Wanabodi
Chama tawala kwa mwaka 2012 haikupita week, mwezi wala mwaka hatujaidili ccm kwa siasa zake kwa Watanzania si serikalini, bungeni, mahakamani na kwenye chama kwa walioibua viongozi...
habari zilizoenea tume wa ukusanyaji wa maoni imeshindwa kufanya kazi yake baada ya kupokea vitusho na pia sehemu nyengine wafuasi kutunishiana misuli.
kila upande inasmekana kupanga watu wake...
Wakuu leo ni zamu ya wakazi wa jiji la Arusha kutoa maoni ya uundwaji wa katiba mpya.Ni mategemeo yangu wanaJF wengi wa Jiji la Arusha watashiriki kikamilifu.
Ikumbukwe CUF walifanya mkutano...
Mbunge wa ILEMELA Mh. Hynes Kiwia ameshinda rufaa iliyofunguliwa na CCM kutaka kuvuliwa ubunge katika mahakama ya rufaa leo
Rufaa, unaweza kusoma: Wana CCM Mwanza wamkatia rufaa mbunge wa Chadema...
Salaam sana wanandugu,
Mimi kweli ni mpenda mabadiliko na ninaona chadema inaweza kutupeleka huko,ila nina maswali najiuliza na sijapata jibu bado.
Nimehudhuria mikutano kadhaa ya CHADMA na...
Wana JF, mwaka 2012 ndio unaishia ukingoni hivyo basi ningependa kila mmoja atoe maoni yake kuhusiana na utendaji kazi wa mawaziri wetu. Tufanye evaluation kwa kipindi chote cha mwaka 2012...
Ndugu yangu Nape wewe kama Mtanzania unachukuliaje haya yafuatayo:
Mabilioni yaliyofichwa uswisi na Watanzania
Rushwa iliyokithiri na hasa serekalini na CCM (Mwenyekiti alikiri alipokuwa...
Vurugu Chunya
TUESDAY, DECEMBER 11, 2012
WATU 13 akiwemo diwani wa viti maalumu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kata ya saza Benadetha Zacharia(38) wanashikiliwa na...
The Protectorate
After a period of confusing lines of control, Zanzibar was officially declared a British protectorate in 1890; the sultan was retained for ceremonial purposes, but most major...
Ni faraja kwa Watanzania kuona uongozi bora wa Rais Jakaya Kikwete umefanikisha maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru yakiambatana na matukio yaliyojaza furaha lukuki wa wananchi wa rika zote, makabila...
Kuna misemo mingi ya kiswahili ambayo tumekuwa tukiitumia katika kufikisha ujumbe katika jamii ambayo iliasisiwa na wazee wetu tangu enzi hizo,lakini misemo hiyo na nahau zake ililenga kutoa...
CCM wanaufanya mchakato ni wao, mali yao.
Serikali inawapa uso kutekeleza vitimbi viovu dhidi ya mchakato huo.
Utowaji wa maoni katika wilaya ya Mjini ratiba imepanga vituo vyote vya kutoa...
Napenda kuwaasa chadema kuwa katika vyama vya siasa kunakuwa na watu controversial. Ukimwangalia Filikunjombe utadhani ni chadema ndani ya ccm lakini ccm wanaweza kuvumilia mawazo tofauti...
Nakumbuka mnamo mwaka 2007 Chuo Kiku cha Edinburgh cha huko Scotland nchini Uingereza kilitangaza kumnyang'anya Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe Shahada ya heshima waliyompa miaka takriban 20...
Kuna mahali nimepata quotation hii is a food for thought!
"official government's position on economic policies had clearly changed after the stepping down of Mwalimu Nyerere, a socialist and...
.. to witness his son doing his very first live ( televised)public presentation. During my childhood at Ilala, I remember my late father, John Ramadhan Mjengwa telling me to follow him to a...
kama alivyofanya kwa mukama,kijana huyu ambaye unaweza kumuita 'media darling' anaonekana kushika kasi katika suala zima la usemaji na maamuzi ya ccm.tukumbuke kinana alitajwa sana kwa muda wa...
Maendeleo ya binadamu yamepiga hatua sana pale binadamu walipoamua kuishi pamoja.
Tatizo moja la kimsingi kabisa lililopelekea binadamu kuwa na serikali ni changamoto ambazo binadamu alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.