Hata kama CHADEMA ingeasisiwa na mgogo toka Dodoma

mwanakidagu

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
208
0
Mngeiita ni ya wagogo eti ni kwa kuwa tu kiliasisiwa na kaskazini mwakiita chama cha kikabila toka kaskazini. Kwa mara nyingine watanzania wamepata pa kuanzia kuitoa ccm na genge lao madarakani, kianzio hicho ni CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO.

Msikipopoe mawe wala kukikata matawi yake yaliyoenea nchi nzima. Utunzeni mti huu, umwagilieni maji ya busara kisonge mbele kama chama kinachochukua uongozi wame kipopoa tangu shinani makao makuu kwa viongozi wake,zile single za udini, ukabila, wakaanza ku marge kwamba upo ufisadi ndani ya CHADEMA ili tu ionekane kwamba vyama vyote fisadi.

Mti huu majani yake (wanaokiunga mkono) wametishwa na baadhi yao wameuliwa.ule mpango wa nyuma ya pazia wa kujeruhi na hata kumwaga damu ili kuuaminisha umma kuwa ni chama cha fujo dhana hiyo ilikemewa vikali na kiranja mkuu wa chama chao kuwa wasitegemee polisiccm kuwatetea.Huo ungekuwa ushahidi tosha wa kimahakama kwa matukio ya Igunga, Arusha,Mbeya,Morogoro na mjini Iringa.

swali langu ni je?

1.baada ya kuambiwa msitegemee polisi mbali na makada wake kwenda majimboni kujibu hoja mtategemea nini tena,

2.tume ya uchaguzi ya bwana Kiravu tupeni matokeo ya uraisi ya kila mkoa mbona mnaipopoa sana CHADEMA na aliyekuwa mgombea wake?.Ipo siku mtakuja kusema docta kala chakuka kwa mikono bila kijiko kama hoja majukwaani mwenu.
Uacheni mti huu umee tuyaone matunda yake.
 

Havizya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
470
2,000
Stay blessed Mwanakidagu, you are the among of who talks the truth. Bila shaka wenye ufahamu mzuri usio na mafilifili wamekuelewa.
 

Manyi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
3,253
1,195
Thread ina point fulanifulani nzuri, ila ipige msasa (fanya editing) ili ikae vizuri mkuu!
 

ngwendu

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
1,965
0
nilikuwa sijui, kumbe mti upo kaskazini na kwengine ni matawi tu. sote tunajua mti hunawiri kupia shina kwani ndo hufyonza maji na madini. matawi sana sana chanikiwiti hata likikatika mti unaendelea kusurvivor. hao ndo chadema.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom