Tunapoelekea katika mjadala wa rasimu ya katiba, kuna dalili za wazi kuwa Zanzibar itaibuka kidedea na kuwa kama Cape Verde, na hatimaye kupeperusha bendera yake UN! Tusubiri tuone, yetu macho!
Ndugu wapigania haki, leo jioni mbunge wa Mbulu mjini Mustapha Akonnay na mbunge wa Karatu Israel Natse walikuwa kata ya Dongobesh wilayani Mbulu kumnad mgombea udiwani wa chadema. Hakika kwa...
Ukisoma historia utaona vijana hawa mh zitto na mh kafulila kimsingi wanapenda kusimamia mambo bila kuwa na hofu wala woga bila kujali nini kitakachotekea either watu watafurahi au watachukia...
Wakuu, kwa hatua ya maafisa watendaji wa vijiji kwa kushirikiana na maafisa mifugo wamepania
kuifuta CCM Dodoma bila chama kujua kwa kuwatoza wananchi kodi iliyofutwa ya mifugo. Kwa mfano afisa...
.......na pia wamo "Watanganyika na Watanganzibar!.
Mimi shida yangu ni utitiri wa maraisi kwenye hii rasimu ya katiba!...Tunahitaji raisi wa shirikisho halafu hao wengine wawe mawaziri...
Mtakubaliana nami kuwa kumekuwa na tabia ya viongozi mbalimbali au wagombea mbalimbali wa CCM ambao hupenda kukimbilia CDM pindi uchaguzi ukifika mathalani pale wanapoenguliwa kwenye mchakato wa...
1.Muda wote ni kulalamika-kiongozi dhaifu hukaa kulalamika juu ya tatizo na kulalamika ni dalili za kushindwa.
2. Hana maamuzi,hutegemea wengi wanasema nini juu ya jambo fulani,hususani raia...
Miaka 50 inatosha kwa heri muungano kwa heri Zbz! Hata Putin kaachana na mkewe juzi seuze sie bwana! Tukutane EAC.. Baba wa taifa (off course Tanganyika), Mwalimu Nyerere aliyaona haya! Nasema...
Ninakushauri ufuatilie nyendo za maafisa wako na utabaini haya ninayoyasema. Huku mikoani vijana wako ni wataalam wa "kuvuta mshiko". Wanachofanya ni kutishia watumishi wala rshwa na wakati...
Tanzania ni mzee wa miaka 50 aliye m beba kijana wa miaka 18 na kawaacha watoto takriban 30 na wote ni wadogo na wanahitaji kubwebwa
Lakini kamshika mtoto mkubwa kwanini? Kuna nini?
at any...
Nimekaa kisha nikaona.mwisho wa siku hii katiba itawachanganya wengi. Awali tulikuwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano ambayo ilikiwa ni ya serikali mbili; Tanzania bara na Zanzibar. Katiba...
Chama cha mapinduzi CCM wamepoteza uelekeo na kubakia kumtafuta mchawi anayevujisha siri zao za ndani katika vikao vyao kila wanachozungumza wanakikuta mitandaoni, jana kwenye kikao chao...
Hakuna haja ya kujisumbua kipengele cha muungano kifutwe kwenye katiba tuwaache Wazanzibari waende zao tubaki na Tanganyika yetu. U-swahili na uyaheyahe wao unatuchelewesha maendeleo. Tuachane...
Ndugu wanajf,
kuna jambo linanitatiza na yeyote mwenye tafsiri nzuri ya hili asisite kunitafsiria
Kwenye rasimu ya katiba ya Mheshimiwa warioba kuhusu chaguzi ndogo majimboni,rasimu hii...
Serikali 3 ni kuvunja muungano. CUF waseme moja ama wavumilie mfumo uliopo wa muungano au watamke wazi kwamba muungano uvunjike. Zingine zote ni porojo na kuuma maneno! Wanafiki Wakubwa!
Hadzabe hunters near Yaeda Chini after they were evicted from the Ngorongoro conservation area. Photo/FILE
By ADAM IHUCHA
Posted Saturday, June 8 2013 at 09:53
IN SUMMARY
Article 45...
Kwangu mimi nafikiri kosa kubwa CCM walilofanya ni kuleta uhuru wa kupitiliza, sasa hivi kila takataka anafikiri ana haki ya kuongea na kusikilizwa, nashauri Serikali ifute huu Uhuru Mara moja na...
Huyu Bwana amekuwa mtu asiyeeleweka ni kama mtu aliyechanganyikiwa hana msimamo unaoeleweka. CCM walimtosa kwa aibu CDM wakampokea.lakin bado amekuwa mtu wa kujipendekeza CCM na kutoa kaul za...
CCM imeitisha Kikao cha Dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika mjini Dodoma. Lengo hasa la kikao hicho ni kuipitia na kuichambua Rasimu ya Katiba mpya iliyowasilishwa kwa watanzania na Tume ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kesho tarehe 9/6/2013 anatarajiwa kuunguruma jijini Mbeya.
Kiongozi huyo wa upinzani bungeni anatarajiwa kutumia nafasi hiyo kumnadi mgombea udiwani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.