Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuondoka kwa Mwalimu Nyerere kumeacha Tanzania bila matumaini! Watu wazima lakini hawaoni/hawajui hata wanalolifanya. Mmeng'ang'ania kukusanya mawazo ya wanavijiji kuhusu Katiba mpya wakati hata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa CHADEMA kata Ndugu Paulo,amesema Kamanda Malisa ameshinda kwa kishindo katika uchaguzi huo na kumuangusha mgombea wa wa CCM ndugu Tom wa kitongoji cha Llima Sioni...
11 Reactions
30 Replies
3K Views
*** KWELI HII NI KWELI? MBONA UMATI wa WATU KWENYEMKUTANO? TUESDAY, NOVEMBER 27, 2012 WANAOMPINGA WENJE WAMFANYIA VURUGU WAKATI AKABIDHI MADAWATI, MNYIKA ALIPA AHADI ALIYOITOA MKUTANO WA MWEZI...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Tutazungumza watasema ni upepo tu na utapita. 1. Wanakaa kwenye ma estate na ma mansion, wanafikia five stars hotels watafamu lini kuwa kuna maisha ya watu wa chini wanaolala kwenye nyumba za...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
30 NOVEMBER 2012 UBADHIRIFU WA BILIONI 86/- Mnyika ambana William Ngeleja *Adai wizi huo ulitokea akiwa Waziri wa Nishati *Amtaka Muhongo asiwe muoga wa kujibu hoja Na Daud Magesa, Mwanza...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
*Waziri ashangaa, ashauri inunuliwe nyingine *TCAA yasema moja haitoshi, zinahitajika tano HATIMAYE Serikali imekiri kuwa rada inayotumika kwa ajili ya kulinda usalama wa anga nchini, imechoka...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha St. Augustine Mwanza (SAUTSO) kwa kushirikiana na Asasi ya National Social Transformational (NASOT) wameandaa kongamano kubwa la Katiba jumamosi ijayo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaCCM tupo pamoja ktk mapambano ya UFISADI na Mapandikizi yao ya Vyama Vya Upinzani kama CDM nk.usihofu kelele za Dr.Slaa anayepiga mayowe unaponoa kisu cha kuangamiza mtandao wa Mafisadi ndani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi leseni za wachimbaji wadogo machimbo ya Mugusu, Geita, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo mkoani Geita. Jumla ya leseni 21 zilikabidhiwa...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
ALHAMISI, NOVEMBA 29, 2012 05:06 NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM *Adai ndiye aliyetoa maagizo *Asema hakukurupuka kutoa mkataba ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba ameiambia Mahakama ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi kwanini nisiwapongeze CCM ikiwa mwenyekiti wenu anakiri hadharani chama chenu kinategemea jeshi la polisi kukandamiza haki za wengine? angalia rushwa ndani ya chama chako mbona mmeshindwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati umefika wa CDM kutafuta namna ya kujiimarisha kule Zanzibar,kwangu mimi Hamad Rashid atakuwa ni kete nzuri sana kwa cdm katika kukijenga chama kule Zanzibar, hivyo nashauri cdm tumchukue...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
UTANGULIZI Kwanza naomba nianze kwa kukiri kwamba haya ni maoni yangu kutokana na ufuatiliaji wa siasa za upinzani kuanzia mwaka 2010-2012. Yawezekana kabisa wapo wenye maoni tofauti na haya...
3 Reactions
94 Replies
6K Views
Kikwete amefanya mambo mengi nataka niwakumbushe tuu watanzania wenzangu. 1) Amepandisha mfumuko wa bei kutoka asilimia 4 mpaka asilimia kumi na tano, 2) Amesafiri mara nyingi nje ya nchi na mara...
2 Reactions
199 Replies
18K Views
SIKU chache baada ya Makamu Mwenyekiti mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Philip Mangula, kujibu mapigo ya wapinzani wake akisema wanaombeza wanasahau historia yake, Katibu Mkuu wa...
6 Reactions
57 Replies
5K Views
Hivi karibuni baada ya kumalizika mkutano mkuu wa CCM Kanali (mstaafu) Kinana amekuwa akizunguka huku na kule akiambatana na mawaziri kufanya siasa yenye nia ya kuijenga CCM. Binafsi sina tatizo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimefikiri, Nimewaza na kupata jibu moja: NDIO NINAWEZA, kwanini watu wengi wanafikiri watu wa Tanga hawawezi kufanya mabadiliko ya kisiasa, jibu rahisi UMWINYI,UDINI,WAVIVU n.k. (kama wasemavyo)...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
WALIOBOBEA katika medani ya falsafa husema, adui yako siyo lazima awe yule anayekunyooshea silaha ili kudhuru mwili au maisha yako, bali hata asiyekutakia mafanikio mema na kupuuza harakati zako...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari niliyopata hivi punde ni kuwa mhariri mtendaji wa Tanzania Daima bwana Absalom Kibanda anaenda kufanya kazi kwenye kampuni ya Rostam Aziz kama Managing Editor chini ya babu Prince Bagenda...
2 Reactions
122 Replies
11K Views
Mkutano wa jana mjini Bukoba waziri Kagasheki pamoja na mambo mengine aliutumia kuishambulia JF kuwa inamwandika uongo. Alisoma pia baadhi ya maoni ya wachangiaji Kuwa yeye ndiye alimchongea Meya...
3 Reactions
64 Replies
7K Views
Back
Top Bottom