Shoo Gap
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 261
- 97
Ninaomba yeyote anayeweza kunipatia document inayoonyesha SERA ZA CHADEMA na strategies za kuzitekeleza. Nimejaribu kutafuta website yao naona haifunguki. Lakini ni vizuri kukafunguliwa mjadala wa kuona ni sera gani nzuri ya kuweza kuikomboa Tz. Chama gani kina sera nzuri za kupambana na Ufisadi, Umasikini, Ujinga, maradhi n.k. Watu wengi tumejikita kujadili watu na matukio, na tunaacha kujadili sera, viongozi wanaendeleza malumbano badala ya kuelezea sera zao na mbinu za kutekeleza sera hizo kuondokana na changamoto tulizo nazo(HASA ZA KIUCHUMI).