Wadau wa JF Jukwaa la Siasa, changieni JF isonge mbele

Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,258
2,000
Wanabodi,

Pro-Chadema JF jukwaa la siasa jitoleeni japo kadogo kuchangia JF ili isonge mbele katika harakati za kuelimisha umma inasikitisha sana kuona jukwaa letu la siasa ambalo ndio maarufu kukosa wachangiaji. tuige mfano wa majukwaa mengine kama MMU, Chit-Chat, members wa hayo majukwaa wanajitolea kidogo wanachopata kuchangia JF.

Pro-Chadema ambao ndio wengi jukwaa la siasa pamoja na wengine tujitolee kutoa ni moyo sio utajiri JF ni yetu sote ili isonge mbele inaitaji pesa na wenye majukumu ya kuifanya JF isonge mbele ni sisi members wote wa JF.

Maelezo ya namna ya kuchangia yapo wazi hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/280845-jamiiforums-premium-member-subscription.html

Annual Membership Subscriptions

JF Bronze Member 20,000 - 99,000

JF Gold Member 100,000 - 249,000

JF Platinum Member 250,000 - 490,000

JF Tanzanite Member 500,000 - Na zaidi...

JF DAIMA.
 
Kobello

Kobello

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
6,710
2,000
Mimi nilikuwa sijui haya mambo ....
Afadhali umeelezea, nilidhani wana pick mtu kuwa aina fulani ya member, kama ni hivyo hebu nielezee process ya kuchangia
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,195
2,000
Ritz

Tutajita kadri ya uwezo wetu lakini kama tunavyo lakini...
 
Last edited by a moderator:
Mimibaba

Mimibaba

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
4,559
1,195
Ritz si vizuri kusema ukweli mkavu kwa sababu za kuheshimiana; lakini mamluki wa CCM kwenye "jukwaa la Siasa" wanatufanya tusihojiane kihoja bali kupandishana hasira na kutukanana.

Nashauri pro CCM muwe serious tuchangiane hoja za kitaifa, watu binafsi watapita taifa litadumu daima
 
Last edited by a moderator:
Mag3

Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,014
2,000
Mimi nilikuwa sijui haya mambo ....
Afadhali umeelezea, nilidhani wana pick mtu kuwa aina fulani ya member, kama ni hivyo hebu nielezee process ya kuchangia
Duh! Hujafa hujaumbwa!
 
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,210
2,000
Why only Pro-Chadema? Oh! because Pro-"Tawala" are few but with a lot of JF IDs. Supporting Jamiiforums.com is for all regardless of identity grouping.
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,152
2,000
Ritz ili ni wazo zuri nami naahidi kulifanyia kazi kuhakikisha jf inasonga mbele!

Mbona lakini umeongelea pro-cdm tu, vipi kuhusu pro-ccm? Una uhakika pro-ccm wamesha iwezesha jf wote?

Bora uandike tu pro-ccm+pro-cdm tuchangie jf!

Kinyume na hapo utaonekana umekosa hoja ya siasa sasa umetafuta pengine!

Me nimelipokea hili wazo na nitalifanyia kazi!

Angalia usije ukawa umekosa pakushika!
 
kelao

kelao

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
6,936
2,000
Kwa hakika ni sahihi,naomba mtujulishe jinsi ya kuchangia.sisi wengine humu ni wageni kabisa.
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,258
2,000
Mimi nilikuwa sijui haya mambo ....
Afadhali umeelezea, nilidhani wana pick mtu kuwa aina fulani ya member, kama ni hivyo hebu nielezee process ya kuchangia
Wakuu Mike McKee, Invisible, makamanda wanaitaji kujua process waanze kuchangia.
 
Last edited by a moderator:
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,515
2,000
Mkuu Ritz why only pro-CHADEMA?
 
Last edited by a moderator:
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,258
2,000
Ritz ili ni wazo zuri nami naahidi kulifanyia kazi kuhakikisha jf inasonga mbele!
Mbona lakini umeongelea pro-cdm tu, vipi kuhusu pro-ccm? Una uhakika pro-ccm wamesha iwezesha jf wote?

Bora uandike tu pro-ccm+pro-cdm tuchangie jf!

Kinyume na hapo utaonekana umekosa hoja ya siasa sasa umetafuta pengine!

Me nimelipokea hili wazo na nitalifanyia kazi!
Angalia usije ukawa umekosa pakushika!
Mkuu nadhani wewe ni mkongwe humu JF tatizo kubwa la kuchangia JF lipo jukwaa la siasa, nenda jukwaa la MMU, Chit-Chat utakutana Pro-Chadema wengi tu wamechangia JF.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,334
0

wee Ruttashobolwa na sisi wana APPT cha dovutwa mbona hututaji? au we do'nt matter?
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,152
2,000
Ntafanyia kazi wazo lako Ritz
kwa hapa sina la kubisha maana jf naipenda na lazima nitachangia!

Mkuu nadhani wewe ni mkongwe humu JF tatizo kubwa la kuchangia JF lipo jukwaa la siasa, nenda jukwaa la MMU, Chit-Chat utakutana Pro-Chadema wengi tu wamechangia JF.
 
Last edited by a moderator:
MKANKULE

MKANKULE

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
420
195
hata mimi nahitaji kuelekezwa vzr jinsi ya kuchangia jf imetufungua mambo mengi sana lazima tushikane kuiendesha
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,152
2,000
Naona Ritz amezingatia kuangalia wingi wa watu wanatoka upande gani ila kweli Bishanga na wana dovutwa wana haki

wee Ruttashobolwa na sisi wana APPT cha dovutwa mbona hututaji? au we do'nt matter?
 
Last edited by a moderator:
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,258
2,000
Ritz si vizuri kusema ukweli mkavu kwa sababu za kuheshimiana; lakini mamluki wa CCM kwenye "jukwaa la Siasa" wanatufanya tusihojiane kihoja bali kupandishana hasira na kutukanana.

Nashauri pro CCM muwe serious tuchangiane hoja za kitaifa, watu binafsi watapita taifa litadumu daima
Nadhani wamekusoma mkuu wewe mkongwe humu JF changia kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Top Bottom