Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bajeti ya elimu imepitishwa,sijaona makeke ya mr zero bungeni licha ya kuweweseka sana kabla ya bunge au ni aibu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwanza nimpongeze mbatia kwa kazi nzuri anayo ifanya kuhusu suala la elimu hapa nchini. amekua msitari wa mbele kuonesha madudu yaliyomo ktk sekta ya elimu hapa nchini. ikumbukwe kuwa wadau kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tangu rasimu ya katiba mpya itolewe siku ya 3/6/2013 mengi yamesemwa. Pia kufuatia rasimu hiyo wengi wamesema. Pamoja na asasi zisizo za kiserikali, pia kuna wanasiasa kadha wa kadha walitoa...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
KIONGOZI BORA 1. Msimamizi na mtetezi wa maslahi ya UMMA anaouongoza. 2. Msimamo wa kutetea,kutekeleza na kufanikisha wajibu alioajiriwa kwa huo. 3. Hashinikizi mambo yote mema ayaone kwa macho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama Mtikila amekuwa akiiburuza serikali mahakamani kwa makosa mbalimbali na kuishinda, sasa nawaomba wanasheria hawa kuiburuza serikali mahakamani kwa makosa yafuatayo 1. Kutekwa kwa ulimboka na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naibu Spika Mh Ndugai amesema kuwa anatamani kuona CDM wakiwaa Dola na kuingia Ikulu ktk uchaguzi mkuu 2015. Alisema kwamba Cdm ni chama kinachobebwa na Wananchi na vyombo vya habari bila kuijua...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
CCM yajifua kijeshi Mbeya • Yadaiwa kuunda kambi kwa maagizo ya Mwigulu NI BAADA YA KUSHINDWA SIASA ZA MAJUKWAANI VIBAYA MNO NA UPANDE WA CHADEMA NA KUONA KITI KINAENDA CHADEMA HASA BAADA...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndio waziri wa madini atilia mkazo na kasema ni lazima uranium ichimbwe
0 Reactions
25 Replies
2K Views
A) MUHIMILI WA MAHAKAMA UMEWEKWA CHINI YA RAIS: Kuna mahakama 2, mahakama ya juu na mahakama ya rufani: 146.-(1) Bila ya kuathiri masharti yoyote yaliyotangulia katika Sehemu hii, kutakuwa na...
1 Reactions
2 Replies
896 Views
Leo katika gazeti la mwananchi la jumapili Warioba: Ikulu kugawanywa - Kitaifa - mwananchi.co.tz Jaji Warioba amesema ya kua baada ya muundo wa serikali tatu kwa mujibu wa katiba mpya (kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Pamoja na tuhuma zinazowakabili bado wanataka kuendelea kutawala. Wameshindwa kuondoa umaskini,matokeo yake wamekuja na udini,ukabila na ugaidi. Kama nchi imewashinda so muachie ngapi? Hata aibu...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Hali ya hewa ilitibuka baada ya Dr. Mary Nagu kuuliza mamia ya wananchi katika mkutano wa kampeni. Ilikuwa hivi: Mary Nagu aliwahoji wananchi "Ni akina nani hapa wanamuunga mkono Lawrence Tara wa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Pamoja na tuhuma zinazowakabili bado wanataka kuendelea kutawala. Wameshindwa kuondoa umaskini,matokeo yake wamekuja na udini,ukabila na ugaidi. Kama nchi imewashinda si muachie ngazi? Hata aibu...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Ninadhani sasa ni wakati muafaka kuanza kufikiria na hata kumshawishi mtu tunayedhani anaweza na anafaa kuwa kiongozi (Rais) wetu baada ya Jakaya. Wengi wanatajwa na wengine wamekaa kimya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe...
2 Reactions
124 Replies
10K Views
Leo, mmoja wa wajumbe wa tume ya katiba mpya Prof. Kabudi.. kwenye kipind cha kipima joto cha ITV.. ambapo pamoja na mambo mengine ameeleza kwa kina tafsir ya mambo makubwa katika rasimu ya katiba...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Nauliza tu maana nina utata. Kama tulikuwa hatuajiriwi Zanzibar kwenye mambo yaliyochini yao je Wazanzibari walioajiliwa kwenye mambo yaliyokuwa ya muungano zamani watarudi kwao? Nisadieni utata huu
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Akizungumza kwenye kongamano lililofanyika diomond jubilee shehe ponda ameitahadharisha serikali kutaka kumfunga mdomo asizumze juu ya masuala ya dini ambapo hiyo ni haki kikatiba na yeye kama...
1 Reactions
101 Replies
9K Views
Hali ni tete mkoa wote wa mwanza hadi sasa hawajajua hatima ya mishahara yao ya mwezi May wanaishi kwa madeni hatari sna
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Katika utaratibu wa kawaida wabunge wa vyama vya siasa wanakuwa na mkutano uitwao Party Caucus. Lengo la mkutano wa aina hii ni kwa ajili ya pengine kupendekeza na kupitisha majina ya wagombea wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom