CCM imefilisika kifikra

CCM imefilisika kifikra

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
2,602
Reaction score
409
Ccm imefilisika kifikra,hawan jipya tena la kuwaambia wananchi.Danganya yenu ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA haina jipya tena,sijui uchaguzi ujao mtatumia kauli mbiu ipi?.
Nasema ccm imefilisika kifikra,hii ni kutokana na kuanza kutumia ulemavu wa mtu kuombea kura.
Kama wanatumia mtu huyo kuombea kura,si wawatumie akina Ulimboka,kibanda,picha ya mauaji ya kinyama ya Mwangosi aliyekufa akiwa amezingirwa na polisi pamoja na ndugu yetu Kubenea aliyemwagiwa tindikali.
Hawana sera na hoja,matokeo yake wameanza kutumia ulemavu wa mtu kuombea kura kwa wananchi ili wawaonee huruma.
Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom