Kagasheki kuizika rasmi CCM Bukoba Mjini Kesho.


Rutunga M

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Messages
1,652
Points
1,500
Rutunga M

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2009
1,652 1,500
Wadau.Kwanza naomba msome habari hii
Meya Bukuba alikoroga.
kama manvyojua hivi sasa CCM katika jimbo la bukoba mjini kunafukuta mgogoro mkubwa amabo tayari umekwisha kipasua chama vipande viwili.Yahani CCM ya kagasheki family na CCM inayokataa kufuata matakwa ya familia husika.

sasa kagasheki ameitisha mkutano wa hadhara lengo kubwa ni KUMPONDA meya (wote from Magamba).

wachambuzi wanbasema kuwa kesho ndiyo itakuwa mwisho wa CCM Bukoba mjini kwani Kagasheki amepanga "kumvua nguo" meya lakini meya naye anadai kuwa liwalo na liwe na ikiwezekana anaachia ngazi zote.

Redio yake kagasheki(kasibante fm) itarusha live ili mashambulizi yawafikie wengi.

wakati huo huo:Makamanda CDM nao wamepanga kufanya mkutano mkubwa jumapili mjini bukoba.

keep watching.............
 
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
3,519
Points
2,000
Age
38
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
3,519 2,000
kagasheki hakushinda
 

Forum statistics

Threads 1,285,560
Members 494,675
Posts 30,866,805
Top