Ccm kushinda kwa kishindo kata zote nne arusha

Juliana Shonza

Verified Member
Dec 19, 2012
2,009
2,000
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa kwamba safari hii wapinzani watavuna mabua na kuambulia aibu.
Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo ni
uwongo
uchochezi
maandamano
Huku wakitumia gharama kubwa katika kampeni zao ambazo wanatumia helicopter hali inayopelekea kuteketeza zaidi ya million 200 halafu kwenye mikutano yao wanachangisha miamia za wananchi wanaowaita masikini.
Huko ni kukosa dira na kutoelewa dhana ya utawala bora kwani kama wangekuwa wanaelewa dhana ya utawala bora mamillion hayo wanayoyatumia kwenye helicopter wangeyaelekeza kusaidia vikundi vya vijana mbalimbali kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri.
Vijana wameshtuka kuwa walikuwa wanatumiwa mfano ukiwa ni mr Mboya na Niko ambao walikuwa wapambe damu wa Lemaaa na vijana wengine wengi ambao wameahidi kuipa ushindi ccm ,tena ushindi wa kishindo.
Vurugu mnazoifanyia ccm barabarani na kwenye mikutano yao ,pamoja na uzushi mnaoueneza kwenye mitandao ya kijamii havitoweza kuwasaidia kuepuka adhabu mtakayopewa na wananchi wa Arusha kwakuwafukuza wawakilishi wao halmashauri na kusababisha kuweka likizo ya maendeleo ya kata zao nne .
Niitakie CCM ushindi wa kishindo maeneo yote ya nchi yanayotarajia kufanya uchaguzi kesho.
CCM kushinda kwa kishindo kesho.
Viva CCM.
 
SISAMBWE

Member
Apr 20, 2013
42
0

CCM ikishinda kwa kishindo huo ndio ushindani wenyewe, ila usisahau CCM ILI TUMIA HELIKOPTA TATU KWENYE UCHAGUZI MKUU 2010. Kuhusu kuelekeza kwa vikundi vya vijana hela wanazo tumia CDM kwenye kampeni CCM ingeonyesha mfano imefa hivyo lini katika miaka 52? au kupeleka hela USWISS ndio vikundi vya vijana? acha proaganda za kitoto.
 
MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,261
0
A rolling stone gathers no morse!
naona una-tease akili ya watu kabla ya kwenda kwenye break-fast. Wee ni mdogowangu....nakushauri ondoka leo jioni. Don wait 2see your blood last drop! Achana na kina nape na Mwigulu wao wana meno .wewe huna mdogowangu. A.town Ni 'vichaa', wakiamua wameamua. CCM will leave you naked.
 
WABHEJASANA

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,225
1,195
Mwenye machohaambiwi tazama nchi,kata,kijiji,ama kitongoji hakiongozwi kwa vurugu hata kidogo,Shonza uko sawa watavuna Vurugu zao.
 
dmayola

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
560
195
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa kwamba safari hii wapinzani watavuna mabua na kuambulia aibu.Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo niuwongouchochezimaandamanoHuku wakitumia gharama kubwa katika kampeni zao ambazo wanatumia helicopter hali inayopelekea kuteketeza zaidi ya million 200 halafu kwenye mikutano yao wanachangisha miamia za wananchi wanaowaita masikini.Huko ni kukosa dira na kutoelewa dhana ya utawala bora kwani kama wangekuwa wanaelewa dhana ya utawala bora mamillion hayo wanayoyatumia kwenye helicopter wangeyaelekeza kusaidia vikundi vya vijana mbalimbali kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri.Vijana wameshtuka kuwa walikuwa wanatumiwa mfano ukiwa ni mr Mboya na Niko ambao walikuwa wapambe damu wa Lemaaa na vijana wengine wengi ambao wameahidi kuipa ushindi ccm ,tena ushindi wa kishindo.Vurugu mnazoifanyia ccm barabarani na kwenye mikutano yao ,pamoja na uzushi mnaoueneza kwenye mitandao ya kijamii havitoweza kuwasaidia kuepuka adhabu mtakayopewa na wananchi wa Arusha kwakuwafukuza wawakilishi wao halmashauri na kusababisha kuweka likizo ya maendeleo ya kata zao nne .Niitakie CCM ushindi wa kishindo maeneo yote ya nchi yanayotarajia kufanya uchaguzi kesho.CCM kushinda kwa kishindo kesho.Viva CCM.
Hapa bibie naona umeamua kuanua mtandio na kupiga vigelegele msibani. Hata kinana alitamka maneno kama haya 2010 kwenye uchaguzi wa urais matokeo yake mkaibuka na Ushindi wa kuiba kura. Mkasingizia vijana wa IT hawana uwezo wa kutoa takwimu kamili za ushindi wa baba Riz one mkaweke matokeo kapuni mpaka leo. Katiba mpya 2015 mtakiona cha mtemakuni. Miaka yote mnashinda ushindi wa Rose Mhando "Niiiiiibebe, niibebe, bibebe" 2015 habebwi mtu. Juhudi zako ndio zitakupatia ushindi bibie. Vipi mmeshamaliza kampeni na shost wako Mwiguli?
 
Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,699
1,225
SIMPLY HUWEZI TUKIMIA CHOPA KUFIKIA AU KUFIKISHA UJUMBE KWA WANANCHI ULIOKUWA UNAWAONGOZA. Hawezekani chama kilichokuwa kinaongoza hizo kata ndio hicho hicho kinatumia helcopter. Ungeniambia TLP, CUF, CCM wametumia chopa kwenye hizo kati kidogo lakini kwa mbali sana ningeona matiki....

Tanzania tuna matatizo tukubali, tuache kulea upuuzi.
 
Sengeon

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
529
0
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa kwamba safari hii wapinzani watavuna mabua na kuambulia aibu.
Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo ni
uwongo
uchochezi
maandamano
Huku wakitumia gharama kubwa katika kampeni zao ambazo wanatumia helicopter hali inayopelekea kuteketeza zaidi ya million 200 halafu kwenye mikutano yao wanachangisha miamia za wananchi wanaowaita masikini.
Huko ni kukosa dira na kutoelewa dhana ya utawala bora kwani kama wangekuwa wanaelewa dhana ya utawala bora mamillion hayo wanayoyatumia kwenye helicopter wangeyaelekeza kusaidia vikundi vya vijana mbalimbali kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri.
Vijana wameshtuka kuwa walikuwa wanatumiwa mfano ukiwa ni mr Mboya na Niko ambao walikuwa wapambe damu wa Lemaaa na vijana wengine wengi ambao wameahidi kuipa ushindi ccm ,tena ushindi wa kishindo.
Vurugu mnazoifanyia ccm barabarani na kwenye mikutano yao ,pamoja na uzushi mnaoueneza kwenye mitandao ya kijamii havitoweza kuwasaidia kuepuka adhabu mtakayopewa na wananchi wa Arusha kwakuwafukuza wawakilishi wao halmashauri na kusababisha kuweka likizo ya maendeleo ya kata zao nne .
Niitakie CCM ushindi wa kishindo maeneo yote ya nchi yanayotarajia kufanya uchaguzi kesho.
CCM kushinda kwa kishindo kesho.
Viva CCM.
We Juliana una kichaa?. Chezea Arusha wewe utaumia. Ccm haitachukua hata nusu kata licha ya kat moja.
 
kingukitano

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,971
0
Juliana utabiri Wako mara nyingi huwa na reality,nakunbuka kichapo cha mbwa mwizi alichopata binti Chadema Iramba,big up Shonza
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
34,446
2,000
Hayo maneno mwambie Mwigulu mkiwa mnastareheshana,hapa jukwaani unapoteza muda. Arusha ipi unazungumzia?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,586
2,000
mchumia tumbo wewe usituletee habari za Lumumba, ccm ni habari iliyopitwa na wakati
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,255
2,000
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa kwamba safari hii wapinzani watavuna mabua na kuambulia aibu.
Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo ni
uwongo
uchochezi
maandamano
Huku wakitumia gharama kubwa katika kampeni zao ambazo wanatumia helicopter hali inayopelekea kuteketeza zaidi ya million 200 halafu kwenye mikutano yao wanachangisha miamia za wananchi wanaowaita masikini.
Huko ni kukosa dira na kutoelewa dhana ya utawala bora kwani kama wangekuwa wanaelewa dhana ya utawala bora mamillion hayo wanayoyatumia kwenye helicopter wangeyaelekeza kusaidia vikundi vya vijana mbalimbali kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri.
Vijana wameshtuka kuwa walikuwa wanatumiwa mfano ukiwa ni mr Mboya na Niko ambao walikuwa wapambe damu wa Lemaaa na vijana wengine wengi ambao wameahidi kuipa ushindi ccm ,tena ushindi wa kishindo.
Vurugu mnazoifanyia ccm barabarani na kwenye mikutano yao ,pamoja na uzushi mnaoueneza kwenye mitandao ya kijamii havitoweza kuwasaidia kuepuka adhabu mtakayopewa na wananchi wa Arusha kwakuwafukuza wawakilishi wao halmashauri na kusababisha kuweka likizo ya maendeleo ya kata zao nne .
Niitakie CCM ushindi wa kishindo maeneo yote ya nchi yanayotarajia kufanya uchaguzi kesho.
CCM kushinda kwa kishindo kesho.
Viva CCM.
Juliana give us a break!! Akili yako haina akili; huna hata uwezo mdogo wa kufanya upembuzi yakinifu ili ujue uvae nguo gani na wapi; sembuse kuchambua hali ya kisiasa; Subiri uone.

Kuna tatizo gani kuwalilia wanachi wakusaidie uwakomboe nao watoe walicho nacho kwa hiyari zao; kuliko kutumia pesa zao za kodi CCM inazojichukulia kifisadi, wizi na kwa njia za rushwa.
 
Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,728
1,250
Ndugu wana jukwaa,ikiwa imebaki siku moja uchaguzi wa kupata madiwani katika kata 26 za mikoa mbalimbali ya nchi hii ufanyike,huku upepo ukiwa mzuri kwa ccm katika kata zote ambapo ni wazi kabisa kwamba safari hii wapinzani watavuna mabua na kuambulia aibu.
Hali iliyotokana na wananchi kuchoshwa na vurugu za chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani(chadema)ambapo kimekuwa kikiendesha siasa zake kwakutumia nguzo kuu tatu ambazo ni
uwongo
uchochezi
maandamano
Huku wakitumia gharama kubwa katika kampeni zao ambazo wanatumia helicopter hali inayopelekea kuteketeza zaidi ya million 200 halafu kwenye mikutano yao wanachangisha miamia za wananchi wanaowaita masikini.
Huko ni kukosa dira na kutoelewa dhana ya utawala bora kwani kama wangekuwa wanaelewa dhana ya utawala bora mamillion hayo wanayoyatumia kwenye helicopter wangeyaelekeza kusaidia vikundi vya vijana mbalimbali kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri.
Vijana wameshtuka kuwa walikuwa wanatumiwa mfano ukiwa ni mr Mboya na Niko ambao walikuwa wapambe damu wa Lemaaa na vijana wengine wengi ambao wameahidi kuipa ushindi ccm ,tena ushindi wa kishindo.
Vurugu mnazoifanyia ccm barabarani na kwenye mikutano yao ,pamoja na uzushi mnaoueneza kwenye mitandao ya kijamii havitoweza kuwasaidia kuepuka adhabu mtakayopewa na wananchi wa Arusha kwakuwafukuza wawakilishi wao halmashauri na kusababisha kuweka likizo ya maendeleo ya kata zao nne .
Niitakie CCM ushindi wa kishindo maeneo yote ya nchi yanayotarajia kufanya uchaguzi kesho.
CCM kushinda kwa kishindo kesho.
Viva CCM.
Back to school...heading na content havihusiani...jaribu tena.
 
Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
15,783
2,000
uwanja wa mapambano:

........KAZI MLIYO TUTUMA TUMEIMALIZA.......

MAKAMANDA WAPIGANAJI NGAZI YA KATA NA VITONGOJI
 
gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,157
2,000
nashindwa kuielewa akili ya chadema, kama kwakua wao ndio waliokuwa viongozi wa hizo kata previously kwann leo hii walazimike kutumia chopa?? je inamaana kata 4 ni nyingi sana kiasi kwamba wakitembea kwa gari hawafiki?? je kwa chopa wanamudu kufikia wananchi wote ama wale walioko karibu na uwanja wa chopa yenyewe??tuache ushabiki hakukuwa na mantiki yyte kwa chadema kutumia hizo chopa kwenye huu uchaguzi, na nguvu ya umma ndiyo itakayoamua who will win
 
Top Bottom