Raisi Joyce Banda na MH. SITTA Wakihudhuria Uganda Mkutano wa comesa


Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
37,611
Likes
49,198
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
37,611 49,198 280
umati ni mkubwa hapa, umewatumbua hao wawili tu ama??

Hatari:
Weka Mbali na Tembo.
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,232
Likes
23,728
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,232 23,728 280
DHAIFU safari hiihakwenda?? au CHOPA mbovu??
 
M

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
1,892
Likes
94
Points
145
M

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
1,892 94 145
[h=2]Rais Joiyce Banda na Rushwa ya Chakula Kwa Wapiga Kura 2014!!!![/h]
Rais Banda Malawi ameanza kutoa Rushwa ya Chakula kwa wapiga Kura.Anafanya hivyo kwa kuwadanganya watu kuwa anatoa kwa watoto Yatima. Anafanya uongo huu kama Mama Rwakatare anavyodanganya hapa TZ kwa mgongo wa Yatima
Hofu iliyopo ni kwamba huenda akashindwa katika uchaguzi ujao ambapo viongozi wa dini zote na watu wa kawaida wamekasirika na hatua ya yeye kukumbatia Ushoga!!!

Rais Banda kama mwanamke alionyesha mfano mzuri na alitarajiwa kuwa kiongozi mwanamke mwenye uwezo wa Kuongoza nchi lakini suala la Ushoga limechafua sifa hiyo. Hapa Tz Mama Rwakatare ameonyesha ujasiri Mkubwa wa kujishughulisha katika biashara pamoja na kisingizio cha kujali yatima,lakini Suala la Ufisadi na kashifa zake limemharibia sifa yote.

Si ajabu akipewa Urais anaweza kufanya mabaya zaidi kuliko Rais Banda.
Malawi leader JB donates food to 423 orphans from Lilongwe

[TABLE="class: cms_table_cms_table"]
[TR]
[TD] By Solister Mogha, Malawi News Agency[/TD]
[TD] November 3, 2012 · 5 Comments [/TD]
[TD]
Email This Post[/TD]
[/TR]
[/TABLE]President Joyce Banda on Saturday donated 423 food packs to 423 orphaned children from Lilongwe rural areas.
The function which took place at the New State House also offered the President an opportunity to interact with the children and hear their sufferings.
Speaking after making the donation, President Banda said considering that many children in Malawi especially orphans were facing numerous challenges, she felt it necessary to take a role in assisting them.
"If there is a group that is faced with hardships then it is the orphan group, most of the times orphans are denied access to education and decent homes," lamented the President.
An orphan Thokozani receiving a Hamper from President Joyce Banda at New State House.

She added that orphans in some homes are denied access to food and die of hunger which really shocks her heart.
"Due to that, I thought I should spare some time and interact with them here at the New State House so that I hear to their challenges and take an appropriate action that will directly benefit them," the President said.
She further explained to have invited the children to give them food.
Meanwhile the President has called upon Malawians to combine efforts and contribute towards supporting the poor population.
She said, "Together we can help thousands of orphans who are daily facing challenges such as lack of food, school fees and school uniforms."
Thokozani Briton who represented the children at the function said many children in the country especially orphans were going through numerous challenges.
Briton cited lack of food, school fees, decent homes and school uniforms as some of the problems children were facing.
"Madam President, I want to bring to your attention that children in this country are facing a number of problems among them, rape, hunger, and ill treatment by the people we are staying with," Briton explained calling for help from the President.
Gender and Children Welfare Minister Anita Kalinde commended the President for inviting the children to the state house and listen to their problems, saying the Malawi Leader has obtained first-hand information to act upon.
A Photo worthy Bags of Maize, well wishers posed for a photo with President Joyce Banda during the Fund raising of Bags of maize to the needy
Nigerians in the country posed for a photo at New State House after donating 1,5 million worthy Bags of Maize with President Banda orpharns at the New State House receiving Hampers when president Joyce Banda called on them

MAMA RWAKATARE NAYE ANAHANGAIKA NA WATOTO YATIMA LAKINI NYUMA YA PAZIA ANAVUNA MALI ZA KUTISHA:

Wednesday, August 29, 2012

HEKALU LA MCHUNGAJI GETRUDE RWAKATARE


Muonekano wa mbele

MC na mchungaji Haris Kapiga wa Clouds FM
Mc Harris Kapiga akiwa kazini.
Kabati la vyombo.
Akiwa katika ofisi yake ya nyumbani, kuna sehemu ya kufanyia mikutano,Salon,Studio,na sehemu ya mazoezi.
Ukifika wakati wa misosi kwa wageni.
Midundo na burudani zilitawala,
Chumbani sehemu ya kujipamba.

Kitanda chake cha kulala
---
Mwandishi: Rulea Sanga

Nimeamini kuwa ukifanya kazi ya Mungu kwa uaminifu naye atakulipa hapa hapa dunia, na utakuwa ushuhuda kwa watu wengine. Mama Getrude Rwakatare siku ya Jumapili alikuwa anahamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi. Waumini wa kanisa hilo wapatao takribani 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia nyumba ya kifahali.

Mch. Mh. Getrude Pangalile Rwakatare kabla ya kuhamia kwenye hekalu lake jipya alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba ya kifahali pia. Alizidi kukaa katika uwepo wa Mungu na kufanya kazi yake kwa bidii na kujituma. Katika mahubiri yake kwa waumini wake amekuwa akiwatabiria watu mafanikio na watu wamefanikiwa kutokana na utabiri wake. Leo hii imekuwa zamu kwake ambapo Mungu hakutaka kumuabisha kma mtumishi wake, akamshangaza kwa muujiza wa kumuwezesha kujenga jumba la kifahari kwa gharama kubwa sana 
andrewk

andrewk

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2010
Messages
3,104
Likes
59
Points
145
andrewk

andrewk

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2010
3,104 59 145
sijaelewa hata kidogo
 
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
290
Likes
4
Points
0
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
290 4 0
Mbona unatuchanganyia habari?

Hebu tuambie lengo ilikuwa tuelewe nini hapa?
 
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Messages
5,713
Likes
2,077
Points
280
Age
39
kelao

kelao

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2012
5,713 2,077 280
wewe lazima utakua umelewa kwa ulicho andika hapa.
 

Forum statistics

Threads 1,250,923
Members 481,523
Posts 29,750,916