LEMA Mambo magumu Arusha, aamua kutoroka vikao 40 vya bunge


H

haranduvye

Senior Member
Joined
Apr 4, 2013
Messages
161
Likes
0
Points
33
H

haranduvye

Senior Member
Joined Apr 4, 2013
161 0 33
GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini, kwa mara ya kwanza anakumbana na upinzani mkali jimboni kwake kutoka Chama cha Wananchi (CUF), FAHAMU limeelezwa.Kwa sababu ya upinzani huo, Lema ameamua kusamehe vikao 40 vya bunge hatua itakayomkosesha kipato kinachokaribia Sh. Mil. 9 kinachotokana na posho ya kuhudhuria vikao hivyo kila siku.Mbunge huyo anayewakilisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameamua kusamehe mapato yote hayo kwa lengo moja tu: Kukabiliana na ushindani mkali wakati huu ambapo kata kadhaa za ndani ya jimbo lake zimo katika kinyang’anyiro cha uchaguzi kutokana na chama chake kufukuza madiwani wao.Kata hizo ni miongoni mwa kata kadhaa nchini kote zinazoendesha uchaguzi mdogo uliopangwa kufanyika Juni 16, mwaka huu kujaza nafasi zilizoachwa baada ya madiwani wake kufa au kujiuzulu.Kulingana na taarifa zilizopatikana na gazeti hili, Lema amechukua uamuzi huo mgumu baada ya kuamini pasina shaka kuwa ikitokea Chadema kupoteza kata hizo, mzigo wa lawama na shutuma utamuangukia yeye.Kwa upande mwingine, kushindwa kwa chama hicho katika uchaguzi wa kata hizo, kutakuwa na maana ya hali ngumu ya kisiasa kumkabili yeye binafsi kama kiongozi wa ngazi ya juu pamoja na chama chake kuelekea uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.“Mimi ni kiongozi wa uhamasishaji na nimeacha vikao vya bunge kwa ajili ya watu, ni fedha kama milioni 9 katika vikao 40 vya bunge.... natumia nguvu yangu ili ku-make sure (kuhakikisha) nashinda,” anasema LemaKata zinazokabiliwa na ushindani mkubwa jimboni Arusha Mjini, ni Elerai, Themi na Kaloleni na kuna kila dalili kuwa ushindani huo unakuja kutokana na Chama cha Wananchi (CUF) kusimamisha wagombea wanaokubalika kwa ajili ya uchaguzi huo mdogo.Kwa mujibu wa taarifa, baadhi ya wanachama wa Chadema na viongozi ndani ya jimbo na mkoa, wanaelezwa kuwa wanawaunga mkono wagombea wa CUF katika kile baadhi yao wanachokieleza kuwa “hatua ya kulipiza kisasi baada ya madiwani wa kata hizo kufukuzwa na Chadema.”Tofauti na Uchaguzi Mkuu 2010 Lema katika majukwaa amekuwa akitumia muda mwingi kuishambulia CUF akimwaga shutuma na mashambulizi yake kupitia kituo cha Redio Five.Hivi karibuni, amesikika hewani akilituhumu Jeshi la Polisi kwa alichodai kushindwa kuwachukulia hatua wanachama wa CUF anaodai kuwa walilishambulia gari la Katibu Mwenezi wa Chadema Arusha.“Gari la matangazo la katibu mwenezi ndio lilirushiwa jiwe, ilikuwa maeneo ya Msikiti wa Ijumaa, mhalifu anajulikana. Sisi tumeshachukua hatua ya kwenda polisi na hatua nyingine zinaendelea,” alisema Lema.Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Umma na Haki za Binaadamu wa CUF, Abdul Kambaya ameliambia FAHAMU kwamba chama hicho kimetambua udhaifu wa wapinzani wao wakubwa (Chadema) kwani kimegawanyika makundi mawili.“Tumetambua udhaifu mkubwa wa Chadema hapa Arusha, hawa hawapo pamoja kutokana na kushindwa kuelewana. Wanacheza pamoja lakini kila mmoja anawaza lake na ndio maana Lema anashindwa kuondoka hapa kwenda bungeni,” alisema Kambaya ambaye amepiga kambi jijini Arusha kuongoza kampeni za CUF.Wakati Kambaya akisema hivyo, Lema alisema “hisia zangu ni kwamba CUF ni watu waliozidiwa, CUF kipo Arusha lakini kina watu wachache sana kama vile hakuna. Nakumbuka katika Uchaguzi Mkuu mimi nilipata kura 6,000 na wao walipata kura 400 kwa hiyo CUF haipo Arusha.”Wakati Lema anajigamba kuwa CUF haipo jimboni Arusha, amekuwa akitumia mbinu ya kukipakazia CUF kuwa ni CCM B Zanzibar huku akiwashambulia wale madiwani waliosimamishwa na Chadema.

Ingawa anawashambulia madiwani wao wa zamani, hali inayoonekana katika kampeni inathibitisha kuwa Lema anamlenga zaidi John Bayo, mgombea udiwani kupitia CUF katika Kata ya Elerai.

Taarifa kutoka Chadema zinaeleza chama hicho kimegawika makundi mawili kutokana na kundi moja kujiona wanyonge na kundi jingine kujipa mamlaka mkoani Arusha.Hali hiyo imesababisha chama hicho kupungua mvuto kwa watu na kurahisisha kampeni ya CUF kupenya kisawasawa ndani ya nyoyo za wakazi wa kata hizo zinazogombaniwa.Mwandishi wa FAHAMU aliyeko jijini Arusha ameshuhudia mara kadhaa baadhi ya viongozi wa Chadema wakimgeuka hadharani Lema na kupanda kwenye majukwaa ya CUF kuwanadi wagombea wa chama hicho ambacho kina siasa za kistaarabu majukwaani na mitaani.Miongoni mwa viongozi hao wa Chadema wanaoinadi CUF ni Katibu Mwenezi wa Kata ya Olorien, Prosper Mfinanga na Mwenyekiti wa Kata ya Terati, Gerald Majengo.Mara kadhaa viongozi hao wamekutwa wakimtuhumu Lema kwa madai kuwa anawagawa wanachama. Vituo vya redio vya mkoani Arusha vimesikika mara nyingi vikirusha tuhuma hizo.Mjini Arusha, baadhi ya wanachama wa Chadema waliwahi kufikisha malalamiko yao kwa Katibu Mkuu wao, Dk. Willibrod Slaa yanayohusu matumizi mabaya ya michango inayotolewa na Chadema katika kampeni ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C).Viongozi hao wanalalamika kuwa Lema anatumia raslimali za chama kwa ajili ya maslahi binafsi.Tuhuma hizo zilimfikia Dk. Slaa na mwaka jana wakati alipozungumza na gazeti hili, alithibitisha kuzipata na akawataka wanachama hao kumpelekea ushahidi.Wanachama hao walichukizwa na msimamo wa Dk. Slaa na hivyo kuongeza mpasuko unaokidhoofisha chama hicho kwa kuamini kuwa Dk. Slaa na viongozi wenzake waandamizi walioko Makao Makuu Dar es Salaam wanambeba Lema.Wao walisema walichokitarajia baada ya kutoa malalamiko dhidi ya Lema, ni chama kuendesha uchunguzi wa tuhuma walizozitowa dhidi ya yake.Taarifa zilizowekwa kwenye orodha ya madai ya wanachama hao na kuzifikisha kwa Dk. Slaa zilieleza kuwa, Lema bila ya woga amekuwa akifanya ufisadi, ubabe, vitisho na hata matumizi ya nguvu kukabiliana na wanachama na kwamba kutokana na hali hiyo, baadhi ya viongozi na wanachama wameamua kumgeuka.Katika andiko lao kwa Dk. Slaa, makamanda hao waliitaka Kamati Kuu ya Chadema kufanya uchunguzi wa haraka na wa kina wakiorodhesha tuhuma kadhaa ikiwamo ya kutafuna fedha za wajane na yatima.“Tunaiomba Kamati Kuu kufuatilia kwa makini yafuatayo kwa ajili ya ustawi wa chama…huyu Bwana (Lema) aliomba kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wananchi, akapewa.“Je bado kipo?, bado malengo yake ni kujengwa hospitali na kimeandikishwa kwa jina la nani?” walihoji makamanda hao katika barua yao Kumb. Na. 01/CDM/AR ya Novemba 05, mwaka jana, iliyosainiwa na Majengo kama Mwenyekiti na Mfinanga kama Katibu kwa niaba ya wenzao zaidi ya 20.Alipoulizwa na FAHAMU kuhusu tuhuma hizo ambazo zinadaiwa kukivuruga chama na kutoaminika kwa baadi ya viongozi na wanachama, Lema alionesha kukasirishwa.“Mimi nilijua tu lazima utaniuliza hilo swali, nyinyi mmekuwa mkiandika habari za kutengeneza..., kuna kipindi mlikuwa mkiandika lakini tukawacha tu kwasababu hamkuwa na wasomaji wengi.“This time (muda huu) sitawaacha, nitawapeleka mahakamani, nionye tu kwamba, kuna wakati tutakuwa very serious (makini sana) na gazeti lenu kutokana na story (habari) zenu,” alisema Lema alipohojiwa mwishoni mwa wiki.Lema alishikiliwa wajibu wake kujibu tuhuma na siyo kulalamika na hatimaye alisema, “sikiliza kamanda, mimi natumia pesa kutoka katika akaunti yangu kwa kutoa misaada pamoja na kukiimarisha chama, na kama chama kina mbinu zake, mimi si mtunza fedha nitafujaje fedha za chama.”Majengo ambaye ni mmoja wa viongozi waliosaini waraka wa malalamiko dhidi ya Lema, aliliambia gazeti hili jana kuwa malalamiko hayo waliyapeleka makao makuu ambao wakubwa waliyapuuza.“Tulifikisha malalamiko hayo wenyewe Dar es Salaam lakini wakubwa hawakuchukua hatua yoyote, wanalindana. Tuliwaeleza Lema amekuwa akisema yeye uongozi wake ni wa familia na matumizi mengine mabaya.“Nakumbuka kuna trekta lililotolewa kwa ajili ya chama halijulikani lilipo, kuna kiwanja cha hekari tano kilitolewa lakini hakielezwi hati yake imeandikwa jina gani. Napanda majukwaa ya CUF kueleza ukweli huu,” alisema.Kuhusu Lema kuchangia fedha kutoka kwenye akaunti yake, Mwenyekiti wa Chadema M

Source: gazeti la FAHAMU
 
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,776
Likes
2,024
Points
280
Age
36
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,776 2,024 280
Fahamu ni gazeti la KILIBERALI
 
MVUMBUZI

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
5,076
Likes
808
Points
280
MVUMBUZI

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2011
5,076 808 280
Ujinga mtupu tangu lini chama cha Msikiti kikaingia kikakubalika kanda ya Kaskazini. Labda waende Mtwara
 
ngoshaboy

ngoshaboy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
232
Likes
171
Points
60
Age
32
ngoshaboy

ngoshaboy

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2013
232 171 60
Umelipwa pesa nyingi kuweka mada ya kujifariji kwani ni nani asiyejua arusha ni ngome ya CDM na rema si mpenda posho kama Maribelali kwa kuwa umeshapata posho yako jinyamazie usubiri majibu.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,247
Likes
20,363
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,247 20,363 280
Fahamu ni gazeti la propaganda la CUF na Waislamu ubwabwa, hakuna habari hapo zaidi ya kuwadanganya wapemba wanaonunuwa gazeti hilo.
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
90
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 90 145
GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini, kwa mara ya kwanza anakumbana na upinzani mkali jimboni kwake kutoka Chama cha Wananchi (CUF), FAHAMU limeelezwa.Kwa sababu ya upinzani huo, Lema ameamua kusamehe vikao 40 vya bunge hatua itakayomkosesha kipato kinachokaribia Sh. Mil. 9 kinachotokana na posho ya kuhudhuria vikao hivyo kila siku.Mbunge huyo anayewakilisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameamua kusamehe mapato yote hayo kwa lengo moja tu: Kukabiliana na ushindani mkali wakati huu ambapo kata kadhaa za ndani ya jimbo lake zimo katika kinyang'anyiro cha uchaguzi kutokana na chama chake kufukuza madiwani wao.Kata hizo ni miongoni mwa kata kadhaa nchini kote zinazoendesha uchaguzi mdogo uliopangwa kufanyika Juni 16, mwaka huu kujaza nafasi zilizoachwa baada ya madiwani wake kufa au kujiuzulu.Kulingana na taarifa zilizopatikana na gazeti hili, Lema amechukua uamuzi huo mgumu baada ya kuamini pasina shaka kuwa ikitokea Chadema kupoteza kata hizo, mzigo wa lawama na shutuma utamuangukia yeye.Kwa upande mwingine, kushindwa kwa chama hicho katika uchaguzi wa kata hizo, kutakuwa na maana ya hali ngumu ya kisiasa kumkabili yeye binafsi kama kiongozi wa ngazi ya juu pamoja na chama chake kuelekea uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015."Mimi ni kiongozi wa uhamasishaji na nimeacha vikao vya bunge kwa ajili ya watu, ni fedha kama milioni 9 katika vikao 40 vya bunge.... natumia nguvu yangu ili ku-make sure (kuhakikisha) nashinda," anasema LemaKata zinazokabiliwa na ushindani mkubwa jimboni Arusha Mjini, ni Elerai, Themi na Kaloleni na kuna kila dalili kuwa ushindani huo unakuja kutokana na Chama cha Wananchi (CUF) kusimamisha wagombea wanaokubalika kwa ajili ya uchaguzi huo mdogo.Kwa mujibu wa taarifa, baadhi ya wanachama wa Chadema na viongozi ndani ya jimbo na mkoa, wanaelezwa kuwa wanawaunga mkono wagombea wa CUF katika kile baadhi yao wanachokieleza kuwa "hatua ya kulipiza kisasi baada ya madiwani wa kata hizo kufukuzwa na Chadema."Tofauti na Uchaguzi Mkuu 2010 Lema katika majukwaa amekuwa akitumia muda mwingi kuishambulia CUF akimwaga shutuma na mashambulizi yake kupitia kituo cha Redio Five.Hivi karibuni, amesikika hewani akilituhumu Jeshi la Polisi kwa alichodai kushindwa kuwachukulia hatua wanachama wa CUF anaodai kuwa walilishambulia gari la Katibu Mwenezi wa Chadema Arusha."Gari la matangazo la katibu mwenezi ndio lilirushiwa jiwe, ilikuwa maeneo ya Msikiti wa Ijumaa, mhalifu anajulikana. Sisi tumeshachukua hatua ya kwenda polisi na hatua nyingine zinaendelea," alisema Lema.Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Umma na Haki za Binaadamu wa CUF, Abdul Kambaya ameliambia FAHAMU kwamba chama hicho kimetambua udhaifu wa wapinzani wao wakubwa (Chadema) kwani kimegawanyika makundi mawili."Tumetambua udhaifu mkubwa wa Chadema hapa Arusha, hawa hawapo pamoja kutokana na kushindwa kuelewana. Wanacheza pamoja lakini kila mmoja anawaza lake na ndio maana Lema anashindwa kuondoka hapa kwenda bungeni," alisema Kambaya ambaye amepiga kambi jijini Arusha kuongoza kampeni za CUF.Wakati Kambaya akisema hivyo, Lema alisema "hisia zangu ni kwamba CUF ni watu waliozidiwa, CUF kipo Arusha lakini kina watu wachache sana kama vile hakuna. Nakumbuka katika Uchaguzi Mkuu mimi nilipata kura 6,000 na wao walipata kura 400 kwa hiyo CUF haipo Arusha."Wakati Lema anajigamba kuwa CUF haipo jimboni Arusha, amekuwa akitumia mbinu ya kukipakazia CUF kuwa ni CCM B Zanzibar huku akiwashambulia wale madiwani waliosimamishwa na Chadema.

Ingawa anawashambulia madiwani wao wa zamani, hali inayoonekana katika kampeni inathibitisha kuwa Lema anamlenga zaidi John Bayo, mgombea udiwani kupitia CUF katika Kata ya Elerai.

Taarifa kutoka Chadema zinaeleza chama hicho kimegawika makundi mawili kutokana na kundi moja kujiona wanyonge na kundi jingine kujipa mamlaka mkoani Arusha.Hali hiyo imesababisha chama hicho kupungua mvuto kwa watu na kurahisisha kampeni ya CUF kupenya kisawasawa ndani ya nyoyo za wakazi wa kata hizo zinazogombaniwa.Mwandishi wa FAHAMU aliyeko jijini Arusha ameshuhudia mara kadhaa baadhi ya viongozi wa Chadema wakimgeuka hadharani Lema na kupanda kwenye majukwaa ya CUF kuwanadi wagombea wa chama hicho ambacho kina siasa za kistaarabu majukwaani na mitaani.Miongoni mwa viongozi hao wa Chadema wanaoinadi CUF ni Katibu Mwenezi wa Kata ya Olorien, Prosper Mfinanga na Mwenyekiti wa Kata ya Terati, Gerald Majengo.Mara kadhaa viongozi hao wamekutwa wakimtuhumu Lema kwa madai kuwa anawagawa wanachama. Vituo vya redio vya mkoani Arusha vimesikika mara nyingi vikirusha tuhuma hizo.Mjini Arusha, baadhi ya wanachama wa Chadema waliwahi kufikisha malalamiko yao kwa Katibu Mkuu wao, Dk. Willibrod Slaa yanayohusu matumizi mabaya ya michango inayotolewa na Chadema katika kampeni ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C).Viongozi hao wanalalamika kuwa Lema anatumia raslimali za chama kwa ajili ya maslahi binafsi.Tuhuma hizo zilimfikia Dk. Slaa na mwaka jana wakati alipozungumza na gazeti hili, alithibitisha kuzipata na akawataka wanachama hao kumpelekea ushahidi.Wanachama hao walichukizwa na msimamo wa Dk. Slaa na hivyo kuongeza mpasuko unaokidhoofisha chama hicho kwa kuamini kuwa Dk. Slaa na viongozi wenzake waandamizi walioko Makao Makuu Dar es Salaam wanambeba Lema.Wao walisema walichokitarajia baada ya kutoa malalamiko dhidi ya Lema, ni chama kuendesha uchunguzi wa tuhuma walizozitowa dhidi ya yake.Taarifa zilizowekwa kwenye orodha ya madai ya wanachama hao na kuzifikisha kwa Dk. Slaa zilieleza kuwa, Lema bila ya woga amekuwa akifanya ufisadi, ubabe, vitisho na hata matumizi ya nguvu kukabiliana na wanachama na kwamba kutokana na hali hiyo, baadhi ya viongozi na wanachama wameamua kumgeuka.Katika andiko lao kwa Dk. Slaa, makamanda hao waliitaka Kamati Kuu ya Chadema kufanya uchunguzi wa haraka na wa kina wakiorodhesha tuhuma kadhaa ikiwamo ya kutafuna fedha za wajane na yatima."Tunaiomba Kamati Kuu kufuatilia kwa makini yafuatayo kwa ajili ya ustawi wa chama…huyu Bwana (Lema) aliomba kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wananchi, akapewa."Je bado kipo?, bado malengo yake ni kujengwa hospitali na kimeandikishwa kwa jina la nani?" walihoji makamanda hao katika barua yao Kumb. Na. 01/CDM/AR ya Novemba 05, mwaka jana, iliyosainiwa na Majengo kama Mwenyekiti na Mfinanga kama Katibu kwa niaba ya wenzao zaidi ya 20.Alipoulizwa na FAHAMU kuhusu tuhuma hizo ambazo zinadaiwa kukivuruga chama na kutoaminika kwa baadi ya viongozi na wanachama, Lema alionesha kukasirishwa."Mimi nilijua tu lazima utaniuliza hilo swali, nyinyi mmekuwa mkiandika habari za kutengeneza..., kuna kipindi mlikuwa mkiandika lakini tukawacha tu kwasababu hamkuwa na wasomaji wengi."This time (muda huu) sitawaacha, nitawapeleka mahakamani, nionye tu kwamba, kuna wakati tutakuwa very serious (makini sana) na gazeti lenu kutokana na story (habari) zenu," alisema Lema alipohojiwa mwishoni mwa wiki.Lema alishikiliwa wajibu wake kujibu tuhuma na siyo kulalamika na hatimaye alisema, "sikiliza kamanda, mimi natumia pesa kutoka katika akaunti yangu kwa kutoa misaada pamoja na kukiimarisha chama, na kama chama kina mbinu zake, mimi si mtunza fedha nitafujaje fedha za chama."Majengo ambaye ni mmoja wa viongozi waliosaini waraka wa malalamiko dhidi ya Lema, aliliambia gazeti hili jana kuwa malalamiko hayo waliyapeleka makao makuu ambao wakubwa waliyapuuza."Tulifikisha malalamiko hayo wenyewe Dar es Salaam lakini wakubwa hawakuchukua hatua yoyote, wanalindana. Tuliwaeleza Lema amekuwa akisema yeye uongozi wake ni wa familia na matumizi mengine mabaya."Nakumbuka kuna trekta lililotolewa kwa ajili ya chama halijulikani lilipo, kuna kiwanja cha hekari tano kilitolewa lakini hakielezwi hati yake imeandikwa jina gani. Napanda majukwaa ya CUF kueleza ukweli huu," alisema.Kuhusu Lema kuchangia fedha kutoka kwenye akaunti yake, Mwenyekiti wa Chadema M

Source: gazeti la FAHAMU
Mbona Uko One sided an BIAS??? MWINGULU NCHEMBA na MAGWANDA MAPYA Umemwona BUNGENI??? au ??? Yeye ni tofauti???
 
nkowosi

nkowosi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
464
Likes
328
Points
80
nkowosi

nkowosi

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
464 328 80
Mleta mada mliberali
 
MPANDA Jr

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Messages
1,298
Likes
3
Points
135
MPANDA Jr

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2011
1,298 3 135
Mnajisumbua tu. Mtarusha ngumi sasa hivi
 
MANGUNGO

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
1,538
Likes
10
Points
133
MANGUNGO

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
1,538 10 133
Gazeti la kiliberali bhana!
 
Rugaijamu

Rugaijamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2010
Messages
2,912
Likes
645
Points
280
Rugaijamu

Rugaijamu

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2010
2,912 645 280
Endeleeni tu kujifariji......Naamini ukweli mnautambua
 
M

mgoli magombe

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
121
Likes
6
Points
35
Age
34
M

mgoli magombe

Senior Member
Joined Apr 20, 2013
121 6 35
Fahamu ni gazeti la kuvutia ugoro, haliwezi likawa na ukweli. Cuf hai[po Arusha.
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
6
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 6 135
Ni kigazeti cha wajinga wajinga.. Halina tofauti na Nnuur
Fahamu ni gazeti la propaganda la CUF na Waislamu ubwabwa, hakuna habari hapo zaidi ya kuwadanganya wapemba wanaonunuwa gazeti hilo.
 
123Kape

123Kape

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Messages
466
Likes
11
Points
0
123Kape

123Kape

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2011
466 11 0
yaani jamaa umekopi unafiki laivu laivu...hizi ni propaganda zisizo na mashiko...hao ndio walewale kina mwampamba kama wapo na lazima watapewa sapoti na maccm...acheni uliberali huo..embu dumu katika ubora na uhalisia sahihi wa mambo co unabweka tuu
 
Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
5,763
Likes
191
Points
160
Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
5,763 191 160
CDM aka sauti ya kanisa wameshikwa pabaya, wananchi wameshaanza kuwashtukia kuwa ni matapeli.
 
M

mgomba101

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
1,794
Likes
72
Points
145
Age
20
M

mgomba101

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
1,794 72 145
CUF hamna kitu! Arusha ni stronghold ya CHADEMA
 
KIJOME

KIJOME

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Messages
3,088
Likes
37
Points
145
Age
48
KIJOME

KIJOME

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2012
3,088 37 145
Mleta maana inaonyesha umeshaliberaliwa ndio maana unatoka mapovu yasiyoeleweka hapa....
 
LESIRIAMU

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
4,642
Likes
3,226
Points
280
LESIRIAMU

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
4,642 3,226 280
CUF hamna kitu! Arusha ni stronghold ya CHADEMA
Mbona hawariooti aibu zilizomkuta Aliyesaini ndoa na magamba pia ndie aliye waingiza uleberali? Kuweni wakweli msilete utumbo huku jamvini. Cuf hamna kitu A town.
 

Forum statistics

Threads 1,274,218
Members 490,631
Posts 30,505,044