Tanzania tuwe na serikali moja. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tuwe na serikali moja.

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Avatar, May 25, 2011.

 1. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Naamini Tanzania itakua na umoja zaidi endapo kama tutakua na serikali moja (serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania), na sio kuwa na serikali mbili kama ilivyosasa au kuwa na serikali tatu kama wanavyopendelea baadhi ya wazalendo wa nchi hii.
  - Haiingii akilini kwa nchi moja kuwa na serikali zaidi ya moja.
  - Tutapunguza chokonozi zinazoichokonoa serikali kupitia sababu zinazoitwa kero za muungano.
  - Itatusaidia kusahau kama kulikua na nchi inaitwa zanzibar, kama tanganyika inavyosahaulika na hili litaongeza mshikamano Tanzania.
  - Tutapunguza gharama nyingi zinazotumika kuwalipa wawakilishi katika bunge la zanzibar, raisi wa zanzibar pamoja na serikali yake yote, Zanzibar kubakie na wakuu wa mikoa, wilaya, madiwani na wabunge watakao wawakilisha wananchi wao katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania - Dodoma.


  Nimawazo tuu!..
   
 2. kibakwe

  kibakwe Senior Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mtazamo wangu kuuvunja MUUNGANO,iwe kama Sudan ili kuepusha malumbano mbalimbali nchini kuhusu Muungano
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Dawa ni kuvunja muungano na kuunda serikali ya shirikisho ya majimbo.
   
 4. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Serikali iwe moja na kama tukiacha hivi ni bora tufanye mikoa iwe majimbo na Zanzibar pia kuwe na majimbo na serikali kuu iwe moja.
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  iwepo serikali ya jamhuri ya Tanganyika tu, hao wengine watafute jinsi ya kujitawala
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tunataka Tanganyika yetu bana, haya mambo ya kujifanya eti muungano sijui tuulinde kwani kabla ya Muungano hakukuwa na maisha?
   
 7. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja kuwa kunahitajika mpate tena Jamhuri ya Tanganyika.

  Ama kuhusu wengine kujitawala, hilo usiwe na shaka Mkuu maana sisi tayari tunayo yetu maana hatukuiua kama nyinyi.

  Tatizo litaondoka pale mtakapowacha kuikalia Zanzibar kwa mabavu.

  Serikali moja kama ilivyopendekezwa na mtoa mada, hio msahau na haiwezi kutokea maisha.

  Zanzibar for Zanzibaris and we cant wait to see your backs.
   
 8. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Mkuu
  Inaonekana wewe umepata kikombe cha mabuu,sisi wanzanzibar ever ever hatutokuwa watanganyika/tanzania,na hatuwezi kuwa wamoja kwa sababu hamutendi haki,mutazalilisha wanzanzibari,na hatuko tayari kuuza utaifa wetu.

  Waambieni wauganda,congo,rwanda waungane na nyinyi sio sisi.

  Kwanza hii tanzania sio nchi,nchi ni zile zilizopata uhuru mwaka 1961 na 1964,amabzo tanganyika na zanzibar,tumeungana tu mambo fulani lakini sio kupotezeana utaifa,ikiwa muungano mzuri tangazeni muungano wa EAC uwe nchi moja muone,,,wapumbavu wakubwa.

  Vivi hamufahamu kuwa zanzibar ni nchi ? Ever ever hatutokuwa taifa moja,na muungano tutauvunja kila mtu na chake.

  MUUNGANO HATUUTAKI.
   
 9. Rapha

  Rapha Tanzanite Member

  #9
  Jun 16, 2013
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 631
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Uliona mbali sana mkuu... Sasa tunataka ziwe tatu!!
   
 10. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2013
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,035
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mpumbavu ni nani hasa?
  Kwani nyinyi muna kipi cha zaidi ya Tanganyika mpaka povu linatoka hivyo?
  MBUGA?MADINI?MAZIWA?MITO? Au?
  Mumezaliana kama nguruwe huku Tanganyika alafu mnaleta nyodo!ngoja tuwabalase sasa sheeee.....y type
   
 11. crabat

  crabat JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 4,248
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Tugawane mbao kila mtu kivyake isiwe tabu
   
 12. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2013
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Mzee wako walokuzaa,son of bitch
   
 13. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2013
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,035
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  akili za wazenj walio wengi ndo zilivyo ckushangai,yan mtakomaje na huo uvivu wenu!
  Yan mnachojua nyinyi ni kuzaliana tu kumbikumbi kazi hamtaki,ngoja tuwarudishe kwenu kama mtatosha kule ktk kipande chenu mana co nchi cz hata mbeya kubwa sana kwa hcho kibakuli chenu kinachoelea ktk maji na kwa huku 2kipiga dua kipotelee mbali,chezea Tsunami wewe?wenyewe mtarudi huku uliza Haiti!
  Mbundo wee
   
 14. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2013
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Hatutaki kazi ndo mana tumekuja kwenu kuomba omba au vipi ? Hebu njoo zanzibar uwone ndugu zako wakija huku zanzibar hupelekwa maskani wakafundishwa kucheza bao, unasema hatutaki kazi,hapo kariakoo,na maeneo mengine hao wazanzibari wana shughuli gani ? Be carefull broo
   
 15. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2013
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,035
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kwahyo kucheza bao na kunywa kahawa imekuw kazi cku hz?!
   
 16. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2013
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,771
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri zana hili ulilotoa
   
 17. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2013
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,771
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  Natilia mashaka nia yako halisi ya kuimarisha umoja wa Waafrika kwa maendeleo yao
   
 18. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2013
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  nchi moja ni sahihi. kinachotokea ni kwamba tunaanza kuonesha mfano. mataifa ya afrika mashariki yatafuata katika hilo baadae lakini tunakuwa wa kwanza kuelekeza njia. kama ccm wanataka tuone bado kuna chembe ya busara kule, basi watumie huo ukiritimba wao kwenye mabaraza ya kata waliofanikiwa kuupata kuelekeza rasimu ibadilishwe kuweka mfumo wa serikali moja, au mbili. hapo binafsi nitawana wana maana.

  uzoefu wangu humuJF ni kwamba wanaotoa matusi sana ni watu wadhaifu wa kufikiri. na wengi wao hawana exposure kielimu. kwa hiyo matusi mengine ni kuyapuuza tu.

  Serikali moja ndo jibu la tatizo tulilo nalo. Kwa njia hiyo Mzanzibari atakuwa huru kujenga Kyela, nitakuwa huru kujenga Mbuyu Taifa. Huko ndo tunatakiwa kwenda.
   
Loading...