Kesho:chadema vs ccm, Taifa Stars vs Ivory Cost..


Status
Not open for further replies.
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
911
Likes
13
Points
0
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
911 13 0
Kesho kutakuwa na matukio mawili mhimu katika taifa letu. Kwa upande wa chaguzi ndogo tayari tumeshaanza kusikia matukio mabaya ya viongozi wakubwa wa ccm wakikamatwa na chadema wakiwa wanagawa rushwa kwa wapiga kura huko manyara,kilosa,Arusha na Sengerema. Je, hii inaashiria nini wakati huo huo Shonza ametoa taarifa hapa jamvini za ushindi wa ccm kata zote za Arusha? Tukio lingine ni meshi ya kimataifa kati ya Taifa stars na Ivory cost uwanja wa taifa kuwania kufuzu kombe la dunia huko Brazil. Matukio haya yote ni mhim...je nani kati ya matukio haya ataibuka kidedea?....
 
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
1,809
Likes
4
Points
0
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2011
1,809 4 0
Hii ni picha nzuri jinsi CCM itakavyo kuwa hikimalizika 2015. Kama Rushwa ikishindwa kufanya kasi unadhani kuna chama hapo. Nakumbuka Kikwete alikuwa akipiga vita rushwa...Sasa kama CCM ni vidume kweli wajaribu kutotumia rushwa katika mikutano, chaguzi na mambo mengine ili kupima kukubalika kwao kwa jamii
 
B

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
220
Likes
0
Points
0
B

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
220 0 0
Wewe unafanisha Simba(ccm) na panya(cdm) kwamba nani mwenyembio? CCM hata dunia wanaifaham
 
Sabayi

Sabayi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Messages
2,321
Likes
83
Points
145
Sabayi

Sabayi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2010
2,321 83 145
Chadema na Taifa stars ndo watashinda kesho
 
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
911
Likes
13
Points
0
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
911 13 0
Kweli kabisa, CCM inafahamika dunia nzima!!

kisha kazi, kama ccm inafaham kwamba ina nguvu na inapendwa hakuna haja ya Nagu kujihusisha na rushwa...nchi imeharibiwa kabisa..
 
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
911
Likes
13
Points
0
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
911 13 0
Wewe unafanisha Simba(ccm) na panya(cdm) kwamba nani mwenyembio? CCM hata dunia wanaifaham
Umatumia akili kidogo sana kuchangia hoja, au huwa unaokota makopo?..
 
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
3,916
Likes
2,947
Points
280
Age
32
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
3,916 2,947 280
Chadema na Taifa stars ndo watashinda kesho
Kwa CDM naweza kuunga Mkono lakini kwa Taifa Star Mmm!!!!! naogopa kuwa Shekh yahya.
 
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
911
Likes
13
Points
0
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
911 13 0
Wewe unafanisha Simba(ccm) na panya(cdm) kwamba nani mwenyembio? CCM hata dunia wanaifaham
Wewe uko kwenye kibarua, ni sawa tu mfanya biashara ya bangi...mawazo ya kijuha haya,kama ccm ingekuwa simba msingejihusisha na rushwa,hujui hata unachotetea, ujinga tu unaoandika hapa na dunia yote inasoma ujinga wako
 
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
911
Likes
13
Points
0
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
911 13 0
Kwa CDM naweza kuunga Mkono lakini kwa Taifa Star Mmm!!!!! naogopa kuwa Shekh yahya.
ni kweli, hata mimi hapo sisemi jambo ila kwa uchaguzi, labda rushwa iwashinde wananchi...
 
B

Breki sina

Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
96
Likes
0
Points
0
B

Breki sina

Member
Joined Jun 3, 2013
96 0 0
Prince Tumbo nimeipenda hiyo ya ccm vs cdm,na ivorycoast vs Taifa star,inanikumbusha Arumeru wakati siku hiyo kulikuwa na England durby na Tanzania siku hiyohiyo uchaguzi hatimaye Nasari akampiga chini SIOI mkwe wa jamaa nadhani hata keshi itakuwa hivyo asante na Bravo Cdm.
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,274,859
Members 490,833
Posts 30,526,117