Kwa mzanzibari wa kawaida bdo anaihitaji sana TANZANIA inayotokana na MUUNGANO WA ZANZIBAR NA TANGANYIKA. Kwao hawajui habari za wanasiasa na masuala ya utawala.
Ila kwa viongozi wao ndo ambao...
Ndugu zangu kila nikikaa hivi nawaza hawajamaa wanataka nini? Mara wakatae mchakato, mara waseme ni wao waasisi wa mchakato, mara waseme hakuna umuhimu wa ktba mpya mara wakubali kwa shingo...
Kwanza Mods naomba thread hii ibaki hapa.
Tatizo ni kubwa kuliko inavyofikiriwa. Tuache siasa katika hili. Nimeshuhudia watoto wa watanzania waliotoka vijijini kuja mijini kutafuta internet ili...
After M23, Jakaya Kikwete of Tanzania is in Conflict with Malawi, Who will Follow
Lake Malawi dispute: Tanzania, M23, and the greed it will suffer for
By Patricia Masinga / Nyasa Times;
May 5...
GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini, kwa mara ya kwanza anakumbana na upinzani mkali jimboni kwake kutoka Chama cha Wananchi (CUF), FAHAMU limeelezwa.
Kwa sababu ya upinzani huo, Lema...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu...
Leo mwenge wa uhuru unaingia hapa Usa-River Arumeru, Binafsi nimejua jana jioni baada ya kuona viongozi wetu wakihangaika kutengeneza vibarabara vya mtaani pamoja na majukwaa, Jana ulikua Arusha...
Na Mussa Juma
Posted Jumanne,Juni4 2013 saa 21:3 PM
KWA UFUPI
Urais ni nafasi ya juu kabisa katika nchi, lazima Rais ajulikane anatoka chama gani, ana sera gani na kundi gani linamuunga...
Ukifuatilia uchaguzu wa 2010 Dr Slaa alikua na nguvu ila baada ya kubainika kuwa anaungwa mkono na kanisa hapo umaarufu wake ukashuka na kupelekea kushindwa vibaya 2010. Ni ukweli uso na shaka...
Kila ninapowaza utajiri wa rasilimali za nchi yetu na kulinganisha na umaskini wa watu wa Taifa hili, napigwa na butwaa! Naamini kwa roho nyeupe kabisa bila ya kinyongo dhidi ya CCM, kuwa hapa...
Imezinduliwa rasimu ya katiba leo,na sasa itapelekwa kwenye mabaraza ya katiba ya kata ili kuiboresha kabla ya kuitoa rasmi na kuanza kutumika.
Lakini kuna kipengele kimeongelea 50% ya kura ili...
Kwa hesabu za haraka haraka, ni asilimia mbili tu (2%) ya watanzania wanaishi Tanzania Visiwani (1.3mil), inayojulikana sana kama 'nchi' ya Zanzibar. 98% ya watanzania (zaidi ya mil. 40)...
TANZANIA POLICE KILLING DO NOT MEET THE DEFINITION OF GENOCIDE, CRIMES AGAINST HUMANITY OR WAR CRIMES AS DEFINED IN ARTICLES 6 TO 8 OF THE ROME STATUTE.
The International Criminal Court (ICC) has...
Je,Unapenda Dr. Slaa agombee uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) au agombee uraisi wa Tanzania bara (Tanganyika)? Kama ni Tanganyika, nani unadhani anafaa kugombea uraisi Muungano kwa...
Wakuu haya ndio majibu ya muheshimiwa wetu pale vijana wanapotilia mashaka uheshimiwa wake. Nimeleta baadhi tu majibizano toka fb
Edna Kitiri Mwigulu, mkeo anajua lugha yako au wanaojua lugha...
Mkutano wa chadema hii leo kata ya Elerai, chadema inazidi kuwa poteza wapinzani wao kwa wananchi wa Arusha kujitokezakwenye mikutano yake tofauti na matamasha ya fiesta yanayofanywa na chama cha...
Wana jf salam !
Tunapoelekea kwenye Uundwaji wa Katiba Mpya
ambayo kwasasa inatuelekeza kwenye Muundo
wa Serikali tatu yaani :-
1. Serikali ya Tanzania Bara
2. Serikali ya...
Nianze kwa kusema habari zenu watanzania wenzangu pamoja na wasio watanzania. Maana naamini kabisa hii forum haitumiwi tu na watanzania peke yao bali hata majirani na wageni nao wanatumia, niseme...
HOFU ya vitendo vya kijangili imezuka mkoani hapa baada ya kuwepo kwa tuhuma za kambi tatu zinazoendesha mafunzo ya kijeshi, zikidaiwa kuendeshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Tuhuma hizi nzito...
Mh.RAIS,naomba usome waraka huu kwa makini na uchukue hatua mara moja.
Nakumbushia report ya mtandao wa wafanyabiashara ya MADAWA ya KULEVYA aliyokupa marehemu Amina Chifupa ambayo umekaa kimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.