Madiwani ni wawakilishi wa wananchi katika kata.Wanahudhuria vikao vyote vilivyowekwa kisheria katika kila Halmashauri kwenye nchi yetu ya Tanzania.Kwenye Halmashauri kunakuwepo na kamati...
Habari makamanda,,
Awali ya yote, naomba msihofu wala kutishika na hili vugu vugu la mafisadi waliloanzisha kuichafua CHADEMA na viongozi wake kwa hoja mfu mfu huku CHADEMA ikiendelea kuimarika...
Wanabodi,
Pro-Chadema JF jukwaa la siasa jitoleeni japo kadogo kuchangia JF ili isonge mbele katika harakati za kuelimisha umma inasikitisha sana kuona jukwaa letu la siasa ambalo ndio maarufu...
RUFAA ya kupinga kuvuliwa ubunge ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), imepangwa kusikilizwa Septemba 20, mwaka huu, mbele ya majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa...
Ndugu zangu Watanzania Tunajua kabisa kuwa hii ni nchi yetu na ni vizuri tukasema tunavyotaka iwe vinginevyo watu wachache watatusemea wanavyotaka iwe, mwisho wa siku tutakuwa tunalamika tu kuwa...
Akizungumza akiwa kitanda namba 4 katika wodi namba nne ya majeruhi ya wanaume katika Hospitali ya Mkoa ya Sokoine alisema
MKAZI wa Mtaa wa Mwenge Manispaa ya Lindi, Abdulahmadi Rashid...
Hivi kuna mtu ana jua structure ya City Hall ya Dar na roles za mayors kama akina Masaburi, Silaa et al.
Mfano transparency ya award of contracts na transparency yao. Mfano tunaweza kujua ni...
Mwanabodi kazi kwako
"CCM Mwaka 2012 wamefanya nini jema na mabaya kwa mtazamo wako"
Mwaka 2013 wafanye nini kwa mtazamo wako
Tukumbuke kila kitu kinafaida au mafanikio na hasara au...
Katika kipindi cha Je, Tutafika kitakachorushwa leo jumamosi saa nne usiku Channel 10, Esther Wasira amelonga kuwa wale waliofilisi mashirika ya umma na kujiuzia nyumba za serikali kwa bei ya...
Kulikuwa na utata mwanzoni - na kwa baadhi ya watu - juu ya msimamo wa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) ambaye pia ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Bw. Seif Sherrif Hamad hususan...
Kuna tetesi kuwa magamba tangia yaanze kuvuliwa yametoka kwa wingi zaidi katika vugu vugu la M4C na kupunguza mtaji wa ccm mpaka kufikia wanachama milioni mbili na laki tano hii ni kutokana na...
Wapo wanaomuita Magalle na wapo wanaomtambua kwa jina la John Shibuda. Lakini mwenyewe anasema kuwa majina SHIBUDA JOHN PAUL MAGALLE ndio yanayotambulisha na hajisikii vibaya kuitwa lolote kati ya...
Wana bodi zidumu fikra huru
Hivi vyama mwaka 2012 navyo vimeendesha siasa Naomba tukumbushane waliyofanya tutoe tadhimini Mitazamo na kutoa ushauri kwa 2013
Tukiwa kama wana Jf wapenzi wa...
Miaka ya 90 hivi aliyekuwa mkuu wa wilaya ya KAHAMA mkoani Shinyanga wakati huo Bi. Hawa Mchopa, ndiye aliyeonesha ujasiri wakati huo wakuwakomesha waliojiona ndio wababe wa mji. kulikuwa na TANK...
Kitengo cha propaganda cha CCM kimeonekana kufanya kazi yake barabara sasa hivi na idadi kubwa ya magazeti imekuwa ikipiga propaganda kubwa dhidi ya CHADEMA sasa hivi.Kutokana na hali hiyo...
Badala ya huu usanii unaoendelea wa CCM kujivua gamba,nafiri kitu ambacho kingefanyika havi sasa ni kuvunjwa chama hiki na mali zake kutaifishwa kama ilivyofanyika Misri.Nasema haya kwa sababu...
Written by Ahmed Omar Khamis // 12/12/2012 // Habari // 1 Comment
CCM wanaufanya mchakato ni wao, mali yao.
Serikali inawapa uso kutekeleza vitimbi viovu dhidi ya mchakato huo.
Utowaji...
Rais Kikwete jana alionyesha nguvu zake kwa kueleza kwamba yeye ndiye mwenye nguvu kuhusu ardhi na kueleza kwamba ardhi ya Mloganzila ni ya Tanganyika Packers, hivyo wananchi wasisikilize...
Ninaomba yeyote anayeweza kunipatia document inayoonyesha SERA ZA CHADEMA na strategies za kuzitekeleza. Nimejaribu kutafuta website yao naona haifunguki. Lakini ni vizuri kukafunguliwa mjadala wa...
Hali inayoendelea katika chaguzi za CCM ni ushahidi tosha kuwa sasa chama kimekosa dira na mwelekeo.Makada waaminifu kama mzee Kingunge amesema cha kimepoteza taswira na kuwa chama cha wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.