Mapokezi ya mh slaa chadema karagwe yadoda

Status
Not open for further replies.

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,303
2,000
Dk. Willibrod Slaa, hupo rasmi Baraza la Mashauriano la Mkoa wa Kagera ambalo linaundwa na viongozi kutoka katika kila jimbo la mkoa huo, linalofanyika kwa muda wa siku tatu katika wilaya ya Karagwe.

Mheshiwa Dk slaa amekuna na upinzani mkubwa wilayani Karagwe kutokana na kutopokelewa na wanchi wengi.

Hii ni kutokana na Chadema kutokuwa na mvuto wilayani Kargwe.

Mapokezi yake yalikuwa Duni sana ukilinganisha na sehemu nyingine.

Picha ntapost wkt wowote Mheshiwa dk slaa ni nukuu aliyosema wakati wa kiakao

''
Dk. Slaa alisema CHADEMA waliwezesha kufutwa kwa kodi za manyanyaso katika wilaya ya Karatu baada ya kulikalia kidete suala hilo, na ndipo CCM ilitumia sera hiyo na kuondoa kodi za namna hiyo takriban nchi nzima.
Aliongeza kuwa walianzisha pia sera ya kujenga zahanati kila kata wilayani Karatu, ambayo nayo CCM baadaye ilichukua na kisha kutangaza kuanzisha utaratibu wa kujenga zahanati kila kata nchi nzima.
“Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010, CHADEMA tuliahidi sera ya kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi nchi nzima kama tungeingia madarakani. Wakati huo CCM ilidai haiwezekani ila sasa nao wametangaza kupunguza gharama za bidhaa hizo,” alisema.
Alifafanua ni wazi kuwa CCM ikiweza kutekeleza sera ya CHADEMA ya kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi na kutoa elimu bure kabla ya mwaka 2015, watafurahi maana hawana wivu,''
 
Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,022
2,000
Tunaomba utufahamishe mapojezi ya Dr. Slaa yamedoda vipi? Ni idadi ya watu waliokuja kumsikiliza? Walokuwa wangapi? Umesema kuwa amepata upinzani mkubwa. Ni uponzani gani, kutoka kwa nani na kwa nini? Nasubiri pia hizp picha ulizoahidi.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
hoyce

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,119
1,195
Dk. Willibrod
Slaa, hupo rasmi Baraza la Mashauriano la Mkoa wa Kagera ambalo linaundwa na viongozi kutoka katika kila jimbo la mkoa huo, linalofanyika kwa muda wa siku tatu katika wilaya ya Karagwe.

Mheshiwa Dk slaa amekuna na upinzani mkubwa wilayani Karagwe kutokana na
kutopokelewa na wanchi wengi.
''
Alikwenda kwa ajiri ya mkutano wa ndani kama katibu mkuu, sio mgombea, ulitaka apokeleje?
 
Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
0
heh!! umeamka nazo kichwani? Duh! Nilifikiri alizomewa kama vile yule mtu wenu Shabab na msafirishaji pembe za ndovu!!!!
 
Codon

JF-Expert Member
Dec 16, 2011
629
195
Hii post kaiandikia kituo cha polisi wakati anakabidhiwa kwenda kumkamata mtuhumiwa.......
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,157
2,000
Daaaah wee muongo sana! Hebu weka picha japo tuone! Maana magazeti yameandika kuwa mamia wampokea na kuhudhuria mkutano wa hadhara aliyo hutubia!

Unafanya kazi ya kiwanda!

Dk. Willibrod Slaa, hupo rasmi Baraza la Mashauriano la Mkoa wa Kagera ambalo linaundwa na viongozi kutoka katika kila jimbo la mkoa huo, linalofanyika kwa muda wa siku tatu katika wilaya ya Karagwe.

Mheshiwa Dk slaa amekuna na upinzani mkubwa wilayani Karagwe kutokana na kutopokelewa na wanchi wengi.

Hii ni kutokana na Chadema kutokuwa na mvuto wilayani Kargwe.

Mapokezi yake yalikuwa Duni sana ukilinganisha na sehemu nyingine.

Picha ntapost wkt wowote Mheshiwa dk slaa ni nukuu aliyosema wakati wa kiakao

''
Dk. Slaa alisema CHADEMA waliwezesha kufutwa kwa kodi za manyanyaso katika wilaya ya Karatu baada ya kulikalia kidete suala hilo, na ndipo CCM ilitumia sera hiyo na kuondoa kodi za namna hiyo takriban nchi nzima.
Aliongeza kuwa walianzisha pia sera ya kujenga zahanati kila kata wilayani Karatu, ambayo nayo CCM baadaye ilichukua na kisha kutangaza kuanzisha utaratibu wa kujenga zahanati kila kata nchi nzima.
“Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010, CHADEMA tuliahidi sera ya kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi nchi nzima kama tungeingia madarakani. Wakati huo CCM ilidai haiwezekani ila sasa nao wametangaza kupunguza gharama za bidhaa hizo,” alisema.
Alifafanua ni wazi kuwa CCM ikiweza kutekeleza sera ya CHADEMA ya kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi na kutoa elimu bure kabla ya mwaka 2015, watafurahi maana hawana wivu,''
 
AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,515
2,000
Basi tayari tumeshakusikia, sasa nenda Kapokee ujira wa mwiha pale lumumba utamkuta kinana mida hii.
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
dk. Willibrod slaa, hupo rasmi baraza la mashauriano la mkoa wa kagera ambalo linaundwa na viongozi kutoka katika kila jimbo la mkoa huo, linalofanyika kwa muda wa siku tatu katika wilaya ya karagwe.

Mheshiwa dk slaa amekuna na upinzani mkubwa wilayani karagwe kutokana na kutopokelewa na wanchi wengi.

Hii ni kutokana na chadema kutokuwa na mvuto wilayani kargwe.

Mapokezi yake yalikuwa duni sana ukilinganisha na sehemu nyingine.

Picha ntapost wkt wowote mheshiwa dk slaa ni nukuu aliyosema wakati wa kiakao

''
dk. Slaa alisema chadema waliwezesha kufutwa kwa kodi za manyanyaso katika wilaya ya karatu baada ya kulikalia kidete suala hilo, na ndipo ccm ilitumia sera hiyo na kuondoa kodi za namna hiyo takriban nchi nzima.
aliongeza kuwa walianzisha pia sera ya kujenga zahanati kila kata wilayani karatu, ambayo nayo ccm baadaye ilichukua na kisha kutangaza kuanzisha utaratibu wa kujenga zahanati kila kata nchi nzima.
"wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010, chadema tuliahidi sera ya kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi nchi nzima kama tungeingia madarakani. Wakati huo ccm ilidai haiwezekani ila sasa nao wametangaza kupunguza gharama za bidhaa hizo," alisema.
alifafanua ni wazi kuwa ccm ikiweza kutekeleza sera ya chadema ya kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi na kutoa elimu bure kabla ya mwaka 2015, watafurahi maana hawana wivu,''

nimehamasika na title ya habari yako
lakini nilichokikuta nikafura kweli kweli
lakini sio kosa lako najua hujapata chai

chai huchangamsha akili mkuu
 
sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,974
2,000
Mkuu,hawa jamaa huwa hawana muda wa ku 'edit' sijui huwa wanakimbilia wapi,hiki ni kiherehere cha hari ya juu!
"hiki ni kiherehere cha hari ya juu"..
Ndo unamkosoa mwenzako?..ulikua unakimbilia wapi, kiherehere kinakusumbua jifunze ku edit kabla ya kupost.
 
TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,785
2,000
"hiki ni kiherehere cha hari ya juu"..
Ndo unamkosoa mwenzako?..ulikua unakimbilia wapi, kiherehere kinakusumbua jifunze ku edit kabla ya kupost.
Onyesha wapi nilipokesea ili nijirekebishe,nipo tayari kukosolewa!!kumbuka JF siyo sehemu ya kutafuta mabwana!!
 
chitalula

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
1,302
1,500
Kulikuwa na ulazima wa wewe kuweka maoni yako haraka kabla ya kupata hiyo unayoita picha hujakuwa nayo? Tujitahidi kuficha upmbavu wetu jamani,
 
Status
Not open for further replies.
Top Bottom