Structure ya Dar es Salaam City Hall

Structure ya Dar es Salaam City Hall

George Smiley

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
471
Reaction score
267
Hivi kuna mtu ana jua structure ya City Hall ya Dar na roles za mayors kama akina Masaburi, Silaa et al.

Mfano transparency ya award of contracts na transparency yao. Mfano tunaweza kujua ni akina nani walipitisha matangazo ya kumsifu Mayor Silaa na budget ya kiasi gani kilitumika.

Je Silaa au Masaburi wanazo BLUE PRINT au VISION ya jiji kama la Dar?

I hope this thread haitofungua can of worms. Lakini kwa kuwa hii ni JF then tusilaumiane kama mengine yakafunguka.
 
Back
Top Bottom