Kamati ya
Uteuzi
182.-(1) Kutakuwa na Kamati ya Uteuzi wa Mwenyekiti,
Makamu Mwenyekiti na Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi
itakayokuwa na muundo ufuatao:
(a) Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano...
Ili kuwafanya Spika na Naibu Spika wawajibike bila kuwa na upendeleo kwa wabunge wa chama chochote igekuwa vema Katiba Mpya iweke uteratibu wa Spika na Naibu Spika kuchaguliwa na Vyama vilivyo na...
Jamani hili ni janga kubwa sana kwa CHADEMA na taifa lote la wapenda haki na amani kwa kupotea na kujeruhiwa kwa ndugu zetu. Hivyo ni vema CHADEMA mkaandaa mpango maalumu wa kuchangia matibabu kwa...
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu amehutubia mkutano wa hadhara leo katika kijiji cha Ngamu kata ya Mwasauya watu walijitokeza kwa wingi sana kumsikiliza
POLISI WALITUMWA...
Mikindani, Tanzania
Oil tankers are a frequent sight in Mikindani, an impoverished port in southern Tanzania [Thembi Mutch/IPS]
Fisherman Salim Riziki stands next to a set of turbines, newly...
Serikali yatangaza kutoa milioni 100 kwa atakayempata muhusika wa bomu Arusha. - YouTube
CCM yaishutumu Chadema kuwa ndio wanaohusika na mlipuko Arusha. - YouTube
Idadi ya waliokufa katika...
Naamini Tanzania itakua na umoja zaidi endapo kama tutakua na serikali moja (serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania), na sio kuwa na serikali mbili kama ilivyosasa au kuwa na serikali tatu...
The Media in Tanzania and all its practitioners will not escape the arm of the international legal institutions if they continue to propagate issues that contribute to breach of peace and...
Wana JF,
Hali si shwari katika uchaguzi mdogo wa Makuyuni, CCM wamevamia vituo vya kura, mawakala wa CHADEMA wamepigwa vibaya sana.
Kamanda Nassari naye kaumizwa vibaya sana. Amelazwa Hospitali...
Mbali na mambo mengi kutokea katika uchaguzi uliofanyika kata ya Nga'nga'nge wilayani kilolo yakiwemo ya kujeruhiwa kwa kiongozi wa baraza la wazee la wilaya mzee NyaulingoLunyiliko na viongozi wa...
Mary Nagu nusura achomwe moto akigawa rushwa ya uchaguzi! Ilikuwa hivi, makamanda wa CHADEMA wakiongozwa na Mbunge wa Karatu, Israel Natse na Mbunge wa Viti Maalum, Pauline Gekul, walitonywa na...
Thread hii kwa nini imeondolewa????..
Ndugu Watanzania ..kwa mlioangalia Bunge Leo mmejionea namna lilivyopwaya...
Wengi wa Wabunge wa CCM sio wachangiaji ...ukizingatia wingi wao
Wengi wao sio...
Fikiria siku mbili kabla ya uchaguzi wa madiwani Arusha Lema akiinadi Chadema anapanda jukwaani na kutoa kauli kama aliyoitoa Lameck Mwigulu!
Fikiria katika mkutano wa CCM wa kufunga kampeni...
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV mchana huu, Rais Kikwete ametuma salamu za pole kwa viongozi wa CHADEMA kutokana na mlipuko ulitokea kwenye mkutano wao jana jioni.
Rais amesema amesikitishwa...
Mimi nadhani wakati umefika kwa watawala wetu kuacha siasa kushughulikia matatizo yanoyochochea uvunjifu wa amani. Ktk suala la Arusha jeshi la polisi pamoja na chama tawala ni moja ya watuhumiwa...
Jamani wanajamvi, ccm naona wameamua kutumia njia hii ya kutoyatoa majina yote ya wapiga kura kwa kila kituo cha kujiandikishia, je huu ni uungwana?
Ukiangalia watu wengi wameondoka bila kupiga...
Mjadala wa Urais 2015 unazidi kushika kasi, japo baadhi ya wanasiasa na wapambe wao hawapendi hili lisemwe kwa sababu wanazozijua wao. Ni wazi kwamba wagombea wote watakaojitokeza kuomba nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.