Warioba ataandaa katiba kama ya misri


A

abdul 28

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2012
Messages
325
Points
0
A

abdul 28

JF-Expert Member
Joined May 29, 2012
325 0
Jaji warioba katiba yake hasa kwa upande wa muungano huenda ukawa kama misri sababu watu wenye kutaka muungano wa mkataba huwa hoji vipi itaendeshwa nchi kwani yeye hajuwi jinsi ya muungano wa ulaya ulivyo,

hata hiyo yeye anapaswa kukusanya maoni halafu ndio watu wajadili vipi wataongoza kutokana na misingi ya maoni ya watu

ccm kwa upande wa zanziba hupeleka watu kwa magari ili wakatowe maoni sehemu nyengine za kuutetea muungano huu uliopoo

vitisho kutumika kwa wenye kutowa na kukosoma muunganoo

wito kwa warioba atachukuwa nobel price au atafanya misri ya tanganyika na zanzibar
 
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
4,443
Points
1,500
Age
33
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
4,443 1,500
Hiyo Katiba ya Misri umeiona wapi wakati ndiyo kwanza wanajiandaa kupigia kura za maoni. Unaongea ujinga hadi hujijui unaongea nini.
 
njiwa

njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,682
Points
2,000
njiwa

njiwa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,682 2,000
Abdul misri hawana katiba ndo.wajitayatirisha kufanya kura za maoni
 
Cynic

Cynic

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2009
Messages
5,151
Points
2,000
Cynic

Cynic

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2009
5,151 2,000
Abdul 8 ana hoja nzuri tu. Mchakato wa umekaa kama wa Masri. Kuna vitu kama muungano, uwepo wa serikali mbili au la, au mamlaka fulani ya rais ambavyo wameshaamua yaweje. Maoni yoyote yanayokusanywa hayatabadilisha kitu. Ni yale yale ya Morsi kulinda maslahi ya brotherhood.
 
P

pambanua

Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
26
Points
0
P

pambanua

Member
Joined Dec 6, 2012
26 0
muache aandike atakavyo kura zitaamua kama kavu au mbichi
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,053
Points
1,225
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,053 1,225
Nina imani na tume ya katiba japo imejaa Waislam.
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,053
Points
1,225
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,053 1,225
Udini baba hautatusaidia, sema wamejaa CCM watupu
CCM si tatizo. Tatizo ni Waislam na madai yao ya kijinga kama mahakama ya kadhi na ujinga mwingine kama OIC etc
 

Forum statistics

Threads 1,285,557
Members 494,675
Posts 30,866,764
Top