Scolari Ndenga
JF-Expert Member
- Aug 4, 2008
- 271
- 43
Katibu Mkuu wa BAVICHA amesema kuwa kama vijana wa Chadema na chama kwa upana wake hawatakuwa tayari kuona serikali ya Tanzania inaendelea kuwa chini ya PANYA na October 2015 ndio mwisho wao.
Munishi alitoa kauli hiyo ijumaa ya wiki iliyopita jijini Londoni alipokuwa akizungumza na wanachadema Tawi la Uingereza ambapo pia aliongozana na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana Ezekia Wenje. Munishi alisisitiza wao kama vijana watabeba dhamana ya kuhakikisha hilo halitokei kamwe.
Source: Ukurasa wa wa kitabu uso wa Munishi.
My take;
Munishi alikua akimjibu Januari Makamba aliyesema CCM haitakubali serikali kuwa chini ya upinzani na pia kutumia neno.
Maana yake uchguzi mkuu 2015 hapatatosha