CCM imebakiwa na wanachama 2,500,000

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Kuna tetesi kuwa magamba tangia yaanze kuvuliwa yametoka kwa wingi zaidi katika vugu vugu la M4C na kupunguza mtaji wa ccm mpaka kufikia wanachama milioni mbili na laki tano hii ni kutokana na wanaccm ambao wamekuwa wakirudisha kadi pasipo mikutano na kuchukua za chadema pamoja na wale wanaorudisha katika mikutano mbali mbali inayoendelea.....

Mytake
M4C to the infinity...,....
 
great thinker hupaswi kuwa muongo kiasi hki,weka statistics hapa,hvi nyie wanaharakati mkoje?umbea tu umewajaa,mnaboa sana
 
sasa ungo ni upi? kwamba wana ccm wanarudisha kadi na kukimbilia CHADEMA au idadi ya wana CCM kubaki 2500000?
 
chadema ni janga la kitaifa!wanachama wake wengi ni wahuni tu,wapo wachache wenye kujenga hoja,hekima na busara,wengi wenu humu jf hamna hoja!weka vithibitisho kuwa ccm imebakia na wanachama 250000,pumba tu ndo mnajaza humu,,we sangarara ukiulizwa utaje sera hata moja ya cdm hujui
 
CCM ndo janga la kitaifa,wanachama wote wa ccm ni wahuni na majambazi ya mali za umma!
 
chadema ni janga la kitaifa!wanachama wake wengi ni wahuni tu,wapo wachache wenye kujenga hoja,hekima na busara,wengi wenu humu jf hamna hoja!weka vithibitisho kuwa ccm imebakia na wanachama 250000,pumba tu ndo mnajaza humu,,we sangarara ukiulizwa utaje sera hata moja ya cdm hujui

Unaonekana mtu wa GPA sana dogo!!
Angalia nyakati sio lazima iandikwenye journal.
 
Dah hii ni hatari na nusu, tena nusu nayo ni hatari kamili. Mtu unaleta nyuzi ambazo hazijathibitishwa, au wewe ndiye miongoni mwa viongozi wa Ccm wanaohusika na maswala ya takwimu za wanachama?
The unseen is illustrated by the seen.
 
chadema ni janga la kitaifa!wanachama wake wengi ni wahuni tu,wapo wachache wenye kujenga hoja,hekima na busara,wengi wenu humu jf hamna hoja!weka vithibitisho kuwa ccm imebakia na wanachama 250000,pumba tu ndo mnajaza humu,,we sangarara ukiulizwa utaje sera hata moja ya cdm hujui
Basi we SISIEM tutajie idadi ya wanachama wenu kwa sasa, itapendeza kama uataweka na na vithibitisho
 
great thinker hupaswi kuwa muongo kiasi hki,weka statistics hapa,hvi nyie wanaharakati mkoje?umbea tu umewajaa,mnaboa sana

kwa taarifa yako wanachama wa magamba mpaka sasa yana range kwenye zaidi ya 1,800,000. Endelea kudai statistics mkubwa!
 
chadema ni janga la kitaifa!wanachama wake wengi ni wahuni tu,wapo wachache wenye kujenga hoja,hekima na busara,wengi wenu humu jf hamna hoja!weka vithibitisho kuwa ccm imebakia na wanachama 250000,pumba tu ndo mnajaza humu,,we sangarara ukiulizwa utaje sera hata moja ya cdm hujui

another lusinde@ work
 
great thinker hupaswi kuwa muongo kiasi hki,weka statistics hapa,hvi nyie wanaharakati mkoje?umbea tu umewajaa,mnaboa sana

kwa taarifa yako magamba yamebakiwa na wanachama zaidi ya 1,800,000. Endelea kudai statistics mkubwa!
 
Back
Top Bottom