Kapt John KOmba Usituharibie Nyasa yetu

chishango

chishango

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Messages
846
Likes
163
Points
60
chishango

chishango

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2009
846 163 60
Wadau
Kuna huyu mtu anaitwa John Komba mbunge wa Mbinga magharibi (Nyasa) huyu mtu napata wasiwasi na kiwango cha uelewa wake hivi majuzi tumepata wilaya mpya kawahadaa wanyasa wenzangu kuwa ni yeye aliyewezesha wakati sio kweli akakimbilia dar na kuandaa harambee ya kuchangia maendeleo ya wilaya mpya kituko kikubwa eti akamualika Lowassa kuwa mgeni rasmi wa shughuli ile yaani shughuli ya wanyasa mgeni rasmi mmasai sie wenye akili zetu tukajua ni minyukano ndani ya CCm uchaguzi wa 2015 kituko zaidi amechangisha hizo hela wakati hajui zitafanya kazi gani nijuavyo harambee hufanyika baada ya kufanya need assesment ndipo utajua unahitaji kiasi gani naumepungukiwa kiasi gani lakini Komba hakufanya hayo yote na kibaya zaidi fedha alizochangisha kaziweka kwenye akaunti yake nichukue fursa hii kumuambia kuwa aibe za mwishomwisho na asitegemee kupata ubunge 2015 tumeamka na tumejipanga kikamilifu kitendo cha kupigia debe rafiki yake aliyekuwa mkurugenzi wa Mbinga kwenda nyasa (mkurugenzi ni msimamizi wa uchaguzi) hakitamsaidia ajiandae kwenda kuimba kwaya maana ndiko aliko mahiri nawasilisha ....mtufikishie ujumbe kwake kuwa vijana wasomi wa nyasa wamejipanga kuwakomboa ndugu zao maskini
 
H

hans79

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2011
Messages
3,802
Likes
26
Points
145
H

hans79

JF-Expert Member
Joined May 4, 2011
3,802 26 145
Monile,wewe unachekesha sana juu ya john. Yeye yupo kwa ajili ya kujipendekeza tu kwa wakubwa zake lakini kijimbo hana faida zaidi ya kulala bungeni tu.
 
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Messages
13,479
Likes
4,085
Points
280
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2009
13,479 4,085 280
Humpty Dumpty sat on a fence
Humpty Dumpty had a great fall
All of Kings Men and Horses
couldnt put Humpty together again.
 
Adrian Stepp

Adrian Stepp

Verified Member
Joined
Jul 1, 2011
Messages
2,381
Likes
864
Points
280
Age
28
Adrian Stepp

Adrian Stepp

Verified Member
Joined Jul 1, 2011
2,381 864 280
Wadau
Kuna huyu mtu anaitwa John Komba mbunge wa Mbinga magharibi (Nyasa) huyu mtu napata wasiwasi na kiwango cha uelewa wake hivi majuzi tumepata wilaya mpya kawahadaa wanyasa wenzangu kuwa ni yeye aliyewezesha wakati sio kweli akakimbilia dar na kuandaa harambee ya kuchangia maendeleo ya wilaya mpya kituko kikubwa eti akamualika Lowassa kuwa mgeni rasmi wa shughuli ile yaani shughuli ya wanyasa mgeni rasmi mmasai sie wenye akili zetu tukajua ni minyukano ndani ya CCm uchaguzi wa 2015 kituko zaidi amechangisha hizo hela wakati hajui zitafanya kazi gani nijuavyo harambee hufanyika baada ya kufanya need assesment ndipo utajua unahitaji kiasi gani naumepungukiwa kiasi gani lakini Komba hakufanya hayo yote na kibaya zaidi fedha alizochangisha kaziweka kwenye akaunti yake nichukue fursa hii kumuambia kuwa aibe za mwishomwisho na asitegemee kupata ubunge 2015 tumeamka na tumejipanga kikamilifu kitendo cha kupigia debe rafiki yake aliyekuwa mkurugenzi wa Mbinga kwenda nyasa (mkurugenzi ni msimamizi wa uchaguzi) hakitamsaidia ajiandae kwenda kuimba kwaya maana ndiko aliko mahiri nawasilisha ....mtufikishie ujumbe kwake kuwa vijana wasomi wa nyasa wamejipanga kuwakomboa ndugu zao maskini
Nitondili..!
 
chishango

chishango

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Messages
846
Likes
163
Points
60
chishango

chishango

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2009
846 163 60
Jamaa uwezo wake wa kupambanua mambo ni mdogo sana mfano anadai kabla ya yeye kuwa mbunge watu wa kule walikuwa hawajui magari......thtc why watu wa kijijini kwake walichoma moto nyumba yake pale Likuhi
 
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
2,476
Likes
472
Points
180
Age
29
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
2,476 472 180
Ndo hivo tena, keshakuharibieni Mbinga na Nyasa yenu huyo. Harambee na pesa kapeleka pwani. Akirejea mjengoni kiti kinamzungusha na kumbembeleza hadi anapiga mbavu. Kazi pevu mnayo Wanyasa. Salimia wadau wote wa Mbamba Bay.
 
Forum statistics

Threads 1,275,055
Members 490,894
Posts 30,531,653