo wa ukoloni- mamboleo; ndivyo William Ngeleja anapanga kuendeleza wizi-mamboleo kupitia mikono michafu ya mkabila mwenza na rafiki wa karibu sana Mkurugenzi Mkuu wa Rubada, Aloyce Masanja.

Ngeleja amekuwa halali bali kuzunguka kwenye Ofisi za wakubwa na hatimaye mkataba umesainiwa na CEO wa Rubada ili kutekeleza Mradi wa kuzalisha umeme wa Stiegler's Gorge ambao feasibility study na business plan vinaonyesha giza totoro kwa siku za usoni!

Maswali
1. Kwa nini tujikite katika chanzo cha aina moja cha HEP kila siku ni vilio vya maji kukauka (ref. vyanzo vyote sita vya Bwawa la Mtera, Kidatu, Kihansi, New Pangani Falls, Bwawa la Nyumba ya Mungu na Hale) wakati tuna fursa za alternative energies kibao?

2. Kwa vile kuzalishwa umeme huo ni kupitia mradi wa gharama kubwa wa zaidi ya Bilioni 2 (USD) ni wazi hao Wawekezaji nao wataidai TANESCO na je hizo gharama kubwa sana hazitaishia kumfikia mtumiaji mwananchi aliyekwisha pigika na ugunu wa maisha?

3. Kama Ngeleja & Masanja wameahidiwa kukatiwa hisa katika mradi huo tunawezaje kuamini kuwa huu utakuwa mradi wa kuwakomboa watanzania tofauti na majenereta yanayoumiza Tanesco na nchi kwa ujumla?
Wezi sasa si lazima wawe mawaziri au makatibu wakuu au maCEO, tusipoangalia wanatuibia huku wakiwa mtaani kwa kuwazungukiwa MaCEO ofisini na vi-brief-case vyao!!

Tuupinge wizi mambo-leo kwa kudai tuone upembuzi yakinifu wa huu mradi toka asasi zinazoaminika na pia Taifa sasa liweke kipaumbele kwa vyazo vingine vya umeme (upepo, jua, makaa, gas n.k ) kuliko mambo ya kusubiri kuchungulia utabiri wa hali ya hewa, ngurumo, pepo za kusi na mvua za mtawanyiko ambazo hazileti mvua za masika na hivyo migao ya umeme kuwa moja ya tunu za kitaifa!!!
wewe unachuki na wasukuma,wasukuma ni wengi tanzania hii,wanapiga hatua kila kukicha.shukuru MUNGU hawana roho mbaya kama ulivyo wewe lasivyo ungekuwa mkimbizi.penda maisha yako,acha kilimilimi
 
nzehe

nzehe

Member
Joined
Dec 6, 2009
Messages
96
Points
95
nzehe

nzehe

Member
Joined Dec 6, 2009
96 95
Kwa taarifa mradi huu ulikuwa kwenye plan tangu enzi za mwalimu,kama una kumbukumbu uko feasible kuliko kidatu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
OMBUDSMAN mtoto

OMBUDSMAN mtoto

Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
87
Points
0
OMBUDSMAN mtoto

OMBUDSMAN mtoto

Member
Joined Sep 28, 2012
87 0
Maswali yajibiwe; jaziba si sehemu ya majawabu bali majibu ya kivivu:

N.B Hii si ya kiuchumi bali mazingira na sijui hii nayo iliwahi kusomwa popote na kujadiliwa?

Environmental Conservation
· Environmental Conservation / Volume 15 / Issue 03 / September 1988, pp 250-254
· DOI:Cambridge Journals Online - Abstract (About DOI), Published online: 24 August 2009
Environmental Impacts of the Proposed Stiegler's Gorge Hydropower Project, Tanzania
Raphael B. B. Mwalyosi[SUP]a1[/SUP]
[SUP]a1 [/SUP]Senior Research Fellow, Institute of Resource Assessment, University of Dar es Salaam, P.O. Box 35097, Dor es Salaam, Tanzania.

Establishment of a planned reservoir at Stiegler's Gorge on the Rufiji River would enable a large amount of highlyvalued energy to be produced. This would represent an important national asset. But although such a large net amount of energy would be realized on a short- to mediumterm basis, its production would be negatively influenced by a variety of reservoir operation options that would be related mainly to irrigated agriculture, fisheries, and water quality, which form trade-offs with hydropower generation.

The most significant effect of the dam would be drastic reduction, by controlled discharge, in the frequency of severe floods in the lower Rufiji valley. Floods in excess of 2,500 cubic metres of discharge per second could be reduced in number from some 14 to 3 in 24 years, or from 167 to 13 during 300 years. The most devastating floods would also be reduced-from once in about 8 years to once in maybe 40 years.

The STIGO Project impact area contains a major wildlife resource in terms of size, density, and diversity. Its accessibility to Dar es Salaam gives it a great potential for tourism development. As an access road to the dam-site would be a necessary prerequisite to implementation of the STIGO Project, it would indirectly help to open up the Selous Game Reserve to tourism, which is currently being hampered by poor communications. Also, a substantial amount of the forest resources identified along this road could be exploited.
No complete populations of animal wildlife would be in danger from direct ecological consequences of river impoundment and dam construction. However, significant proportions of the populations in the STIGO Project impact area of three species (Giraffe, Wildebeest, and Zebra) would be potentially at risk, owing to their need for habitats of restricted range. On the other hand some species, including Crocodile and Hippopotamus, would increase in numbers following creation of the reservoir and improvement of their habitat downstream of the dam (due to swamp drainage).

Not withstanding that the ecological impacts of dam construction are relatively minor, the socio-economic impacts on wildlife and conservation values are potentially great-resulting, for instance, from facilitated access to the heart of the Selous Game Reserve and concomitantly increased conflict between wild animals and Man. These circumstances would reduce wilderness values and disturb animal wildlife, so that, especially, commercially valuable species may be expected to decline unless strict regulations are made and enforced.*
River impoundment would have very negative impacts on floodplain fisheries and agriculture, the latter of which would probably be changed to irrigated agriculture with artificial fertilization, while floodplain fisheries would totally collapse. Some mangrove stands in the Delta would probably be displaced by reeds. Delta fisheries would be very negatively affected, because of changes in the water regime as well as in salinity levels.

Water quality in the planned reservoir and in the downstream area would be negatively affected by the project. The water would often be unfit for human and animal consumption and use, as well as unfavourable for fisheries. The project would also have negative effects on the health of the riparian population, owing to increased potentials for disease vectors.
Overall, a high degree of uncertainty is involved in the project. The effect of the primary project (hydropower) would be negative owing to its drastic consequences for the immediate and more distant impact areas. Its image might improve and probably become positive if development in the Basin were carefully controlled and managed. This would require reliable prediction of the impacts and a thorough analysis of the remedial and/or additional measures to arrive at an integrated development strategy for the Basin. Although several measures are planned to eliminate and/or minimize the negative impacts, their implementation may be difficult in view of the bad economic situation of the country.
·
 
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Messages
10,009
Points
2,000
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2010
10,009 2,000
habari ni muhimu, kosa hapo ni kuweka usukuma mbele

Ngeleja is a fookin' corrupt person who deserves to be hanged

and he knows it
 
babykailama

babykailama

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Messages
241
Points
195
babykailama

babykailama

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2012
241 195
habari ni muhimu, kosa hapo ni kuweka usukuma mbele

Ngeleja is a fookin' corrupt person who deserves to be hanged

and he knows it
Kwa kweli mafisadi watakuja tafutwa kokote walipo na kushughulikiwa kisheria hata kama ni baada miongo miwili. Ombudisman leo naye katoa mpya ya wizi- mamboleo ama kweli JF inelimisha pia. Naunga mkono hoja tuangalie kwa umakini hii miradi.
 
M

Mmeku Tukulu

Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
71
Points
95
M

Mmeku Tukulu

Member
Joined Feb 11, 2012
71 95
Prof. Mwalyosi kwa sasa ndio mwenyekiti wa bodi ya RUBADA, na nilishamsikia akihojiwa katika TV akitetea mradi huu tofauti na utafiti wake huu, akisema hali ya mazingira na teknolojia kwa sasa inaruhusu mradi huu kuendelea. Ni huyu huyu alikuwa mbunge wa Ludewa (CCM) 2005-2010 kabla ya kuangushwa kwenye kura za maoni 2010. Na hata alivyokuwa bungeni hoja zake kwa kweli huwezi sema huyu ni mwanamazingira wa dhati toka rohoni. Ukishaingia kwenye siasa, ujue taaluma unaiweka rehani maana maamuzi ni kwa ajili ya kutetea maslahi ya kisiasa zaidi. Na katika hili la RUBADA kuna uwezekano mkubwa wa maslahi binafsi pia. Hapo taaluma imewekwa pembeni, ni sera na ilani ya uchanguzi ya CCM inatekelezwa pasipo kujali athari.

Environmental Conservation
· Environmental Conservation / Volume 15 / Issue 03 / September 1988, pp 250-254
· DOI:Cambridge Journals Online - Abstract (About DOI), Published online: 24 August 2009
Environmental Impacts of the Proposed Stiegler's Gorge Hydropower Project, Tanzania
Raphael B. B. Mwalyosi[SUP]a1[/SUP]
[SUP]a1 [/SUP]Senior Research Fellow, Institute of Resource Assessment, University of Dar es Salaam, P.O. Box 35097, Dor es Salaam, Tanzania.

Establishment of a planned reservoir at Stiegler's Gorge on the Rufiji River would enable a large amount of highlyvalued energy to be produced. This would represent an important national asset. But although such a large net amount of energy would be realized on a short- to mediumterm basis, its production would be negatively influenced by a variety of reservoir operation options that would be related mainly to irrigated agriculture, fisheries, and water quality, which form trade-offs with hydropower generation.

The most significant effect of the dam would be drastic reduction, by controlled discharge, in the frequency of severe floods in the lower Rufiji valley. Floods in excess of 2,500 cubic metres of discharge per second could be reduced in number from some 14 to 3 in 24 years, or from 167 to 13 during 300 years. The most devastating floods would also be reduced—from once in about 8 years to once in maybe 40 years.

The STIGO Project impact area contains a major wildlife resource in terms of size, density, and diversity. Its accessibility to Dar es Salaam gives it a great potential for tourism development. As an access road to the dam-site would be a necessary prerequisite to implementation of the STIGO Project, it would indirectly help to open up the Selous Game Reserve to tourism, which is currently being hampered by poor communications. Also, a substantial amount of the forest resources identified along this road could be exploited.
No complete populations of animal wildlife would be in danger from direct ecological consequences of river impoundment and dam construction. However, significant proportions of the populations in the STIGO Project impact area of three species (Giraffe, Wildebeest, and Zebra) would be potentially at risk, owing to their need for habitats of restricted range. On the other hand some species, including Crocodile and Hippopotamus, would increase in numbers following creation of the reservoir and improvement of their habitat downstream of the dam (due to swamp drainage).

Not withstanding that the ecological impacts of dam construction are relatively minor, the socio-economic impacts on wildlife and conservation values are potentially great—resulting, for instance, from facilitated access to the heart of the Selous Game Reserve and concomitantly increased conflict between wild animals and Man. These circumstances would reduce wilderness values and disturb animal wildlife, so that, especially, commercially valuable species may be expected to decline unless strict regulations are made and enforced.*
River impoundment would have very negative impacts on floodplain fisheries and agriculture, the latter of which would probably be changed to irrigated agriculture with artificial fertilization, while floodplain fisheries would totally collapse. Some mangrove stands in the Delta would probably be displaced by reeds. Delta fisheries would be very negatively affected, because of changes in the water regime as well as in salinity levels.

Water quality in the planned reservoir and in the downstream area would be negatively affected by the project. The water would often be unfit for human and animal consumption and use, as well as unfavourable for fisheries. The project would also have negative effects on the health of the riparian population, owing to increased potentials for disease vectors.
Overall, a high degree of uncertainty is involved in the project. The effect of the primary project (hydropower) would be negative owing to its drastic consequences for the immediate and more distant impact areas. Its image might improve and probably become positive if development in the Basin were carefully controlled and managed. This would require reliable prediction of the impacts and a thorough analysis of the remedial and/or additional measures to arrive at an integrated development strategy for the Basin. Although several measures are planned to eliminate and/or minimize the negative impacts, their implementation may be difficult in view of the bad economic situation of the country.
·[/QUOTE]
 
P

PSM

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
543
Points
0
Age
63
P

PSM

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
543 0
Wakoloni walifukuzwa toka sehemu mbalimbali Afrika, lakini sasa wanaendelea kutuibia kwa mtindo wa ukoloni- mamboleo; ndivyo William Ngeleja anapanga kuendeleza wizi-mamboleo kupitia mikono michafu ya mkabila mwenza na rafiki wa karibu sana Mkurugenzi Mkuu wa Rubada, Aloyce Masanja.

Ngeleja amekuwa halali bali kuzunguka kwenye Ofisi za wakubwa na hatimaye mkataba umesainiwa na CEO wa Rubada ili kutekeleza Mradi wa kuzalisha umeme wa Stiegler's Gorge ambao feasibility study na business plan vinaonyesha giza totoro kwa siku za usoni!

Maswali
1. Kwa nini tujikite katika chanzo cha aina moja cha HEP kila siku ni vilio vya maji kukauka (ref. vyanzo vyote sita vya Bwawa la Mtera, Kidatu, Kihansi, New Pangani Falls, Bwawa la Nyumba ya Mungu na Hale) wakati tuna fursa za alternative energies kibao?

2. Kwa vile kuzalishwa umeme huo ni kupitia mradi wa gharama kubwa wa zaidi ya Bilioni 2 (USD) ni wazi hao Wawekezaji nao wataidai TANESCO na je hizo gharama kubwa sana hazitaishia kumfikia mtumiaji mwananchi aliyekwisha pigika na ugunu wa maisha?

3. Kama Ngeleja & Masanja wameahidiwa kukatiwa hisa katika mradi huo tunawezaje kuamini kuwa huu utakuwa mradi wa kuwakomboa watanzania tofauti na majenereta yanayoumiza Tanesco na nchi kwa ujumla?
Wezi sasa si lazima wawe mawaziri au makatibu wakuu au maCEO, tusipoangalia wanatuibia huku wakiwa mtaani kwa kuwazungukiwa MaCEO ofisini na vi-brief-case vyao!!

Tuupinge wizi mambo-leo kwa kudai tuone upembuzi yakinifu wa huu mradi toka asasi zinazoaminika na pia Taifa sasa liweke kipaumbele kwa vyazo vingine vya umeme (upepo, jua, makaa, gas n.k ) kuliko mambo ya kusubiri kuchungulia utabiri wa hali ya hewa, ngurumo, pepo za kusi na mvua za mtawanyiko ambazo hazileti mvua za masika na hivyo migao ya umeme kuwa moja ya tunu za kitaifa!!!
Wewe Naona kweli una chuki binafsi hivi huyo masanja umemtaja kisa nae msukuma au una mambo Yako binafsi?hakika Mungu atawaumbua maana huyo uliyemtaja Kama unamjua na unajua issue Hii msimamo wake unaujua ila kwa Kuwa una mambo Yako unaamua tu kuchafua majina ya watu hapa
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
15,095
Points
2,000
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
15,095 2,000
habari ni muhimu, kosa hapo ni kuweka usukuma mbele

Ngeleja is a fookin' corrupt person who deserves to be hanged

and he knows it
Duuh, akiisoma hii lazima akae chini kufikiria upya...ni kweli lakini anastahili hanging?
 
P

PSM

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
543
Points
0
Age
63
P

PSM

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
543 0
Kwa kweli mafisadi watakuja tafutwa kokote walipo na kushughulikiwa kisheria hata kama ni baada miongo miwili. Ombudisman leo naye katoa mpya ya wizi- mamboleo ama kweli JF inelimisha pia. Naunga mkono hoja tuangalie kwa umakini hii miradi.
Angalieni na mfanye utafiti kma great thinkers siyo kutaja tu majina ya watu kisa ni Kabila moja au unakuwa kma una chuki binafsi na watu Fulani
 
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Messages
10,009
Points
2,000
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2010
10,009 2,000
Duuh, akiisoma hii lazima akae chini kufikiria upya...ni kweli lakini anastahili hanging?
Yes

kwa corruption zake na hasara alizotia kwa taifa, aweza kuwa amechangia vifo vya wajawazito na watoto zaidi hata ya alfu moja??

we usually forget effects of corruption ni vifo kwa maskini wasio na hatia.... just imagine how many millions zinakwenda na maji sababu ya nishati na madini ambazo zingeweza kupunguza maafa kwa wasio na hatia???

YES I SAID IT, HE DESERVES TO BE HANGED!!! HATA NIKIONANA NAYE NTAMWAMBIA
 
P

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
1,002
Points
1,250
P

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
1,002 1,250
****** aliyeanzisha huu uzi ana kitu rohoni,pumbavu utakufa nacho
 
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
763
Points
170
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
763 170
Is fisadi kinacho mlinda ni sera mbovu ya serikali na chama chake
 
Forum statistics

Threads 1,294,737
Members 498,025
Posts 31,186,415
Top