Majina tata ya matawi ya CUF!!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,514
Hivi kuna siri gani mbona majina ya matawi ya cuf ni ya kishari shari tu

1.Tawi la Cossovo
2.Tawi la chechniya
3.Tawi la Ukanda wa Gazza!!
 
mbona ccm wana tawi lao lipo manzese midizini linaitwa bhoko haramu na kuhusu tawi la kosovo .....ni tawi la ccm lipo manzese darajani
 
Tawi la Osama bin Laden na tawi la Alshabab, yapo Mtaa wa Mangaya, jimbo la Kigamboni. Yani ndo wanajisogeza karibu na kasumba ya udini inayoelekezwa kwao.
 
Pita mitaa ya Mabibo ndio utashuhudia majina ya Ajabu, Tora bora, Kandahar, Mazar er Sharif..., Vita na ugomvi tu.
 
Nimejaribu kufuatilia post zako naona una matatizo sana, nafikili ile post yako kuwa CUF imekufa na ukiangalia na kilichotokea leo umeshindwa kuweka uhusiano!
Usikubali kutumiwa, hiyo propaganda imewacost sana watz na itaendelea kuwacost unless wenye akili wazinduke! Kweli CCM kiboko baada ya wao ccm kuendesha hizi propaganda sasa wamewaachina cdm na cuf kila kimoja kikimtuhumu mwenzie! na mwisho wake ccm wanashinda taratiibu.
 
Hii kali mkuu..sasa maana yake nini? Unajua haya maeneo yana historia mbaya sana duniani,sasa kuyatumia wakati mwingine inaweza sababisha shida kidogo kwa watu wanaochambua mambo zaidi ya kawaida.
 
Mbona wana tawi linaitwa Vatican, hiyo imekaaje?

Unaumwa!! Yaani na wewe unaona umechangia kitu cha maana sana,acha unafiki wewe utakufa kwa presha.Ni tawi gani la CUF na liko wapi lenye jina hilo? Kama sio kuleta ushenzi hapa JF..nilikuwa nakuona wa maana sana kumbe ni bure kabisa....
 
Ukiangalia majina yote hayo maeneo mabyo yashawahi kuwa maarufu dunia ni kwa kupigania haki zao.Na CUF inasifika kwa kupigania haki kwa namna yoyote ile.Kama isemavyo salamu yake Haki sawa kwa wote
 
EAGT, RC, TAG, FGBF, EFATHA, TEC haya ni baadhi ya majina ya matawi ya CHADEMA! Ongeza mengine !
 
Kule Masasi Mtwara, eneo la Liputu kuna jingine linaitwa Torabora. Pia huku Mbagala Charambe kuna lingine jina Ghadafi. Hiki chama sikiamin amin. Kimefungamana sana na watu flani.
 
mimi nadhani hayo ni majina tu.hayana shida kwetu,tunataka chama kiendelee kujiimalisha.
 
Unaumwa!! Yaani na wewe unaona umechangia kitu cha maana sana,acha unafiki wewe utakufa kwa presha.Ni tawi gani la CUF na liko wapi lenye jina hilo? Kama sio kuleta ushenzi hapa JF..nilikuwa nakuona wa maana sana kumbe ni bure kabisa....
[/QU kwan wewe ni nan hasa unaejua kila k2 b .w. a.b.w.a
 
Back
Top Bottom