Dr.kitima aiponda serikali kuhusu bajeti 2013/2014


B

Breki sina

Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
96
Likes
0
Points
0
B

Breki sina

Member
Joined Jun 3, 2013
96 0 0
Makamu mwenyekiti wa chuo kikuu cha sauti Dr Kitima,yupo Star tv kwenye kipindi cha tuzungumze asubuhi, ameiponda bajeti ya serikali kuu kuwa ni tegemezi kutoka kwa wahisani,anasema huwezi kutatua matatizo ya afya,elimu,na maji wakati hatukusanyi kodi ya kutosha,na pia anawatuhumu baadhi ya viongozi wa serikali kufanya biashara zisizo halali.
 
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
3,469
Likes
1,728
Points
280
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
3,469 1,728 280
Bajeti hii ni wehu pekee ama wanaokula kwa Un-official pay slips ndio watakaoishangilia.
 
P

Prince Hope

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Messages
2,162
Likes
60
Points
145
P

Prince Hope

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2012
2,162 60 145
sijui akiwa dar, Yahaya atakuwa akimpa shavu! Kwani ni mkweli daima!
 
DR. MWAKABANJE

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Messages
1,958
Likes
2,880
Points
280
DR. MWAKABANJE

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2012
1,958 2,880 280
Ni makamu mkuu wa chuo na siyo makamu mwenyekiti wa chuo, sahihisha tafadhali!
 
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Messages
1,272
Likes
1
Points
0
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2009
1,272 1 0
Hivi kwa nini kila anaye ingia CCM huishia kuwa janga kwa taifa? Kama Waziri wa Fedha na u-Dr wake wote, budget yake imegeuka mwiba kwa waTanganyika, CCM kuna ugonjwa gani?
 
B

Brahnman

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
1,716
Likes
853
Points
280
Age
37
B

Brahnman

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
1,716 853 280
Kitima ninachomkubali si mnafiki anasema yaliyo kweli daima,utawasikia Polisi atuletee ushaidi.......na wakati wao wenyewe wanajua kabisa kuna viongoz wanafanya biashara. Mungu aendelee kukulinda Dr.Kitima,viongozi wengi wa dini ni wanafiki na walamba miguu ya wanasiasa na watawala lakini si wewe Dr.
 
B

Brahnman

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
1,716
Likes
853
Points
280
Age
37
B

Brahnman

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
1,716 853 280
Hivi kwa nini kila anaye ingia CCM huishia kuwa janga kwa taifa? Kama Waziri wa Fedha na u-Dr wake wote, budget yake imegeuka mwiba kwa waTanganyika, CCM kuna ugonjwa gani?
Tatizo ni mfumo wa CCM umejengwa ktk sera za kumuibia,kumnyonya na kumkandamiza mwananchi,hata wewe ukiingia huko leo utakuwa hivyo hivyo tu kama kina Mgimwa,hukumbuk hata Muhongo alipokuwa anaingia ahadi zake tele tele,lakin leo anawaita wananchi kuwa ni vyura tu!
 
B

Breki sina

Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
96
Likes
0
Points
0
B

Breki sina

Member
Joined Jun 3, 2013
96 0 0
Hivi kwa nini kila anaye ingia CCM huishia kuwa janga kwa taifa? Kama Waziri wa Fedha na u-Dr wake wote, budget yake imegeuka mwiba kwa waTanganyika, CCM kuna ugonjwa gani?
ndugu yangu Selungo tatizop la ccm sio la mtu mmoja mmoja hapana ni mfumo mzima ndio mbovu,wakati Rais Obama akiwa Ghana wakati fulani aliwambia Waafrika kupitia Ghana ni bora kutengeneza mifumo imara na sio watu imara nadhani ni busara tulione hili ccm are tired.
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,839
Likes
13,933
Points
280
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,839 13,933 280
ndugu yangu Selungo
tatizop la ccm sio la mtu mmoja mmoja hapana ni mfumo mzima ndio
mbovu,wakati Rais Obama akiwa Ghana wakati fulani aliwambia Waafrika
kupitia Ghana ni bora kutengeneza mifumo imara na sio watu imara nadhani
ni busara tulione hili ccm are tired.
mtaota sana ndoto za ali nacha. hayo mnayoyataka hayatafanikiwa. watanzania ndo huamua mustakabali wa nchi hii na si obama wala kitima
 
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Messages
1,272
Likes
1
Points
0
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2009
1,272 1 0
Tatizo ni mfumo wa CCM umejengwa ktk sera za kumuibia,kumnyonya na kumkandamiza mwananchi,hata wewe ukiingia huko leo utakuwa hivyo hivyo tu kama kina Mgimwa,hukumbuk hata Muhongo alipokuwa anaingia ahadi zake tele tele,lakin leo anawaita wananchi kuwa ni vyura tu!
Kiongozi!

Kama mfumo ndio uko hivyo, waTanganyika tupo kwenye Jehanamu ya duniani. Hadi 2015 ifike tutakuwa tumesha unguzwa vya kutosha.

Maana kama waziri msomi wa kiasi hiki anaweza kusifia budget ambayo hata kabla hajaimaliza kuisoma, unaona jinsi inavyo mnyonga mTanganyika.

Lakini kwa ushabiki wa Kichama wa Wabunge wa CCM wanaipikia makofi kana kwamba neema imeshushwa Tanganyika.

Anyway, kwa vile budget hiyo imewaongezea zaidi maeneo ya kutumbua, ndio maana hawawajali waTanganyika.
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,839
Likes
13,933
Points
280
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,839 13,933 280
Makamu mwenyekiti wa
chuo kikuu cha sauti Dr Kitima,yupo Star tv kwenye kipindi cha
tuzungumze asubuhi, ameiponda bajeti ya serikali kuu kuwa ni tegemezi
kutoka kwa wahisani,anasema huwezi kutatua matatizo ya afya,elimu,na
maji wakati hatukusanyi kodi ya kutosha,na pia anawatuhumu baadhi ya
viongozi wa serikali kufanya biashara zisizo halali.
toka lini makamu mkuu wa chuo cha kikatoliki akaisemea mazuri serikali ya ccm. kitima anatumika kama condom
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,839
Likes
13,933
Points
280
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,839 13,933 280
Kitima ninachomkubali si
mnafiki anasema yaliyo kweli daima,utawasikia Polisi atuletee
ushaidi.......na wakati wao wenyewe wanajua kabisa kuna viongoz
wanafanya biashara. Mungu aendelee kukulinda Dr.Kitima,viongozi wengi wa
dini ni wanafiki na walamba miguu ya wanasiasa na watawala lakini si
wewe Dr.
kitima ni mnafiki na fedhuli mkubwa. yeye kazi yake ni kuangalia mabaya tu ya ccm bila ya kuyasemea yale mazuri. chadema wamemteka sana. anapita mule mule alimopita mbowe juzi. usomi wake na taaluma yake ameiweka pembeni na sasa amebaki ushabiki wa kisiasa tu.
 
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Messages
1,272
Likes
1
Points
0
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2009
1,272 1 0
mtaota sana ndoto za ali nacha. hayo mnayoyataka hayatafanikiwa. watanzania ndo huamua mustakabali wa nchi hii na si obama wala kitima
Kwa maana kwamba neema tunayo itaka Tanganyika ni ndoto za ali nacha. Kwa hiyo waTanganyika ndio wameamua mustakabali wa kuteseka katika nchi yao!!???

Duh! Ukisha BINAFSISHA AKILI tatizo lake ndio hili.
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,839
Likes
13,933
Points
280
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,839 13,933 280
Kiongozi!

Kama mfumo ndio uko hivyo, waTanganyika tupo kwenye Jehanamu ya duniani.
Hadi 2015 ifike tutakuwa tumesha unguzwa vya kutosha.

Maana kama waziri msomi wa kiasi hiki anaweza kusifia budget ambayo hata
kabla hajaimaliza kuisoma, unaona jinsi inavyo mnyonga mTanganyika.

Lakini kwa ushabiki wa Kichama wa Wabunge wa CCM wanaipikia makofi kana
kwamba neema imeshushwa Tanganyika.

Anyway, kwa vile budget hiyo imewaongezea zaidi maeneo ya kutumbua, ndio
maana hawawajali waTanganyika.
bajeti hii ni nzuri sana na imekuwa mwiba kwa machadema ndo maana mnaweweseka
 
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Messages
1,272
Likes
1
Points
0
S

Selungo

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2009
1,272 1 0
kitima ni mnafiki na fedhuli mkubwa. yeye kazi yake ni kuangalia mabaya tu ya ccm bila ya kuyasemea yale mazuri. chadema wamemteka sana. anapita mule mule alimopita mbowe juzi. usomi wake na taaluma yake ameiweka pembeni na sasa amebaki ushabiki wa kisiasa tu.
Kiongozi!

Mbona POVU kiasi hicho? Kwani ukweli huoni? Au ndio hizo buku 7 za Lumumba, eti?
 
Mwanaukweli

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Messages
4,566
Likes
458
Points
180
Mwanaukweli

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined May 18, 2007
4,566 458 180
Mleta mada hajafafanua jinsi Kitima alivyoiponda Bajeti.

Nilidhani wachangiaji wa kwanza wangeanza kuulizia ameongea nini na kuendelea na mjadala. Badala yake tayari wameanza mjadala.

Ni nini alichoongea Kitima ambacho ni sawa? Ni nini alichoongea Kitima si sawa kadiri ya maoni yenu?
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,839
Likes
13,933
Points
280
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,839 13,933 280
Kwa maana kwamba neema
tunayo itaka Tanganyika ni ndoto za ali nacha. Kwa hiyo waTanganyika
ndio wameamua mustakabali wa kuteseka katika nchi yao!!???

Duh! Ukisha BINAFSISHA AKILI tatizo lake ndio hili.
mkuu, kwanza uelewe kuwa kwa sasa hatuna nchi inaitwa tanganyika. hiyo inaonyesha ni kwa kiwango gani umemezeshwa tu maneno. pole sana
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,839
Likes
13,933
Points
280
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,839 13,933 280
Kiongozi!

Mbona POVU kiasi hicho? Kwani ukweli huoni? Au ndio hizo buku 7 za Lumumba, eti?
hakuna ukweli wowote unaweza kutoka kwa kinywa cha mnafiki kama kitima.
 

Forum statistics

Threads 1,274,218
Members 490,631
Posts 30,505,044