Mimi nionavyo Chadema lazima itashinda urais 2015. Dr Slaa simwoni mtu wa kumsumbua urais. Ila kwa kuwa nafasi ya ubunge itakuwa na vita na migawanyiko, nawaona CCM wakipata wabunge wengi zaidi...
Tumeona tumeshuhudia yanayojiri kutokana na maazimio ya mkutano mkuu na nimegundua kuwa utekelezaji wake utakuwa ni kizungumkuti.Nasema hivi baada ya kuhudhuria moja ya mikutano ya hadhara ambayo...
Nionavyo mimi si sahihi hata kidogo kuviita vya ambavyo havijashika dola kwamba ni vya upinzani! Vina mpinga nani???
Lugha sahihi ingekuwa ni "Vyama vinavyosubiri kushika dola, VVKD", haijalishi...
Nimekaa na kuwaza mambo mbali mbali kuhusu Mstakabali wa Nchi Yetu Tanzania. Nimetumia Three Phases: Tanzania Ilikotoka, Tnanzania Iliko sasa hivi, na Tanzania Ijayo.
Nimetafakari na kuyakumbuka...
UFAFANUZI: Maelezo yaliyo katika maandishi ya rangi nyekundu ni yaYeriko Nyerere na maandishi ya rangi nyeusi ni mawazo yangu.
1.Lowassa na Jakaya Kikwete ndio Maadui wakuuwa ushindi wa CCM 2015...
Ndugu wadau wa JF, tutakuwa tunawaletea live kongamano hili kutoka Nkrumah hasa kwa wale ambao hawataweza kufuatilia live ITV, Capital TV na Radio 1.
Ratiba ya Kongamano la UDASA la Tarehe 9...
Na Pascal michael Buyaga
bunda
.
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kimemvaa mbunge wa jimbo la Bunda Bw. Stephen Wasira jimboni kwake na kuwataka wakazi wa jimbo hilo kubadili mtazamo...
Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi, Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ndugu Zitto Zuberi Kabwe ameanza ziara ya kikazi nchini Ujerumani ambapo atahudhuria na kuhutubia...
Kikao kinaendelea tangu saa 3.30 asubuhi kikiwa na wajumbe wote wa wilaya na majimbo yote mkoani Tanga, washiriki ni wenyeviti na makatibu wote wa majimbo na wilaya wa BAVICHA.Kikao kinafanyikia...
Posted Jumapili,Decemba9 2012 saa 14:8 PM
SHARE THIS STORY
RAIS Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa na viongozi wengine wakuu...
nnachukua fursa hii kuwaarifu wanajamiiforums, msiba wa mama wa kijana mwenzetu na mwanasiasa machachari JUSSa Ladhu mwakilishi wa CUF, kilichotokea leo.
mungu ampumzishe kwa amani pahala pema...
MMOJA wa wasisi wa idara ya usalama wa taifa enzi za ukurugenzi wa hayati Emil Mzena, mzee Joseph Mwasokwa ameuawa kwa kuchinjwa usiku wa kuamkia leo jijini Mbeya.
Chanzo hakijajulikana.
Hayati...
Leo kulikuwa na Kongamano la kusindikiza Maadhimisho ya Miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika.Maadhimisho hayo yaliyoratibiwa na Jumuiya ya Wanazuoni wa UDSM-UDASA,yalifanyika Chuo Kikuu cha Dar es...
MADA; RASILIMALI NA MUSTAKABALI WA UCHUMI WA TAIFA LETU KWA MIAKA 50 IJAYO;
Jumapili, 09 Desemba 2012, 1400 – 1800HRS – Nkrumah Hall (UDSM).
Imeandaliwa na Kuchangiwa Na...
Makamanda wawili, Godbless Lema na Vincent Nyerere kesho wataanza kuishambulia Musoma. Bila shaka Watanzania wa Musoma kesho watanufaika na M4C.
Itakumbukwa kuwa Vincent alikuwa na ziara ya siku...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba amembana Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe Mkongwe (Cuf), Ismail Jussa aeleze kuhusu mfumo wa uendeshaji wa Muungano wa mkataba...
Hawa wadosi wa OLAM wanasaidia vipi wakulima wa Korosho huko kusini?
Inaonekana hapa hakuna cha PINDA na KILIMO kwanza wala nini.
Je TRA wamechukua Tax kiasi kwenye hii deal ya TRILIONI 1...
USIPOKUWA MWAMINIFU KWA KIDOGO HUWEZI KUWA MWAMINIFU KWA KIKUBWA PIA....(nimaelezo ya yatokanoyo katika mdomo wa Nape kwa maana nyingine ni kauli thabiti inayotokana na wadhifa wake )sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.