Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjadala wa katiba mpya una mambo mengi yenye kufikirisha. Muundo wa serikali tatu nao uangaliwe vizuri isije siku moja watu wakajuta! Zanzibar wanapodai uwiano wa 50/50 kwenye madaraka na vyeo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
• Makundi ya urais yachochea maandamano kupinga serikali tatu na Mwandishi wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweka mkakati wa kuipinga rasimu ya Katiba mpya, hususan pendekezo la muundo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Rasimu ya katiba mpya inaonekana kuitesa sana Ccm kwa kuhofia ndo mwiba kwao,wameahidi kutoipitisha kwa 100%.nadhan kwa katiba hi endapo vurugu itatokea basi ni ccm watakuwa ndo waanzilishi...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Licha Ya Wachache,Kuna Muhamko Mdogo Kwa Wanawake Kote Nchini Kujihusisha Na Siasa Za Mageuzi (mabadiliko) Ukiwaambia Utasikia Hayanihusu. Je Hii Inatokana Na Nini? Ulimbukeni? Au Uelewa Finyu Wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
“Nchi ina mzigo wa madeni” Dodoma. Zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya Bajeti Kuu ya Serikali kusomwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Nembo ya Tanzania Nembo ya Tanzania ni ngao ya askari inayoshikwa na watu wawili. Ngao ina sehemu nne: juu sehemu ya dhahabu, chini yake bendera ya taifa, halafu sehemu nyekundu na chini...
3 Reactions
73 Replies
15K Views
Ngugu wanajamvi, poleni na kazi zenu za uchambuzi. Jana kama mlivyofahamishwa ni kwamba mbunge wa Mtwara Mjini ndugu mMurji kakamatwa kuhusiana na siasa za mtwara na mambo ya gesi. Sababu hasa ya...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema chama chake kinaunga mkono rasimu ya Katiba mpya iliyotolewa na Jaji Joseph Warioba. Mwenyekiti huyo alikuwa akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi...
5 Reactions
85 Replies
8K Views
  • Closed
Hatma ya Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA Wilfred LWAKATARE kupatiwa dhamana itajulikana leo wakati Hakimu atakapotoa uamuzi juu ya maombi yakupatiwa dhamana leo.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi leo nimeona niseme tu kuwa kwa jinsi siasa zza nchi hii zinzvyo kwenda ni MUNGU peke yake anae weza kutunusuru na janga hili lililo mbele ya WATANZANI. Leo nilikuwa nafuatilia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baraza la wanawake chadema(bawacha) limewataka watanzania kukataa serikali tatu kwani ni gharama kubwa kuiendesha, wakikaliliwa mbunge mariam msabaha na mbunge wa morogoro viti maalum wametaka...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mzee Warioba, Nakuangalia mzee wangu ITV... Mmmmmhhhhhh..........kaaaaaazi kweli kweli......itikadi ya vyama iendane na dira ya nchi......how do the Katiba enforce this? Freeman, Kinana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
He is old and has nothing to lose. We should have put a hungry youth man with all to live for.Katiba rasimu ingekuwa fresh. Jadili
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Watanzania tumelalamika sana kuhusu madaraka makubwa ya raisi, tukaingia katika mchakato wa katiba mpya ambao tulitegemea madaraka ya raisi yatapunguzwa kwa kiasi kikubwa ili kuleta ustawi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni wakati wa CCM to provide leadership. Lazima mfumo wa sasa ubaki ili kuunusuru muungano. Mengine ni ukorofi tu! Dola inaweza kuwadhibiti wahuni wanaotaka kuvunja nchi. Ni kosa la uhaini...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Leo jioni wakati bunge limekaa kama kamati kujadili hoja ya mabadiliko ya sheria 2013, Waheshimiwa wabunge Tundu Lisu na Mkosamali walijaribu sana kuweka sawa mambo mbalimbali ya kisheria kwa...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Ukiangalia tulikotoka, garama za kuendesha ikulu, wizara 15, jeshi la wananchi, jeshi la polisi, idara ya usalama wa taifa, mahakama, bunge, ofisi ya mwanasheria mkuu, ofisi ya mkaguzi mkuu wa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaza wale makamanda wetu maarufu kwa kuleta liveupdates za mikutano ya Chama kilichowahi kupendwa na wakazi wa Arusha, wameshindwa kutoa taarifa za kutia moyo juu ya mwenendo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
TAHARIRI ya gazeti hili ya tarehe 22 Februari si ya kupuuza. Suala ililolenga na kuliongelea ni muhimu sana kwa mustakabali wa uchumi wa Tanzania na watu wake. Kwa ufupi ni kwamba tahariri tajwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom