Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
CCM nawauliza, wapinzani wenu ni CHADEMA tu hapa Tanzania? Bungeni CHADEMA,kwenye kampeni CHADEMA,mitandaoni CHADEMA na kila mahali CHADEMA. Tangu wajiunge rasmi na CCM Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wamekuwa wakiizungumzia vibaya CHADEMA tu na viongozi wake. Akisema Prof.Lipumba wa CUF au Mrema wa TLP au Mbatia wa NCCR-Mageuzi au Cheyo wa UDP,CCM haijitokezi kupinga. Akisema wa CHADEMA nongwa. Kuifuatafuata na kuiongeleaongelea CHADEMA ni kuiimarisha zaidi. Siasa mfu husababisha upinzani hai...