LIVE: Kutoka kata ya kaloleni,Mwigulu Nchemba awasihi watu kupiga kura,aahidiwa ushindi wa kishindo


J

Juliana Shonza

Verified Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
2,007
Likes
536
Points
280
Age
32
J

Juliana Shonza

Verified Member
Joined Dec 19, 2012
2,007 536 280

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu mkuu akijadiliana jambo na mmoja wa wazee wa CCM kata ya kaloleni jioni hii kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi wa udiwani Jijini Arusha
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kada wa chama cha mapinduzi(CCM) mtela mwampamba akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wa kata ya kaloleni jijini Arusha.Katika moja ya sentensi zake Mtela Mwampamba amewaomba wana kaloleni kumchagua mgombea wa CCM siku ya jumapili.Pia amesisitiza vijana kuachana na siasa za kutumika,siasa za kupoteza muda,Siasa za maandamano.Amehoji ni kwanini mikutano ya CHADEMA lazima mtu afe au vurugu zitokee?hivyo dawa moja ya kuachana na siasa za vurugu ni kuichagua CCM.
[/TD]
[TD="class: tr-caption, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Wanakaloleni muulizeni Mbunge wa Arusha,Lema kama anajua maana ya maendeleo yaliyopo na serikali ya CCM.Muulizeni Lema tokaanze kazi ya ubunge amewaletea maendeleo gani hapa Arusha,anapoteza muda na rasilimali kupambana na Meya wa halmashauri.Huo ni upuuzi.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mamia ya wananchi wa Kaloleni wakisikiliza sera za CCM muda huu viwanja vya kaloleni
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]CCM HOYEEEEEE
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Aliyekuwa mmoja wa wanachama wa CHADEMA waliomsaidia Lema kupata Ubunge Ndugu Mboya akimnadi mgombea wa CCM Ndugu Emmmanuel Thobias
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Wanachi wamejitokeza kwa wingi sana kwenye hii kata ya kaloleni kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi wa udiwani..
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]"Tutashindaaaa,Mchagueni diwani wa CCM kwa maendeleo ya kaloleni"
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kushoto ni mgombea wa Udiwani kata ya kaloleni akiwa na Aliyekuwa diwani wa CHADEMA Bi.Rehema Mohamed ambaye sasa ni kada wa chama cha mapinduzi
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania Bara,Mh:mwigulu Nchemba akihutubia mamia ya wanachama wa CCM na W ananchi wa kata ya kaloleni.Naibu katibu mkuu amewaomba wana kaloleni kuachana kabisa na kufikiria kuhusu mgombea wa Upinzani kuwaletea maendeleo,kwa sababu mgombea yeyote wa upinzani hana ilani wala sera ya kuleta maendeleo.Ni mgombea pekee wa CCM ndiye ilani yake na sera zake zinafanyiwa kazi na serikali.Hivyo naomba mchague
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mkutano unaendelea na Naibu Katibu mkuu wa CCM akihutubia mamia ya wananchi wa kata ya kaloleni jioni hii tar.14/06/2013
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu mkuu Mh:Mwigulu Nchemba"CCM ni moja,Sisi ni wamoja na hatutenganishwi na mtu.naomba mjitokeze kupiga kura siku ya jumapili.CCM tunaamini katika amani na utulivu tena demokrasia ndio msingi wetu.Hivyo lazima tujitokeze kupiga kura na tumpe ushindi mgombea wa CCM kuhakikisha maendeleo yanafika hapa kaloleni
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]"Hao wapinzani wamewafanyia nini?Wanatumia zaidi ya milioni 200 kuzindua kampeni kwa helkopta,mwisho wa mikutano yao wanakinga bakuri kuomba miamia zenu"
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Viva CCM Viva .hapa wananchi wakimshangilia Naibu katibu Mkuu Mh:Mwigulu Nchemba kwa hotuba yake nzuri na yenye kuleta mwamko wa maendeleo kwa wananchi wa kata ya kaloleni
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mchagueni Emmanuel Thobias kwa maendeleo ya kata ya kaloleni.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Nasisitiza,hakuna mtu wa kuwatishia kwenda kupiga kura,Nendeni kwenye vituo vya kupigia kura mkiwa na shada za kupigia kura,naomba bendera na mavazi ya kichama muachane nayo siku ya uchaguzi.Vurugu hazitakuwepo,ulinzi umeimalishwa".
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]"Njia pekee ya kuwashinda kwa kishindano hawa wapinzani ni sanduku la kura,hakikisha unapiga kura na unakuwa balozi wa kuwahimiza watu wengine wakapige kura"Mh:Mwigulu Nchemba
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu mkuu akiwasikiliza wananchi wa kata ya kaloleni waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi wa udiwani.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,865
Likes
15,392
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,865 15,392 280
Ndoto hzo za halinacha
 
Albedo

Albedo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Messages
5,562
Likes
30
Points
135
Albedo

Albedo

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2008
5,562 30 135
Live saa Moja? Ina maana Mikutano ya CCM haina Muda
 
Alfred Daud Pigangoma

Alfred Daud Pigangoma

Verified Member
Joined
Mar 30, 2009
Messages
1,792
Likes
166
Points
160
Alfred Daud Pigangoma

Alfred Daud Pigangoma

Verified Member
Joined Mar 30, 2009
1,792 166 160
Mungu mkubwa maombi ya Juliana Shoza kuhusu kazi ya u-PS na DH (Deviate House) kwa Mwigulu Nchemba yamepokewa na kukubalika. Kazi kwako dada jimwageee!!
 
L

lerai

Member
Joined
Oct 6, 2012
Messages
63
Likes
0
Points
13
Age
25
L

lerai

Member
Joined Oct 6, 2012
63 0 13
Kaloleni mna niangusha mwanenu uku najua nyie ni makamanda wa kweli leo mna kua na hao mashushushu wa chama cha magamba
 
paul nsangu

paul nsangu

Senior Member
Joined
Nov 23, 2012
Messages
178
Likes
0
Points
0
Age
43
paul nsangu

paul nsangu

Senior Member
Joined Nov 23, 2012
178 0 0
savimbiiii............
 
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Messages
8,346
Likes
60
Points
0
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2010
8,346 60 0
Mnatujazia server tu hapa.
 
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
2,524
Likes
6
Points
135
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
2,524 6 135
Hatutaki majungu kabisaa.
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Je leo kampeleka wapi kijana wake wa Igunga? huyo ajiandae tu kwenda The Hague kutokana na siasa zake za maji taka.
 
segwanga

segwanga

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
2,789
Likes
38
Points
145
Age
42
segwanga

segwanga

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
2,789 38 145
Umnyoage na ndevu basi mumeo savimbi maana umemlewesha mahaba motomoto hata hayoi ndevu. Duh we mkareee!
 
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Messages
8,416
Likes
3,937
Points
280
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2010
8,416 3,937 280
Yaani Shonza wewe unafuatana na Mwigulu Nchemba tu. Mbona anakoenda Nape, au Jangili Alhaj Kinana wewe huendi, au ndio KIMFAACHO MTU CHAKE...

Halafu kwa jinsi ulivyokoleza picha hapo sidhani kama Mrs Mwigulu Nchemba atapenda, maana ingawa jamaa ana midevu kama Osama lakini ume_CROP hadi anaonekana Handsome :A S-heart-2::A S-heart-2:
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
[FONT=comic sans
ms]Je leo kampeleka wapi kijana wake wa
Igunga? huyo ajiandae tu kwenda The Hague kutokana na siasa zake za
maji taka.
[/FONT]
mkuu wa kwenda the hague lema.
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
Viva mwigulu, viva ccm, wataz wana imani nanyi
 
LESIRIAMU

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
4,642
Likes
3,226
Points
280
LESIRIAMU

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
4,642 3,226 280
Huu uongo upeleke Lumumba,
mimi niluwa kwenye huo mkutano na sio wa ccm, huo umati unaozungumzia ni upi? naona yamewafika shingoni mnajaribu kudanganya sasa hapa jf. Kama mmepata watu mbona Mwiguly anaomba watu wa A town wapunguze hasira? kama mmnajua watu wana hasira ndio mna kura hapo? Ati anajisifu diwani wa Ccm akichaguliwa ataweza kumpigia simu Jk wa chadema hataweza. Kwani tunamtuma diwani ili aka chat na rais au akafanye kazi? Ati hata jioni rais atanipigia kuulizia kuhusu kampeni, eboooo hapa ni mahali pengine siasa zenu za kupuuzi kafanyie jimboni kwako
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
Chama cha watu kwa ajili ya watu,ushindi ni mhimu
 
ugolo wa bibi

ugolo wa bibi

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2012
Messages
1,307
Likes
126
Points
160
ugolo wa bibi

ugolo wa bibi

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2012
1,307 126 160
mandevu ya mwigulu kama mfuasi wa alqaeda.....
 
monongo

monongo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Messages
381
Likes
33
Points
45
monongo

monongo

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2011
381 33 45
Dawa ya magamba ni kwenye sanduku tu.wana kaloleni wapigeni hao siku ya jumapili kama tulivyopiga hapa shinyanga mjini,tuliwasikiliza vizuri ila majibu yakawa mengine sandukuni.
 
Likwanda

Likwanda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Messages
3,890
Likes
97
Points
145
Likwanda

Likwanda

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2011
3,890 97 145
Majibu yapo ktk Masanduku ya Kura.
 

Forum statistics

Threads 1,274,530
Members 490,721
Posts 30,515,416